game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
wanaongozwa na Makabila mawili (kikuyu and Kelenjin) kwa Miaka 60 sasa,Hawa jamaa kuna laana fulani inawatafuna sio bure. Hebu cheki hivi vitu;
1. Ukame ni wao.
2. Njaa ni yao.
3. Nzige ni janga lao pia.
4. Rushwa imejaa kwao.
5. Tamaa mbaya ya viongozi ni kwao.
6. ....
Kwanini? Nasikia hata msaada wa korona kits alizozitoa Jack Maa zimepotea mazima. Sijui wameziuza wapi?
a need for a different dream
Sent using Jamii Forums mobile app