Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Sober mind, I don't think if you are a Tanzanian,ama umepata maarifa kutoka chumba cha maarifa? Watanzania wote wangekua na akili kama zako for sure Tanzania ingekua mbali kimaendeleo , lakini kazi Yao ni umbea na kupika majungu.No unajua izi nchi mbili zinategemeana sometimes izi diplomatic pressure zisituzidi ktk karne ya leo echumi shirikishi ndio kila kitu humu tupo JF hatuonani lkn kunawenzetu ambao wanaishi pamoja wana shares vitu na maisha kwa ujumla japo changamoto zipo lkn lzm tuzishinde ...mfano tumeona kule eritrea na ethiopia wale walivunja uswaiba wa kidiplomasia kwa muda mrefu lkn juzi hapa wamerejesha mahusiano yao na milango ya fursa baina ya nchi mbili zimefunguka na hata ss tunasikia ethiopia wana tumia bandari ya ethiopia ..... changamoto mipakani zipo kila nchi hata kule Busia mpaka wa UG na KE chaos zinatokea kama hizi kuchomeana bidhaa feki masala ya harrassment yapo na hizi zote zinatokana na political matters
Sent using Jamii Forums mobile app