Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

No unajua izi nchi mbili zinategemeana sometimes izi diplomatic pressure zisituzidi ktk karne ya leo echumi shirikishi ndio kila kitu humu tupo JF hatuonani lkn kunawenzetu ambao wanaishi pamoja wana shares vitu na maisha kwa ujumla japo changamoto zipo lkn lzm tuzishinde ...mfano tumeona kule eritrea na ethiopia wale walivunja uswaiba wa kidiplomasia kwa muda mrefu lkn juzi hapa wamerejesha mahusiano yao na milango ya fursa baina ya nchi mbili zimefunguka na hata ss tunasikia ethiopia wana tumia bandari ya ethiopia ..... changamoto mipakani zipo kila nchi hata kule Busia mpaka wa UG na KE chaos zinatokea kama hizi kuchomeana bidhaa feki masala ya harrassment yapo na hizi zote zinatokana na political matters
Sober mind, I don't think if you are a Tanzanian,ama umepata maarifa kutoka chumba cha maarifa? Watanzania wote wangekua na akili kama zako for sure Tanzania ingekua mbali kimaendeleo , lakini kazi Yao ni umbea na kupika majungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kuna chuki baina ya wakenya na watanzania. Hii ni nguvu ya umma dhidi ya vitengo ovyo vya usalama. Hiki ni kitu cha kawaida sana Kenya, nakuhakikishia kwamba ndugu zetu nao upande wa pili Longido hawana afueni hata kidogo, wanadhulumiwa kila uchao bila sababu za msingi. Kwa kisingizio kwamba eti wao ni wakenya sio watanzania.

Sidhani kama ni kweli, Kaskazini sio watu wa mchezo aisee yahitaji ujasiri kudhulumu watu wa nyanda hizo.
 
You can as well buy those large tracks of land if you want,a normal man does not ask a fellow man, how did you impregnated your wife ,he does it secretly in his own way to achieve the same result.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ok le me conclude by saying that you have an equitable right to land. Everybody has equal access to land.
Mkirudisha hii ARDHI kwenda kwa majority. Nitasema kweli nyie ni wapigania haki wa ukweli.

https://www.kenya-today.com/news/kenyatta-family-land/amp
 
Sidhani kama ni kweli, Kaskazini sio watu wa mchezo aisee yahitaji ujasiri kudhulumu watu wa nyanda hizo.
Boss wenyeji wa pale Namanga upande wa Tz hata kupiga picha tu wakati wa matukio kama haya huwa ni balaa. Huwa wanakung'utwa virungu kama mbwa koko sio mchezo. Alafu simu zao zinataifishwa na wanatupwa selo. Wanahabari watz ndio usiseme, hapo huwa hawadhubutu kutia mguu wao. Yaani ni fotokopi ya N.Korea kabisaaa.
 
Sober mind, I don't think if you are a Tanzanian,ama umepata maarifa kutoka chumba cha maarifa? Watanzania wote wangekua na akili kama zako for sure Tanzania ingekua mbali kimaendeleo , lakini kazi Yao ni umbea na kupika majungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh waTanzania wana akilinkuliko unavyofikiria izi purukushani za humu JF usifikirie ndio akili zao yaanniyo ni ishara ya kuwa hao watu wapo vibrant toward success ila hawapendi kuonewa at all wanapenda sna kale ka slogan win to win
 
Boss wenyeji wa pale Namanga upande wa Tz hata kupiga picha tu wakati wa matukio kama haya huwa ni balaa. Huwa wanakung'utwa virungu kama mbwa koko sio mchezo. Alafu simu zao zinataifishwa na wanatupwa selo. Wanahabari watz ndio usiseme, hapo huwa hawadhubutu kutia mguu wao. Yaani ni fotokopi ya N.Korea kabisaaa.

Kwahiyo hao wakenya walipiga polisi wa tz wakavuka boda kuingia tz kutafuta huyo mume wao!!!!

Kama kuna siku mtataka haya mambo yajadiliwe kidipromasia zaidi ni siku mtaamua kuvuka hiyo boda na mibangi yenu kichwani eti mnaandamana.

Unadhani polisi wa tz ndio hao GSU wenu hukimbia waandamanaji wakora wa CBD!!!!bro go n get a meal kwanza.
 
Umiliki wa ardhi Zimbabwe na Tanzania nitofauti na Kenya , Kenya kuna rules and procedures on how to own land , because we have working laws and our Constitution is very clear on private land ,we can't just get up one morning to invade private properties ,we are law abiding citizens.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nearly sixty years after independence your people are still waiting to get their land bank, South Africa are on their way to get back their land just 25yrs after their independence. You can't get your land back because Kenyatta family is untouchable in Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujasiri wetu tumeutumia kuhakikisha kuwa hatunyanyashwi na serikali maana tunazijua haki zetu,sie ni tofauti na nyie mnaokandamizwa kila siku hamna hata Uhuru wa kuikosoa serikali yenu pia utatwambia nini?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakosoa hata ka hujaona tatizo kubwa LA kukosoa??? Maana nyie mnakosoa tu kwa kuwa mna haki???
Ndio maana viongozi wenu wanawalia kodi ka mchwa maana wanajua mtaishia kukosoa kua ruto mwizi bila kuchukua hatua hahahaha...idiots
Etii kiongoz anasema hajapoteza 27 billion afu anasema et zimepotea 7 tu,,, afu mpaka Leo yupo mtaan na mnamchekea hahaha kweli nyie majasiri

Hivi polisi wanapowapiga risasi na kuwauwa watu 300 kila uchaguzi na hakuna Hata kiongozi au polisi anayewajibishwa, huo Ndio Uhuru na ujasiri mliona?, Kati ya mtu anayezuiwa asizungumze, na watu wanaouliwa hovyo nani mwenye Uhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hao wakenya walipiga polisi wa tz wakavuka boda kuingia tz kutafuta huyo mume wao!!!!

Kama kuna siku mtataka haya mambo yajadiliwe kidipromasia zaidi ni siku mtaamua kuvuka hiyo boda na mibangi yenu kichwani eti mnaandamana.

Unadhani polisi wa tz ndio hao GSU wenu hukimbia waandamanaji wakora wa CBD!!!!bro go n get a meal kwanza.
Nadhani ulinuia kumnukuu mtu mwingine, jibu lako haliendani kabisa na comment yangu. Alafu ni diplomasia sio dipromasia, shukran.
 
Utakosoa hata ka hujaona tatizo kubwa LA kukosoa??? Maana nyie mnakosoa tu kwa kuwa mna haki???
Ndio maana viongozi wenu wanawalia kodi ka mchwa maana wanajua mtaishia kukosoa kua ruto mwizi bila kuchukua hatua hahahaha...idiots
Etii kiongoz anasema hajapoteza 27 billion afu anasema et zimepotea 7 tu,,, afu mpaka Leo yupo mtaan na mnamchekea hahaha kweli nyie majasiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ruto kasema ishu ni 7b sio zaidi
Yaani pamoja na kupata exposure ya nje kabla yetu mijitu inachekelea tu!

If you claim you have the best education just act like the same otherwise you are the certified idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nearly sixty years after independence your people are still waiting to get their land bank, South Africa are on their way to get back their land just 25yrs after their independence. You can't get your land back because Kenyatta family is untouchable in Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE}
unapiga kelele hapa na wajati we mwenyewe umokodi ardhi kw jiwe..unailipia kodi kisha tena mjengo wako unaulipia kodi...maskini...

ujamaa katika ubora wake
 
Nearly sixty years after independence your people are still waiting to get their land bank, South Africa are on their way to get back their land just 25yrs after their independence. You can't get your land back because Kenyatta family is untouchable in Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
unapiga kelele hapa na wakati we mwenyewe umekodi ardhi kutoka kw magu...unailipia kodi na mjengo wako pia unaulipia kodi...juzi tu mumeambiwa mkajiandikishe upya ndio mlipe kodi ki elektroniki...wapumbavu na ujamaa katika ubora wake
 
Dhuluma mbayofanyiwa na viongozi wenu kuwaibia pesa zenu kwa njia ya rushwa Mbona hamsemi?. Kenyatta family na wazungu waliwadhulumu ardhi yenu, hadi leo Wakenya masikini wanaendelea kufa njaa kila mwaka, kwanini msipambane nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
mkenya gani huyo ambaye hana ardhi...labda wale wachochole zaidi....alafu hyo ardhi unayoiongelea ya watu 20million iko na side gani ya kenya...hemu leta hyo nap tuione vizuri...manake maneno ya watanzani ni hekaya
 
Shughulikieni rushwa, land injustice na Ukabila kwanza, hizo Ndio Dhuluma kubwa zinazosababisha njaa na division miongoni mwenu. Utabaki kupiga domo tupu, Tanzania Sio Kenya ambapo watu wanachota pesa ya nchi wapendavyo na kuficha ktk Bank za nje. Mgonjwa yenu msijaribu kutuambukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app

ukabila gani huo unaouongekea hapa...kw taarifa yako jf kuna wakenya makabila tofauti mpka wasomali...na hutoskia kusumbuana kabisa..labda katika ishu za kisiasa tu...lkn sai mbna tuna magavana...raisi hta akawa mzungu lkn najuwa niko na gavana wa kutoka eneo letu...maendeleo ataleta tu....

hemu tupe ramani ya hyo ardhi ya wato 20 million kw map tuione
 
Hivi polisi wanapowapiga risasi na kuwauwa watu 300 kila uchaguzi na hakuna Hata kiongozi au polisi anayewajibishwa, huo Ndio Uhuru na ujasiri mliona?, Kati ya mtu anayezuiwa asizungumze, na watu wanaouliwa hovyo nani mwenye Uhuru?

Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo. Hawa ni commander watano wa Kenya Police ambao walifikishwa mahakamani, na kesi zinaendelea, kwasababu ya mauaji baada ya uchaguzi wa 2017 na polisi 31 pia wakafunguliwa mashtaka. https://www.voanews.com/a/kenya-pol...by-during-post-election-violence/4786931.html Tz polisi wakiua raia huwa wanapandishwa cheo, mbaya zaidi ni kwamba Jiwe huwa anawaambia hadharani kwamba wana baraka zake, kwa uovo wowote ule ambao watafanya. Ndio maana hakuna swali lolote lile ambalo mtu yeyote yule Tz alidhubutu kuuliza baada ya lile sakata la aibu la utekaji wa Mo. Kweli bongo bahati mbaya.
 
Pale mpakani kuna msemo, choko mchokoe mtz, mkenya hutomweza!!! Mohaa aachiliwe..

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti mkenya hautomuweza... Mbona Al shabbab wamewaweza? Al shabbab ndo kiboko yenu sisi Watanzania hatuna mda mchafu wa kugombana na wapuuzi. Mnajifanya wababe kumbe mafala tu😜
 
Eti mkenya hautomuweza... Mbona Al shabbab wamewaweza? Al shabbab ndo kiboko yenu sisi Watanzania hatuna mda mchafu wa kugombana na wapuuzi. Mnajifanya wababe kumbe mafala tu😜
ngoja ile siku wasiojulikana wakuteke...ndio utajuwa heri hawa alshabab huja kw kutegea mahali pa watu wengi wala si kw mtu binafsi...

muulize nanii kwnn siku hz haimbi nanii...si walimteka na wakamnanii...shauri yako hyo
 
Back
Top Bottom