Kenyans wamechoka! Wakazi wa Mbeere Kusini wamtaka Mbunge wao kutimiza ahadi zake

Kenyans wamechoka! Wakazi wa Mbeere Kusini wamtaka Mbunge wao kutimiza ahadi zake

Hawa jamaa kuna laana fulani inawatafuna sio bure. Hebu cheki hivi vitu;
1. Ukame ni wao.
2. Njaa ni yao.
3. Nzige ni janga lao pia.
4. Rushwa imejaa kwao.
5. Tamaa mbaya ya viongozi ni kwao.
6. ....
Kwanini? Nasikia hata msaada wa korona kits alizozitoa Jack Maa zimepotea mazima. Sijui wameziuza wapi?
wanaongozwa na Makabila mawili (kikuyu and Kelenjin) kwa Miaka 60 sasa,
a need for a different dream

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wakenya mnapata wapi ujasiri wa kuzungumza na Tanzani kuhusu politicians wenu wasivyowajibika kwa wananchi badala yake wao hujilimbikizia Mali.

Katika eneo la wanasiasa kuwajibika na kuwatumikia wananchi badala ya kujilimbikizia mali, Tanzania inaongoza Africa nzima, Tanzanian politicians are closer to wananchi than any other politicians in Africa if not in the World.

Magufuli is the most hardworking president in the World currently still the second poorest and less paid president in Africa after Buhari of Nigeria.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Unaumwa wewe, aliyemtaja magufuli ni nani? Hivi mlitimiziwa hizi ahadi za kujengewa viwonder vingi na mitumba yenu kuuzwa Ulaya? [emoji38]
 
Sehemu zilizoendelea ulishawahi kuona wanalalama kwa viongozi wao juu ya ahadi za uongo?
Hapo ndio utaona bora kichwa changu kinasaidia hata kubeba meno, ila cha kwako kina mzigo wa uchafu tu hapo ndani.
Sehemu zilizoendea kama Tz au unamaanisha nini? 😀 UK walimng'atua PM wao madarakani kisa hakuwajibika, Thambo Mbeki wa S.A pia, Hosni Mubarak wa Misri n.k, n.k. Huna ufahamu wowote kuhusu masuala kama haya, akili zako ni saizi ya kukimbiza tu mwenge.
 
Unafahamu maana ya kuwajibika? Au unatype tu sababu keyboard inaruhusu?
Kwanza argument na wapenda sifa wakati unashindia kiporo cha ugali wa juzi huwa sizifanyi. Kajifunze kiswahili ndio uje ulete facts za viongozi wako wamefanya nini ndio tutaelewana. Kama mna maendeleo wananchi wangerusha mawe ya nini?
 
Ila kunaonekana kuna umaskini na ufukara mno, cheki kulivopauka na watu walivyochakaa kwa kukosa matumaini [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa labda ni kwa wazazi wako na upo hapa kupiga mdomo
Screenshot_20200906-131900.png
 
Unafahamu maana ya kuwajibika? Au unatype tu sababu keyboard inaruhusu?
Kwanza argument na wapenda sifa wakati unashindia kiporo cha ugali wa juzi huwa sizifanyi. Kajifunze kiswahili ndio uje ulete facts za viongozi wako wamefanya nini ndio tutaelewana. Kama mna maendeleo wananchi wangerusha mawe ya nini?
Ni wananchi ambao wanajitambua hurusha mawe ili viongozi waajibike. Najua huko kwenu mkushaimbiwa drimlaina na SGRaa foleni za kupiga zinajaa kondoo.
Screenshot_20200906-131900.png

Usisahau Wakenya ndio mnaoweza wasiliana nao kwa lugha ya Kiswahili dunia nzima...respect our SWAHILI 😁
 
Kwani katika nchi zenye kuongea kiswahili hata kenya imo kwenye orodha!
Ni wananchi ambao wanajitambua hurusha mawe ili viongozi waajibike. Najua huko kwenu mkushaimbiwa drimlaina na SGRaa foleni za kupiga zinajaa kondoo.
View attachment 1560442
Usisahau Wakenya ndio mnaoweza wasiliana nao kwa lugha ya Kiswahili dunia nzima...respect our SWAHILI [emoji16]
 
Unaumwa wewe, aliyemtaja magufuli ni nani? Hivi mlitimiziwa hizi ahadi za kujengewa viwonder vingi na mitumba yenu kuuzwa Ulaya? [emoji38]
Ukiachana na wakikuyu wenye wivu kwa Tanzania, Africa yote imekubali kwamba Magufuli is the best president, au unataka wazungu ndio wakuambie hivyo?, soma comments za waafrika ikiwemo wakenya wenzako baada ya kusikiliza video

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli kwamba Tanzania yote in Rutuba, Wewe umesafiri mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora na baadhi ya maeneo ya Iringa, Ni kukame sana ila watu wanalima na Kumwagilia alizeti na Zabibu like no one's bussiness,
Ndio maana unaona Tanzania inaongoza kiuchumi ukanda huu wote kwenye idadi ya Milionaires na billionaires yaani kila idara, na inaweza kumudu kulisha nchi kama Kenya yenye watu zaidi ya Milioni 45,
Huwezi kuwa mzembe ukalisha mataifa y Kenya na Rwanda kwa 100%
Pili Tanzania Sio maskini tena, ni nchi ya Kipato cha katiView attachment 1560310

Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania yote hakuna sehemu iliyofikia ukame wa maeneo ya kaskazini mwa Kenya, huku Kenya kuna eneo kubwa sana utadhani jangwa kabisa.
 
Jamaa anaitwa King'ang'i- mamba kwa kimbeere, kiembu, kitharaka, kichuka na kikamba pia, ila ana mbio kama swara. [emoji1][emoji1][emoji1] Vaaii ariteng'era marathoni ta Kipchoge mukuru! [emoji38]
Hapo utakuta yupo hospotali anatiwa maji mwilini kutokana na mshtuko[emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa kuna laana fulani inawatafuna sio bure. Hebu cheki hivi vitu;
1. Ukame ni wao.
2. Njaa ni yao.
3. Nzige ni janga lao pia.
4. Rushwa imejaa kwao.
5. Tamaa mbaya ya viongozi ni kwao.
6. ....
Kwanini? Nasikia hata msaada wa korona kits alizozitoa Jack Maa zimepotea mazima. Sijui wameziuza wapi?
Hushangai mbna tumewazidi
 
Unafahamu maana ya kuwajibika? Au unatype tu sababu keyboard inaruhusu?
Kwanza argument na wapenda sifa wakati unashindia kiporo cha ugali wa juzi huwa sizifanyi. Kajifunze kiswahili ndio uje ulete facts za viongozi wako wamefanya nini ndio tutaelewana. Kama mna maendeleo wananchi wangerusha mawe ya nini?
Baada ya kuona umekamatwa sasa unakimbilia kw lugha[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti sehemu zilizoendelea wananchi huaga hawasumbuani na wanasiasa wao
 
Back
Top Bottom