Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

South African are getting their land back from who? So Kenyatta is not a Kenyan? Kenyatta senior got his land through willing seller willing buyer ,it wasn't acquired illegally so stop yapping here you can as well read the Ndung'u report ,but as I know bongolala you don't have the brain to grasp what is in the report.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga Sana wewe, hiyo Ndungu's report hujawahi kuisoma na Wala hutokaa uisome kamwe. Haya ninayosema kuhusu land injustice huko Kenya nimeyajua Baada ya kupitia Ndungu's report, ungekua umeisoma usingejiaibisha na kusema kwamba Mzee Kenyatta alinunua hiyo ardhi.
1)Hiyo ardhi ilichukuliwa kwa nguvu na wakoloni toka kwa wananchi, kama ilivyo South Africa.
2)Baada ya Uhuru, ardhi iliyoachwa na wakoloni, viongozi wa Kenya walichukua na kugawana wao pamoja na rafiki zao wakiwemo watu waliokua wanawaunga mkono kisiasa Badala ya kuigawa kwa wananchi kama ambavyo Julius Malema anavyoshauri ifanyike huko South Africa.
3)Kitendo cha wakoloni kuchukua ardhi kwa nguvu toka kwa wananchi, na baadae viongozi wa Kenya akiwemo mzee Jommo Kenyatta kuipokea na kujimilikisha ardhi toka kwa wakoloni bila kurudisha kwa wananchi, ndio ripoti ya Ndungu inachokiita "Historical land injustice in Kenya".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Every Kenyan has a land of his own regardless of the size. Unlike you folks , bringing here links from bloggers who are corrupt minded like you can not justify your claim, Ndung'u report is out there in public domain you can as well read it.

Sent using Jamii Forums mobile app

Aha ha haa, it's gud for you, kenyans, if every individual is owning the land.
 
Kumbe unajua km ukweli unauma eeh, in this case mimi hauwez kuniuma coz WEWE unaongea UONGO!! Unanifananisha mimi na BILIONEA ALIETEKWA, Kwani mimi BILIONEA?😂 they had their own issues, mbona the rest of TZ BILIONEA hawajawahi kutekwa? Have you ever Heard BAKHRESA ametekwa? When was YUSUF MANJI OR REGINALD MENGI KIDNAPPED? am just an Ordinary Citizen, neither a POLITICIAN nor a BILLIONEIR, why would any 1 waste their time in Kidnapping me?😁

Naona unahamu sana ya wenzio kutekwa, basi nakwambia hivi:-ATAANZA KUTEKWA MAMA YAKO NA AL SHABBAB WATAM GANG-RAPE NA KUMTUPA DAMPO KISHA NITAFATIA MIE. AMIN. CASE CLOSED👋
unataja alshabab ukiwa na furaha kwenu kuna amani...alafu wafurahia ugaidi...na mm pia sina budi kufurahia utekaji...kisha kumbe huelewi...mi nimekwambia km billionaire katekwa we ni nani...

na ukiendelea kuishi bongo utatekwa tu...hyo ndio sera moja kuu katika nchi yenu...teka,futa,teua,tengua,futa,tuta...

hta ukimtaja mamangu haiwezi kukusaidia wewe kutotekwa na wasiojulikana
 
Sisi tukilipia kodi ardhi, hiyo kodi inaenda kujenga Hospital, shule, dawa na Barabara, Yaani ni kama ninatoa hiyo pesa kununua mahitaji yangu binafsi, ninyi wajinga ardhi yenu ilichukuliwa na watu binafsi, wanajenga majumba na kuwapangisha au kuwauzia, serikali yenu dhahifu haipati chochote, mnabaki kuwa wageni ndani ya nchi yeni

Sent using Jamii Forums mobile app
nchi gani hyo ambayo haijengi hospitali,barabara...we kubali tu ni refugee katika nchi...imagine...ujamaa umewalemaza sana...

alafu hij pointi yako mbna ya kiboya...hta somalia hoslitali wanajenga na watu hawalipii ardhi kodi
 
Nimekuwekea article inayozungumzia Historical land injustice in Kenya, tafadhali comment on that article if what it talks is true or false, stop throwing hands in air, who told you that all Kenyans are landless?, Kenyatta family is a Kenyan but own nearly half of fertile land in Kenya, but majority of poorer of the poor, either don't have enough fertile land to feed themselves or they are left with big but desert which is unfit for human settlements.

Sent using Jamii Forums mobile app
tuma ramani ya hyo ardhi hapa tuione...au hyo article yako wameandika maneno matupu bila evidence...haki ya nani...ukiniletea hyo ramani ya hyo ardhi ya watu 20million natoka jf
 
https://www.nation.co.ke/news/Kenya-top-Africa-police-shootings/1056-3824890-1183k27/index.html
Bora kutekwa kuliko kupigwa risasi na kuuliwa hovyo kama wanyama, polisi wenu wanawauwa at their will, life in Kenya is valueless compared to Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
polisi wako mahakamani...waliomuuwa akwilina wameshawai fikisha hta kw mkuu wa kata...kw upande wa unyama mnaongoza dunia nzima...kwenu askari akiuwa anapandishwa cheo...hku watu wanapelekwa mahakamani...
 
Every Kenyan has a land of his own regardless of the size. Unlike you folks , bringing here links from bloggers who are corrupt minded like you can not justify your claim, Ndung'u report is out there in public domain you can as well read it.

Sent using Jamii Forums mobile app
wajinga hawa...mbna hao ma bloggers hwaleti hyo ramani...inamaana kenyatta mikoa yote ya kenya anamiliki nusu ya ardhi hyo kulingana na hyo article yao ya kijinga..

tatizo wanaogopa kusema ukweli ndio wasitekwe
 
ngoja ile siku wasiojulikana wakuteke...ndio utajuwa heri hawa alshabab huja kw kutegea mahali pa watu wengi wala si kw mtu binafsi...

muulize nanii kwnn siku hz haimbi nanii...si walimteka na wakamnanii...shauri yako hyo
haaa hadi hiyo ngoma unaijua?

mi nilikuwa nasubiri wale waandamanaji wavuke boda waje upande huu wa tz nishuhudie show kali ya ffu,bahati mbaya wakenya walivyo ona ffu wakaanza kurudi kwao mmoja yaani wangethubutu kuvuka boda wangerudi upande wa kenya wakiwa wanatambaa
 
Though the reports are not verified intimidation and extortion of Kenyan business men by tanzanian authorities is not new .
I have never understood why Tanzanians are so afraid of competition especially from Kenyan businessmen . They always put many bottlenecks against Kenyan traders.
Hooliganism and conmanship has nothing to do with competition with Kenya.
The fact is a kenyan conned a Tanzania while changing Tsh money into Ksh. This is not the first time for such incident to occur in the area.
Your government has let in a lot of Somali's in the area. and Actually they are the ones who are causing all the fracas.
 
Vibrant my ass , Tanzanian are incompetent that is why you are a protectionist nation , kwani wanaakili zipi kuliko hizi za jf? Bongolala trying to protect another bongolala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bakia ivyo ivyo ukisema bongolala nchi kama hii asilimia 70 ni vijana na kila mwaka zaidi ya wahitimu 400000 wana graduate elimu ya juu we unasema eti bongo lala ..... Amka mzee inaonekana we huijui Tz unaisikia izo story za vijiweni huko kenya ndio atory zenu eti Tz watu ni wavivu hawana akili sijui nn ....endeleeni tu na story zenu UK alikuja kuomba madaktari 200 standby doctors embu kaeibia siku moja apa tz uoneeee
 
haaa hadi hiyo ngoma unaijua?

mi nilikuwa nasubiri wale waandamanaji wavuke boda waje upande huu wa tz nishuhudie show kali ya ffu,bahati mbaya wakenya walivyo ona ffu wakaanza kurudi kwao mmoja yaani wangethubutu kuvuka boda wangerudi upande wa kenya wakiwa wanatambaa
wacha kujifurahisha...hao polisi si walipigwa kwenu tu...au unabisha...waliingia upande wetu wakala bano..mpka wajarufi kwao na wakala bana tu...wachezea wakenya wewe
 
Bakia ivyo ivyo ukisema bongolala nchi kama hii asilimia 70 ni vijana na kila mwaka zaidi ya wahitimu 400000 wana graduate elimu ya juu we unasema eti bongo lala ..... Amka mzee inaonekana we huijui Tz unaisikia izo story za vijiweni huko kenya ndio atory zenu eti Tz watu ni wavivu hawana akili sijui nn ....endeleeni tu na story zenu UK alikuja kuomba madaktari 200 standby doctors embu kaeibia siku moja apa tz uoneeee
mkenya gani hyo anaye kaa kijiweni...huu uvivu wenu bakini nao hkohko kwenu...msituambukize sisi
 
mkenya gani hyo anaye kaa kijiweni...huu uvivu wenu bakini nao hkohko kwenu...msituambukize sisi
Acha uboya wakenya kibao wanashinda vijiweni ...we unaelewaje kuhusu vijiweni .ata kazini unaweza mkafanya kijiwe chenu cha kudanganyana kuhusu Tz ...hapo ndipo mnapo kosea No one is perfect ata nyie mnamapungufu yenu kibaooooo tunafanya kazi na wakenya tunawajua acha upoyoyo
 
wacha kujifurahisha...hao polisi si walipigwa kwenu tu...au unabisha...waliingia upande wetu wakala bano..mpka wajarufi kwao na wakala bana tu...wachezea wakenya wewe
acha kujidanganya wakenya inawezekana hata hiyo namanga boda yenyewe hamuijui mpo mpo tu hapo kibera,washukuru mungu aliwapa akili ya kutokuvuka ile kibanda ya boda maana ffu hawanaga akili kabisa mngerudi kenya side mkitambaa
 
Ndungu's report is the one which states that there is historical land injustice in Kenya, it recommended that parliament must come up with a law to address this problem which it calls it as human right issue, until today, Kenya has never done any thing as per Ndungu's report recommended.

Sent using Jamii Forums mobile app
If at all you read it, does it say that Kenyatta family own what you always claim here? .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom