Watanzania na Wakenya tuache kukuza aina hii za magomvi. Athari zake kwa siku zinavyokuja ni kubwa sana.
Mbona hatujiulizi kwa nini Sirari hatusikii mambo ya aina hiyo, Horohoro na Holili pia?
Kwa bahati nzuri nazijua boda zote, kwa nini iwe ni Tunduma na Namanga tu wakati tumepakana na Nchi nane na boda zaidi ya tisa!
Naijua Zambia naijua Kenya, siasa zao mpaka raia wao. Tukemee hasira za kijinga za Vijana wa hii mipaka. Sipendelei, lakini vitendo vya majirani zetu kuonyesha tatizo la Mtu mmoja kama tatizo la Nchi nzima
Sent using
Jamii Forums mobile app