Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
Kagame alifanya hivyo enzi za mwanadiplomasia JK kwa huyu wa sasa hadhubutu. Hata hivyo serikali yetu haiwezi kuteka watu wa jirani na wasiwasi kuna upande wa pili wa hiyo story kumbuka victim ni 'mfanyabiashara'.
 
Hawa watu bila kuwapeleka wimawima hawaelewi kabisa nasikia police wao walikuwa wakiwanunulia vijana chakula na maziwa ili wafanye fujo mpaka pesa ya kununua matairi na petrol imetolewa na police wa Kenya

Cha ajabu hayo yote wanayafanya upande wao huko kenya 😂😂😂😂😂 zumbukuku haswa

Sisi tumewapiga mabomu ya machozi hatutaki kelele
Kama tumerusha mabomu upande wa Kenya hilo jambo siyo zuri ni kazi ya polisi wa Kenya kudeal na issue zilizopo kwenye ardhi yao.
 
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
I did not know you are that much of a fool
 
huu ni ujinga kufikiri waTZ wanaogopa kufanya biashara na wa kenya vurugu za namanga siku zote wa kkenya ndio chanzo ss kama wa Tz wangekuwa wanaogopa kufanya biashara na wa kenya bac lile border lingefungwa ...Kenya na TZ tuna share border kibaooo sijui kama ushawahi sikia mgogoro ktk border ya horohoro au kule sirari na sehemu zingine za rombo ...kila miaka ni Namanga na kila miaka ni kenyans are the one who start violence ... WHY always Namanga and why always Kenyan start violence ?
Border ya horohoro sijui sirare ama rombo zipo almost dormant when it comes to cargo ,more so ni watu wanazitumia the most active border in terms of cargo is namanga followed by holili.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Kwani izo fujonzinazo fanywa hapo chanzo mambo ya cargo ? Community surrounding the border ndio wanashida hasa hao wasomali upande wa kajiado ...na horohoro ni active border wala sio dormant ila shida ipo kwa jamii
Mfano hata ktk border ya Busia ya kenya na uganda kuna kuwa na mikwaruzano izi kqmata kamata lkn jamii za pale wapo resilent na wanashirikiana kwa ukaribu zaidi lkn tofauti na jamii ya namanga watu ni wakorofi ss kama.mtu katekwa kwann wasipeleke malalamiko polisi ili polisi wanpande zote mbili washirikiane kufanya upelelezi
 
Halafu hii itasababisha Watanzania wanaokuja Kenya wapate matatizo mengi, maana awali Noah zenu hapo Namanga huachiwa kuchukua abiria wa Arusha wanaotokea Nairobi, hivyo hilo genge lenu la wasiojulikana litakua limetumia huo mwanya.
Sasa kila gari lenye usajiri wenu itakua full usumbufu, huwa mnafanya mambo bila kushirikisha ubongo.
Utaratibu wa kawaida Noah za Arusha lazima kukagaliwa hasa passport za abiria kabla kuanza safari.Pia zipo road block zaidi ya 4 kati ya Namanga na Arusha.Inashangaza Noah ya watekaji imevuka checkpoints zote.
 
Wakenya ni feki saana aisee...... Unaclash na tanzania then unachoma moto your own country...

Aah aaah aaah

Sent using Jamii Forums mobile app

Utakua huijui Namanga wewe, hii picha hapa ni Tanzania ndani, japo siungi mkono hiki walichokifanya ndugu zangu kuingia na kuwasha moto upande wa Tanzania. Hii issue nalaumu serikali yetu kwa kuachia huu uchokozi wa Watanzania uendelee bila majibu.
Ndio maana nikatamani tungekua tunatawaliwa na Kagame, yule ndio dawa yenu....sijui kwanini rais Uhuru anawachekea chekea hivi, huo mpaka unafaa kuwa declared hostile, maana tukiruhusu hizo noah ambazo huwateka huko kwenu kuanza kuvuka na kuteka na kwetu pia, itakua hatari sana, inafaa siku moja hiyo noah imiminiwe risasi kama zile mlimpiga nazo Lissu.

fb_img_1553725451183-jpeg.1055734
 
D2pm2tpWwAAQaIX.jpg
Tz ukivuka hiko kibanda mbele hapo
 
AIsee ni kweli nimejaribu kufuatilia huu mgogoro kila mwaka upande wa Kenya ndio wanakuwa wakwanza kufanya vurugu mara kufunga njia...nimefuatilia mlolongo wa matukio yaliyoripotiwa hapo namanga na inaonekana wazi wakenya wamekuwa wepesi kufanya fujo na marazote hawakimbilii ktk kamati za kutatua migogoro ktk mpaka.....kuna mwaka flan wafanya biashara wa kenya walifunga mpaka kuzuia watz wasiingie kenya wakidai kuna mwenzao kakamatwa, mara wakafunga tena njia wakidai kuna mkenya aligongwa na gari lori toka TZ, mara mambo walifunga njia kulalamikia harassment wanafanyiwa na TZ now this time mtu kapotea wanasema katekwa kuelekea TZ ...ni wazi wa254 msiwe wepesi kutoa lawama upande wa TZ maana inawezekana pia mtu kutekwa na wakenya wenzake then wakamkimbizia upande wa tz sababu ya usalama wao watekaji ...lkn pia ktk eneo hilo la namanga wakenya wamekuwa wepesi sana kuchukua sheria mkononi niwasihi tu warejee kwa vyombo vyao vya ulinzi nafikiri kufikia hapo ni rahisi kwa nchi hizi mbili kufanya mashirikiano ya pamoja kutatua tatizo maana hata juzi kule mpaka na wa zambia tuliona vibaka toka zambia walikuja kufanya fujo umbande wa TZ wakashughulikiwa na polisi wa TZ wazambia wakafanya fujo mpaka polisi wa zambia walipokuja kuwachukua ndio polisi wa tz waka wa release
Walijaribu kufusha vigoyo vyao vya miguu kuja Tz wakijidai hawaogopi kifo, waulize tena salam wanazo au hawana?

