Kenyans wamechoka! Wakazi wa Mbeere Kusini wamtaka Mbunge wao kutimiza ahadi zake

Kenyans wamechoka! Wakazi wa Mbeere Kusini wamtaka Mbunge wao kutimiza ahadi zake

Taarifa za huu uzi zinapaswa ziwape fundisho fulani Watanzania, muache kuishi kwa mazoea, mpo kwenye kipindi cha kampeni, wanakuja kuwaambia watakachowafanyia, muache kufia chama ilhali mpo maskini wa kutupwa.

Je, wewe uko kwa hawa 66% wasio na elimu? Kazi yenu kuimba mapambio mkikesha kuponda Kenya.

2493310_IMG_20200821_113304.jpg

2244989_FB_IMG_15763488720020943.jpeg
Huku ni Kwetu nyanda za Juu Kusini,
700Km from Dar,
Ingekuwa ni Wewe upo kwenye Mazingira kama haya, utaenda kuweka mawe barabarani ukaacha kuchakarika kutafuta pesa?
Halafu huku Kuna Barabara za Lami, na Kuna Umeme, maji umeletewa hadi nje ya nyumba yako, well established modern Healthcare facilities, Education tuition free kwa watoto, unahitaji nini tena? Msituambukize shida.
IMG_20200603_165656.jpg
IMG_20200603_165642.jpg
IMG_20200603_165844.jpg
IMG_20200603_124152.jpg
IMG_20200603_165646.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Is that a desert or what?

Jesuuuuu!! Ndio pamechakaa namna hii huko Kenya!?
Imagine, Hawa watu wana Shida aisee, umaskini kama huu sijawahi ona,

This is a Village in Kilimanjaro,
Trust me mtu ukiwa hapa ni stress free, the chances of the residents in these areas kuweka mawe kwa Barabara ni ndogo sana especially when they have enough Food, plentiful water, electricity, land for for their economic activities and they can access health services na watoto wao wako shule tuition fee free.

IMG_20200216_180323.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
climate inafaa Sana kulima miraa
Kuna nchi ni desert 100% ila zinaleta misaada ya Chakula Kenya kila mwaka, Sababu maelfu ya Wakenya wanakufa njaa, Ardhi yenye ruruba ni Mali ya Kenyata na Wazungu wanalima Chai na maua wanasafirisha ulaya, inayobaki wakikuyu wameishikilia ndio wanalima Mirungi,
K.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huku ni Kwetu nyanda za Juu Kusini,
700Km from Dar,
Ingekuwa ni Wewe upo kwenye Mazingira kama haya, utaenda kuweka mawe barabarani ukaacha kuchakarika kutafuta pesa?
Halafu huku Kuna Barabara za Lami, na Kuna Umeme, maji umeletewa hadi nje ya nyumba yako, well established modern Healthcare facilities, Education tuition free kwa watoto, unahitaji nini tena? Msituambukize shida.View attachment 1560285View attachment 1560286View attachment 1560288View attachment 1560290View attachment 1560291

Sent using Jamii Forums mobile app

Sijaelewa nini unachojaribu kueleza maana Tanzania yote inafahamika ina rotuba nzuri, sema nyie wazembe na ndioa maana mpo bado maskini.
 
View attachment 1560301

Sent using Jamii Forums mobile app
I know u can't believe unless u get here n see for yourself, huku watu hawajawahi receive relief food wanajidepend , that area mnasema ni desert actually provides food n fees for their children
 
Kuna nchi ni desert 100% ila zinaleta misaada ya Chakula Kenya kila mwaka, Sababu maelfu ya Wakenya wanakufa njaa, Ardhi yenye ruruba ni Mali ya Kenyata na Wazungu wanalima Chai na maua wanasafirisha ulaya, inayobaki wakikuyu wameishikilia ndio wanalima Mirungi.
View attachment 1560301

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania yenye ardhi nzuri lakini bado imewekeza katika kilimo cha umwagilia, hadi sasa takriban hekta 700000 zina mifumo ya umwagiliaji.

Kenya ambayo ardhi yake ni jangwa, ndio ingefaa iwekeze zaidi katika miundombinu ya umwagiliaji zaidi ya Tanzania, lakini cha ajabu ni kwamba ni hekta 125,000 pekee ndio wamejenga mifumo ya umwagiliaji, Kenya ni nchi ya ajabu Sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sijaelewa nini unachojaribu kueleza maana Tanzania yote inafahamika ina rotuba nzuri, sema nyie wazembe na ndioa maana mpo bado maskini.
Sio kweli kwamba Tanzania yote in Rutuba, Wewe umesafiri mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora na baadhi ya maeneo ya Iringa, Ni kukame sana ila watu wanalima na Kumwagilia alizeti na Zabibu like no one's bussiness.

Ndio maana unaona Tanzania inaongoza kiuchumi ukanda huu wote kwenye idadi ya Milionaires na billionaires yaani kila idara, na inaweza kumudu kulisha nchi kama Kenya yenye watu zaidi ya Milioni 45.

Huwezi kuwa mzembe ukalisha mataifa y Kenya na Rwanda kwa 100%

Pili Tanzania Sio maskini tena, ni nchi ya Kipato cha kati
IMG_20200317_210637.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahivyo masikini ni wale ambao huwa wanawawajibisha wawakilishi wao na matajiri huwa hawana kero ambazo wanategemea zitatuliwe na viongozi wao? Hongera kwa kutumia kichwa chako kwenye shughuli moja tu ya kubebea meno.
Sehemu zilizoendelea ulishawahi kuona wanalalama kwa viongozi wao juu ya ahadi za uongo?
Hapo ndio utaona bora kichwa changu kinasaidia hata kubeba meno, ila cha kwako kina mzigo wa uchafu tu hapo ndani.
 
Tanzania yenye ardhi nzuri lakini bado imewekeza katika kilimo cha umwagilia, hadi sasa takriban hekta 700000 zina mifumo ya umwagiliaji

Kenya ambayo ardhi yake ni jangwa, ndio ingefaa iwekeze zaidi katika miundombinu ya umwagiliaji zaidi ya Tanzania, lakini cha ajabu ni kwamba ni hekta 125,000 pekee ndio wamejenga mifumo ya umwagiliaji, Kenya ni nchi ya ajabu Sana.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
What do you expect for a Nation that have been ruled by 2 (two) Tribes for over 50years?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sehemu zilizoendelea ulishawahi kuona wanalalama kwa viongozi wao juu ya ahadi za uongo?
Hapo ndio utaona bora kichwa changu kinasaidia hata kubeba meno, ila cha kwako kina mzigo wa uchafu tu hapo ndani.
Yaani kwa mazingira hayo ni wazi hakuna maji, hakuna Umeme, hakuna Chakula, watu wana hasira sana,
Kama Nairobi tu hakuna maji ndio iwe huku? Maskini Wakenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu, najua najaza seva zetu za JF kwa kukukoti. Ila inanilazimu kufanya hv.

Utamuuwa huyu mungiki kwa mawazo. Utamfanya hata awe mhamiaji haramu kama wale wahabesh wanaokamtwa kwetu kila siku.
Huku ni Kwetu nyanda za Juu Kusini,
700Km from Dar,
Ingekuwa ni Wewe upo kwenye Mazingira kama haya, utaenda kuweka mawe barabarani ukaacha kuchakarika kutafuta pesa?
Halafu huku Kuna Barabara za Lami, na Kuna Umeme, maji umeletewa hadi nje ya nyumba yako, well established modern Healthcare facilities, Education tuition free kwa watoto, unahitaji nini tena? Msituambukize shida.View attachment 1560285View attachment 1560286View attachment 1560288View attachment 1560290View attachment 1560291

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂 uko nikujifariji tu wakenya mnajituma linapokuja swala la kuhujumu taifa lenu tu, yahani wizi kwa kwenda mbele yahani ukiona wakenya kumi basi jua nane kati yao ni wezi wazuri tu
Hapa kwenye Uzi hawajafika kumi😂
 
Kuna nchi ni desert 100% ila zinaleta misaada ya Chakula Kenya kila mwaka, Sababu maelfu ya Wakenya wanakufa njaa, Ardhi yenye ruruba ni Mali ya Kenyata na Wazungu wanalima Chai na maua wanasafirisha ulaya, inayobaki wakikuyu wameishikilia ndio wanalima Mirungi,
View attachment 1560301

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajifanya kufahamu Kenya kuliko wazawa. What an epic fail!
Nitakupa darasa, toka leo ufahamu jamii ya Wakikuyu hawalimi Mirungi!! Bali ni Jamii za Waembu na Wameru.
 
Kuna nchi ni desert 100% ila zinaleta misaada ya Chakula Kenya kila mwaka, Sababu maelfu ya Wakenya wanakufa njaa, Ardhi yenye ruruba ni Mali ya Kenyata na Wazungu wanalima Chai na maua wanasafirisha ulaya, inayobaki wakikuyu wameishikilia ndio wanalima Mirungi,
View attachment 1560301

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kwa huzuni.
 
Back
Top Bottom