Kenyans clash with Tanzanian police after businessman is abducted.

Sidhani kuna chuki baina ya wakenya na watanzania. Hii ni nguvu ya umma dhidi ya vitengo ovyo vya usalama. Hiki ni kitu cha kawaida sana Kenya, nakuhakikishia kwamba ndugu zetu nao upande wa pili Longido hawana afueni hata kidogo, wanadhulumiwa kila uchao bila sababu za msingi. Kwa kisingizio kwamba eti wao ni wakenya sio watanzania.
Dhuluma mbayofanyiwa na viongozi wenu kuwaibia pesa zenu kwa njia ya rushwa Mbona hamsemi?. Kenyatta family na wazungu waliwadhulumu ardhi yenu, hadi leo Wakenya masikini wanaendelea kufa njaa kila mwaka, kwanini msipambane nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usipoteze nguvu zako na wajinga hao, wanalazimisha kufanya biashara na sisi wakati hatutaki, Tanzania na Kenya hatuendani, kila mtu abaki kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
No unajua izi nchi mbili zinategemeana sometimes izi diplomatic pressure zisituzidi ktk karne ya leo echumi shirikishi ndio kila kitu humu tupo JF hatuonani lkn kunawenzetu ambao wanaishi pamoja wana shares vitu na maisha kwa ujumla japo changamoto zipo lkn lzm tuzishinde ...mfano tumeona kule eritrea na ethiopia wale walivunja uswaiba wa kidiplomasia kwa muda mrefu lkn juzi hapa wamerejesha mahusiano yao na milango ya fursa baina ya nchi mbili zimefunguka na hata ss tunasikia ethiopia wana tumia bandari ya ethiopia ..... changamoto mipakani zipo kila nchi hata kule Busia mpaka wa UG na KE chaos zinatokea kama hizi kuchomeana bidhaa feki masala ya harrassment yapo na hizi zote zinatokana na political matters
 
MK254,

Mkuu huu ubishi wa hapa mtandaoni na akina Jenerosa msipeleke kule mtaani wale askari wetu huwa hawanaga utani kabisa, mtapata taabu sana halafu mje kurudi hapa kulalamika, usichezee...🙂

Wacha kuwa kichekesho, huko kwenu mwanamke mmoja Mange Kimamba hubabaisha polisi wanakimbia kimbia nchi yote, mtiti wa Kikenya ni tofauti, na ndio maana unaona tumefaulu kuwa na katiba mpya na pia upinzani kuchukua uongozi wa nchi.
Sio kama nyie mumenyon'gonyea miaka yote....
 
Dhuluma mbayofanyiwa na viongozi wenu kuwaibia pesa zenu kwa njia ya rushwa Mbona hamsemi?. Kenyatta family na wazungu waliwadhulumu ardhi yenu, hadi leo Wakenya masikini wanaendelea kufa njaa kila mwaka, kwanini msipambane nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu tunaionea wivu nchi tajiri ya Tz na mali yake yote kwenye account za mafisadi wa fisiemu kama Mkapa kule kwenye benki Switzerland. 😎
 
No unajua izi nchi mbili zinategemeana sometimes izi diplomatic pressure zisituzidi ktk karne ya leo echumi shirikishi ndio kila kitu humu tupo JF hatuonani lkn kunawenzetu ambao wanaishi pamoja wana shares vitu na maisha kwa ujumla japo changamoto zipo lkn lzm tuzishinde ...mfano tumeona kule eritrea na ethiopia wale walivunja uswaiba wa kidiplomasia kwa muda mrefu lkn juzi hapa wamerejesha mahusiano yao na milango ya fursa baina ya nchi mbili zimefunguka na hata ss tunasikia ethiopia wana tumia bandari ya ethiopia ..... changamoto mipakani zipo kila nchi hata kule Busia mpaka wa UG na KE chaos zinatokea kama hizi kuchomeana bidhaa feki masala ya harrassment yapo na hizi zote zinatokana na political matters
Hivi unawajua Wakenya vizuri?, kwanini isitokee watanzania japo siku moja walalamike na wafanye fujo?, ina maana siku zote ni Tanzania ndiyo inayofanya makosa Na Kenya ni watakatifu hawakosei?. Sasa itawezekana vipi Kati ya Shetani na Malaika kuishi pamoja?.

Nyerere ambaye hakuwa mtu mbinafsi hata kidogo, mtu aliyewapenda watu kuliko yeye mwenyewe, alipenda nchi majirani kuliko nchi yake, lakini alishindwa kuelewana na Wakenya hadi alifunga mpaka, nani mwengine ataweza kuishi vizuri na Wakenya?, Usipoteze nguvu zako bure, achana nao hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwasababu tunaionea wivu nchi tajiri ya Tz na mali yake yote kwenye account za mafisadi wa fisiemu kama Mkapa kule kwenye benki Switzerland. 😎
Shughulikieni rushwa, land injustice na Ukabila kwanza, hizo Ndio Dhuluma kubwa zinazosababisha njaa na division miongoni mwenu. Utabaki kupiga domo tupu, Tanzania Sio Kenya ambapo watu wanachota pesa ya nchi wapendavyo na kuficha ktk Bank za nje. Mgonjwa yenu msijaribu kutuambukiza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhuluma mbayofanyiwa na viongozi wenu kuwaibia pesa zenu kwa njia ya rushwa Mbona hamsemi?. Kenyatta family na wazungu waliwadhulumu ardhi yenu, hadi leo Wakenya masikini wanaendelea kufa njaa kila mwaka, kwanini msipambane nao?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Hao achana nao hawana akili

Afu wanadhani wana akili sana kumbe hamna kitu

Always Genius ajisemi watu ndo wanamsema na kumtangaza

Pumbavu Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unawajua Wakenya vizuri?, kwanini isitokee watanzania japo siku moja walalamike na wafanye fujo?, ina maana siku zote ni Tanzania ndiyo inayofanya makosa Na Kenya ni watakatifu hawakosei?. Sasa itawezekana vipi Kati ya Shetani na Malaika kuishi pamoja?.

Nyerere ambaye hakuwa mtu mbinafsi hata kidogo, mtu aliyewapenda watu kuliko yeye mwenyewe, alipenda nchi majirani kuliko nchi yake, lakini alishindwa kuelewana na Wakenya hadi alifunga mpaka, nani mwengine ataweza kuishi vizuri na Wakenya?, Usipoteze nguvu zako bure, achana nao hao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nakumbuka The late mwalimu alishawahi kuita kenya ni dog -eat-dog society .... Lkn ni vyema ss kwa hivi vizazi vipya watu wabadilike kama kweli wao wanapenda kufanya biashara na wenzao mbona huku bongo wakenya wapo na wanaishi freely and friendly na wa tz .
 
Aaah wapi, baadhi ya basi walizipark Kitengela Police Station jana, tena mapema sana kwa uoga kwamba zitavamiwa barabarani na vijana wenye hasira pale Kajiado town kilomita 25 hivi kutoka Namanga. Yaani unabisha ukiwa huko huko Manzese?
Mkuu, sio kila alieko JF yupo Dar unajiaibisha sana. Hakuna Bus ya Nairobi to Dar ambayo haijapita. Zote zimepita. Vijana wenye asira kali ndo hawa wakitishwa ti wanakimbia kimbia kama ng'ombe?.

Kuona polisi tu naona watu wanarudi nyuma.

Uhuru wa kufanya mtakacho ni huko kenya na sio huku Tz.

Hueleweki, ngoja nitafute mtu nimlipe aje anitafsirie hii comment yako. Hii lazima uliiandika ukifanya jogging.
 
Naona hili kundi hatari la Tanzania linalofahamika kama wasiojulikana limepata ujasiri wa kuvuka mpaka na kufanya yao, ila jinsi serikali yetu ilivyo ovyo, jambo kama hili wanaweza kulipotezea.
Hapa ndio huwa natamani tutawaliwe na watu kama Kagame, yule huwa hawabembelezi Watanzania, huwaliza sana.

Yaani kama watu wa ikulu hupitia humu wajue huwa nawachukulia ovyoo sana na wana udhaifu wa kijinga, tunafaa tufikie maamuzi ya ku-declare uhusiano baina ya hizi nchi mbili kama hostile, iwe kama kinachotokea baina ya Rwanda na Uganda.

Akili yako ni ndogo sana na hufikirii mbali. Viongozi wako wa ikulu wanajua nchi yenu inapata faida gani kutoka tz kuliko ku-declare upuuzi unaofikiria
 
Wacha kuwa kichekesho, huko kwenu mwanamke mmoja Mange Kimamba hubabaisha polisi wanakimbia kimbia nchi yote, mtiti wa Kikenya ni tofauti, na ndio maana unaona tumefaulu kuwa na katiba mpya na pia upinzani kuchukua uongozi wa nchi.
Sio kama nyie mumenyon'gonyea miaka yote....

Ahaaa haaa haaa
Pale ambapo mtafanya land expropriation without compensation toka kina LORD Dalamare na kina Kenyatta ndiyo nitaona mtiti wenu ni hatari.
 
kanyakueni mashmba ya kina Lord Dalamare, Uhuru at al, ndiyo tutawaona majasiri. kama wenzenu wa Zimbabwe na RSA wanavyonyakua mashamba yao bila fidia. vinginevyo nyie ni wapagazi tu katika nchi yenu.
Umiliki wa ardhi Zimbabwe na Tanzania nitofauti na Kenya , Kenya kuna rules and procedures on how to own land , because we have working laws and our Constitution is very clear on private land ,we can't just get up one morning to invade private properties ,we are law abiding citizens.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujasiri mngeleta kwa mafisadi wenu na wakwara ardhi...
Ila cha ajabu nyie mnaleta ujasiri kwenye ukabila ndio shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujasiri wetu tumeutumia kuhakikisha kuwa hatunyanyashwi na serikali maana tunazijua haki zetu,sie ni tofauti na nyie mnaokandamizwa kila siku hamna hata Uhuru wa kuikosoa serikali yenu pia utatwambia nini?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umiliki wa ardhi Zimbabwe na Tanzania nitofauti na Kenya , Kenya kuna rules and procedures on how to own land , because we have working laws and our Constitution is very clear on private land ,we can't just get up one morning to invade private properties ,we are law abiding citizens.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
Private land?? How do these guys obtained those large track of land?
 
Back
Top Bottom