Tz ni nchi ya sheria na sheri ndio inayoleta uhuru wa kweli.

Wakenya wenye akili timamu tulikuwa tunazunguka nao tz wanakataa kwao penye uhuru wa maandamano ya amani.

Wanafadhili maandamano kwa gharama kubwa, wanashindwa kupeleka mahindi na chakula Turkana.

Wasomali wamepewa nguvu ambayo ni nguvu nusu ya shetani, yani wanajiamulia tu kuvuruga amani kisa wanapesa.

Na nasema wataendelea kupigwa na alshababu miaka yote mpaka akili ziwakae sawa.

Kenya ni kikundi cha wahuni walioamua kukaa sehemu moja na kutawaliwa na wahuni wababe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya ni feki saana aisee...... Unaclash na tanzania then unachoma moto your own country...

Aah aaah aaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hawachomi nyama bana. Walichofanya ni kufunga barabara. Jana mabasi ambayo huwa yanawasafirisha watu hadi Tz yamekwama Kitengela Town, takriban kilomita 70 kutoka Namanga. Hoteli na guest zimejaa watz Kitengela na kwasababu wakenya hawana hamu ya kuingia Tz siku hizi najua upande wa pili Longido kuna watz wengine pia ambao shughuli zao Kenya ziliishia boda upande wa Tz. Yaani ni mwendo wa mwaga sima nimwage mchuzi. Ila baadhi ya watz ni watu wa ajabu. Eti mnaunga mkono upuuzi wa vitengo vya usalama kujaribu kuwakandamiza raia wa kawaida, kwasababu ni wakenya? Ndio maana huwa mpo mpo tu. Kesho wewe hapo utadhulumiwa na hawa hawa unaowatetea.
 
Hii mada ifungwe maana humu sijui mnabishana nini maana huyo Mohammed alishatafutwa na polisi wa Tanzania akapatikana alikopelekwa (sijui na nani) mpaka mpakani kwa Maafisa wa Kenya wakamchukua jioni ya Jana..
Nb.kuendelea kubishana hapa ni ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo hawachomi nyama bana. Walichofanya ni kufunga barabara. Jana mabasi ambayo huwa yanawasafirisha watu hadi Tz yamekwama Kitengela Town, takriban kilomita 70 kutoka Namanga. Hoteli na guest zimejaa watz Kitengela na kwasababu wakenya hawana hamu ya kuingia Tz siku hizi najua upande wa pili Longido kuna watz wengine pia ambao shughuli zao Kenya ziliishia boda upande wa Tz. Yaani ni mwendo wa mwaga sima nimwage mchuzi. Ila baadhi ya watz ni watu wa ajabu. Eti mnaunga mkono upuuzi wa vitengo vya usalama kujaribu kuwakandamiza raia wa kawaida, kwasababu ni wakenya? Ndio maana huwa mpo mpo tu. Kesho wewe hapo utadhulumiwa na hawa hawa unaowatetea.
Dar express, Tahemeed, Dar lux, saibaba. Zote zimefanya safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asichokielewa huyo hizo bus zinavukaga hapo border asubuhi kabisa labda kama hizo fujo zilianza kabla ya saa 2 asubuhi
Zilivuka na walishaanza kuchoma tairi, unajua wanatumia akili za nyuma(sorry kwa neno nyuma), na mtu alikuwa na mkono 255 pamoja na kelele zao kama mbarara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani izo fujonzinazo fanywa hapo chanzo mambo ya cargo ? Community surrounding the border ndio wanashida hasa hao wasomali upande wa kajiado ...na horohoro ni active border wala sio dormant ila shida ipo kwa jamii
Mfano hata ktk border ya Busia ya kenya na uganda kuna kuwa na mikwaruzano izi kqmata kamata lkn jamii za pale wapo resilent na wanashirikiana kwa ukaribu zaidi lkn tofauti na jamii ya namanga watu ni wakorofi ss kama.mtu katekwa kwann wasipeleke malalamiko polisi ili polisi wanpande zote mbili washirikiane kufanya upelelezi
You have just mentioned namanga and busia those borders are active because of cargo on transit hence making the community around more active, have you ever been to horohoro? Vanga and horohoro border very few cargoes there for making the border abit dormant, namanga watu wanaishi karibu na mpaka because of the busy border ,vanga kidogo pia watu wanaishi karibu na mpaka lakini horohoro watu wanaishi mbali Sana afu homes are scattered . horohoro hakuna biashara kabsa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom