Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Dar express, Tahemeed, Dar lux, saibaba. Zote zimefanya safari

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi, baadhi ya basi walizipark Kitengela Police Station jana, tena mapema sana kwa uoga kwamba yatavamiwa barabarani na vijana wenye hasira pale Kajiado town kilomita 25 hivi kutoka Namanga. Yaani unabisha ukiwa huko huko Manzese?
 
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
Kweli wewe ni moja ya mashoga mombosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mada ifungwe maana humu sijui mnabishana nini maana huyo Mohammed alishatafutwa na polisi wa Tanzania akapatikana alikopelekwa (sijui na nani) mpaka mpakani kwa Maafisa wa Kenya wakamchukua jioni ya Jana..
Nb.kuendelea kubishana hapa ni ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app

Fungua uzi ulete hizi taarifa kama unazo ili kupooza, bure tutatoana macho humu.
 
Watanzania na Wakenya tuache kukuza aina hii za magomvi. Athari zake kwa siku zinavyokuja ni kubwa sana.

Mbona hatujiulizi kwa nini Sirari hatusikii mambo ya aina hiyo, Horohoro na Holili pia?

Kwa bahati nzuri nazijua boda zote, kwa nini iwe ni Tunduma na Namanga tu wakati tumepakana na Nchi nane na boda zaidi ya tisa!

Naijua Zambia naijua Kenya, siasa zao mpaka raia wao. Tukemee hasira za kijinga za Vijana wa hii mipaka. Sipendelei, lakini vitendo vya majirani zetu kuonyesha tatizo la Mtu mmoja kama tatizo la Nchi nzima ni la kishenzi sana.

Hawa Watu wengi wao ni Ndugu kabisa. Ni mipaka tu inawatenganisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hii itasababisha Watanzania wanaokuja Kenya wapate matatizo mengi, maana awali Noah zenu hapo Namanga huachiwa kuchukua abiria wa Arusha wanaotokea Nairobi, hivyo hilo genge lenu la wasiojulikana litakua limetumia huo mwanya.
Sasa kila gari lenye usajiri wenu itakua full usumbufu, huwa mnafanya mambo bila kushirikisha ubongo.

Ahaa haah haa
Kwani watashindwa kutumia lenye namba plate ya kenya. nionavyo hao jamaa waliomteka huyo mfanyabiashara amefanikiwa, maana anaweza akawa ni wa kenya katumia gari lenya namba plate za Tanzania, ili kuwafanya muamini kuwa ni kutoka Tanzania, kumbe siyo. Tayari hiyo ni chenga ya mwili.
 
Watanzania na Wakenya tuache kukuza aina hii za magomvi. Athari zake kwa siku zinavyokuja ni kubwa sana.

Mbona hatujiulizi kwa nini Sirari hatusikii mambo ya aina hiyo, Horohoro na Holili pia?

Kwa bahati nzuri nazijua boda zote, kwa nini iwe ni Tunduma na Namanga tu wakati tumepakana na Nchi nane na boda zaidi ya tisa!

Naijua Zambia naijua Kenya, siasa zao mpaka raia wao. Tukemee hasira za kijinga za Vijana wa hii mipaka. Sipendelei, lakini vitendo vya majirani zetu kuonyesha tatizo la Mtu mmoja kama tatizo la Nchi nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kuna chuki baina ya wakenya na watanzania. Hii ni nguvu ya umma dhidi ya vitengo ovyo vya usalama. Hiki ni kitu cha kawaida sana Kenya, nakuhakikishia kwamba ndugu zetu nao upande wa pili Longido hawana afueni hata kidogo, wanadhulumiwa kila uchao bila sababu za msingi. Kwa kisingizio kwamba eti wao ni wakenya sio watanzania.
 
