joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Dhuluma mbayofanyiwa na viongozi wenu kuwaibia pesa zenu kwa njia ya rushwa Mbona hamsemi?. Kenyatta family na wazungu waliwadhulumu ardhi yenu, hadi leo Wakenya masikini wanaendelea kufa njaa kila mwaka, kwanini msipambane nao?Sidhani kuna chuki baina ya wakenya na watanzania. Hii ni nguvu ya umma dhidi ya vitengo ovyo vya usalama. Hiki ni kitu cha kawaida sana Kenya, nakuhakikishia kwamba ndugu zetu nao upande wa pili Longido hawana afueni hata kidogo, wanadhulumiwa kila uchao bila sababu za msingi. Kwa kisingizio kwamba eti wao ni wakenya sio watanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app