Kenyan, why Tanzania, lissu, and not kiiza besgye of uganda?

Kenya walienda Uganda.

Ingawa Uganda demokrasia yao wanatuzidi.

Museven huwezi kukuta anaiba uchaguzi wa kitongoji, mtaa, diwani au Mbunge.

Hata bunge la Uganda lina wabunge wengi tu wa Bobi Wine, wa vyama vya upinzani.

Tanzania, CCM wanaiba mpaka uchaguzi wa kitongoji.
 
Mkuu kwahyo una maanisha wakenya ni more dangerouz neighbour sio?.
Kama ni ndiyo sisi ni dangerous zaid kwa akina nani tunaopakana nao au siso ni innocent kwa jirani zetu wote?
 
Uganda ni nchi ya Kidikteta hilo kila mtu analijua je Tanzania imegeuka kuwa nchi ya Kidikteta tangu lini?
Halaf inaonekana Mu7 yuko emotionaly stable maana wale akina Eric Omobdi na wale wachekeshaji wa kiganda huwa wanamuigiza katika scenes mbaya lakin sijawah sikia wamekamatwa.
Au niwe sifuatulii vizuri labda.
 

Kwanini umeolewa wewe na mumeo na si Aisha au Khadija?
 
wanaazaje kuleta chockochoko Uganda? yule jamaa wanamjua vizuri
 
Kiiza pandikizi la M7 na maigizo yao.
Miaka nenda rudu Kiiza ni political simulation wa M7. Kuthrsaten wapinzani huku yeye analipwa.

Wanadanganya nyie msio na taarifa😀

Itakuwa anapokea mpunga mrefu mno kukubali kufikia hali hii mixer mikong'oto toka kwa askari.
 
Martha Karua alienda Uganda kwenye kesi ya Besigye, aliomba kuwa mmoja wa MaWakili wa Besigye serikali ya Uganda ikamgomea.

Vv
 
Mama kanuka na amechafuka, halafu anafutia UKUTANI yaaani.! Ni hivi Kiza basigeye alihulikana zamani, hakujeruhiwa kama LISSU, LISSU ANA NYOTA KAALI SANA, NI SIMBA ALIYEJERUHIWA, ANATEMBEA NA MKUKI, ANAVUJA DAMU, ANAKOPITA DAMU YAKE INAMWAGIKA, HARUFU YAKE NI KALI SANA .. HUYU SIMBA ANAPAMBANA NA JOKA LINALOMEZA WATU NA SI WANYAMA WENGINE, watu wanajua hili JOKA ni kubwa saaana! Wanapambana na wameamua kuliua hata Kwa kuliponda mkia Kwa mawe ya mbaaali na karibu
 
Wabongo tunakuwa mafala mpaka inapitiliza. Demokrasia zikizidi huambatana na uzuzu. Samia kaongea kwa ukali kwa sauti yenye mamlaka.

Ujinga wa maandamano yasiyokwisha apeleke kwao Nairobi na Kisumu, watanzania wanapiga kazi wala hawataki siasa za kushinda na mabango barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…