Ujasiri wetu ndio nguzo yetu ndio unaona tumefika tulipo Kwa ajili ya ujasiri wetu.sisi sio watu wa mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app

kanyakueni mashmba ya kina Lord Dalamare, Uhuru at al, ndiyo tutawaona majasiri. kama wenzenu wa Zimbabwe na RSA wanavyonyakua mashamba yao bila fidia. vinginevyo nyie ni wapagazi tu katika nchi yenu.
 
kenyan_protests.jpg
Nguvu ya umma ni kitu cha muhimu sana. Wakenya huwa hawana mzaha ikifika kwenye masuala kama haya. Najua vijana wa Sirro hawatadhubutu tena kufanya upuuzi kama huo.
 
kanyakueni mashmba ya kina Lord Dalamare, Uhuru at al, ndiyo tutawaona majasiri. kama wenzenu wa Zimbabwe na RSA wanavyonyakua mashamba yao bila fidia. vinginevyo nyie ni wapagazi tu katika nchi yenu.
Sasa mtu kama wewe ambaye ameporwa, akadhulumiwa, akapigwa, akateswa na akatupiwa cheche za matusi na chama cha mafisi tangu enzi za mababu zako ndio anawashauri wakenya? Haa! [emoji15]
 
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
MK254,

Mkuu huu ubishi wa hapa mtandaoni na akina Jenerosa msipeleke kule mtaani wale askari wetu huwa hawanaga utani kabisa, mtapata taabu sana halafu mje kurudi hapa kulalamika, usichezee...🙂
 
Sasa mtu kama wewe ambaye ameporwa, akadhulumiwa, akapigwa, akateswa na akatupiwa cheche za matusi na chama cha mafisi tangu enzi za mababu zako ndio anawashauri wakenya? Haa! [emoji15]

ahaaa haa CCM CHAMA KUBWA SIYO CHA KABILA FULANI, YAANI uzuri wa Bongo utakuta Cheyo yuko UDP, lkn wife wake yuko Chama Kubwa, tehe teh .... wakienda kwenye uchaguzi mtaa wake anajikuta kapata kula ya kwake tu, wife wake kapigia chama kubwa. wanarudi home na wala hamfukuzi my waifu wake bado wanabembelezana tu mpaka wanazeeka. This is TZ.

Lkn huko mashamba yote watu wanajua nani walikwiba....
na ndo maana class struggle haiji kuacha... kila uchaguzi lazima kuwe na drama. na chanzo si uchaguzi.... bali ni "historical injustice"....
 
Clearance of goods on the Tanzanian side still takes hours because of formalities and bureaucracies. The custom officials always take their time so that they can be bribed to expedite the process. Whereas on Kenyan side clearance is very fast.This are facts on the ground.
Hahahahahah, cry baby syndrome as usual

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa ww unaushahidi gan wa kusema polisi wa Tz ndio wamemkamata huyo jamaa ? sometime inatokea uhalifu kufanyika upande wa nchi flan then wahalifu hukimbilia nchi nyingine na hata muda mwingine tunasikia watu wa interpol wanakamata magari yaliyoibiwa toka kenya then kuingizwa TZ na muda mwingine waalifu ni wa kenya ...ss hii itoshe tu kukufanya usiwe mwepesi wa kutoa shutuma as if ww unajua ya kwamba huyo jamaa katekwa na polisi wa TZ na kwann hao wananchi waende kuripoti polisi then polisi wa kemya wakishirikiana na wa TZ wafuatilie ni wapi huyo mtu alipo ? juzi juzi mfano mdogo tu ktk mpaka wa TZ na Zambia kuna wahalifu toka zambia walikuja kufanya uhalifu upande wa TZ wakakamatwa wakawekwa rumande mpaka polisi wa zambia walipokuja kuwachukua ..ss iweje kwa upande wa Kenya tu ndio tusikie keleleee mnalaumu mamlaka za Tanzania ...mara mseme mnaharasiwa TZ wakati mgeni akitua tu hapo nairobi polisi wapo kila kona na wakigundua ni mgeni wanakuharass vibaya na kuwarubuni wageni ACHENI tabia ya kujiona nyie ni special one most of you kenyan ni cynicism ....tanzania tuna share border na nchi kibao lkn border na wakenya nyingi ni shidaaa hasa hapo namanga hao wasomali wa kajiado wanajifanya wao ni elite class ....mnawakashifu raia wa nchi jirani zenu mnajiona nyie ni first class .........subirini uchunguzi utok tuone ukweli ni UPI .......
Usipoteze nguvu zako na wajinga hao, wanalazimisha kufanya biashara na sisi wakati hatutaki, Tanzania na Kenya hatuendani, kila mtu abaki kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom