eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.
Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.
Mbona unatoka povu bila sababu? Tanzania na Kenya ni ndugu. Hakuna shida kama unayodhani.
Hizo nguvu ungezielekeza Somalia. Maana walendiyo shida SANA kwa Kenya. Utafikiri wame wabadili mungiki.