Kenyans wamechoka! Wakazi wa Mbeere Kusini wamtaka Mbunge wao kutimiza ahadi zake

Jamaa kakimbia saana....wasije wakamvunja mguu.

Hili ni tatizo la Dunia... wanasiasa wakishafika maofisini wanayasahau walioahidi.

Lakini ni tatizo la karibia kila mmoja. Je, ni wangapi wanaotimiza ahadi ndogo ndogo tu kwenye maisha ya kila siku!
Mkuu, uko sahihi kabisa, ila type za akina magu huwa wanaongea na kutenda.
 
Baada ya kuona umekamatwa sasa unakimbilia kw lugha[emoji23][emoji23][emoji23]
Eti sehemu zilizoendelea wananchi huaga hawasumbuani na wanasiasa wao
[emoji1][emoji1][emoji1] Ndio kawaida yao, wakibanwa huwa wanaanza kutapatapa na hadithi zao za Abunuwasi. Pumba kama hizo huwa nazipuuza tu.
 

Tanzina wasipoangalia, hayo ya wakenya yatakuwa cha mtoto. Mungu atuepushe na janga hili la hiki chama yasije yakagikia hatua ya wanyama kuingia msituni kudai uhuru wao.
 
Only South Africa and Nigeria have more dollar millionaires than Kenya in Africa and Kenya has more than the rest of East Africa combined. What's wrong with your head?
 
Kama kupo rich, kwanini wamkurupushe huyo MP wenu?
Kadanganye watoto wenu walioko kwa lockdown.
Demanding accountability is not poverty, it's enlightenment. Ana unataka tushinde tukisema ndio baba kama wabongolala na CCM?
 

Sasa mbona Tanzania bado maskini pamoja Na rasilmali hizo zote mlizo nazo?
 
Mkimalizana na huyo karibuni sana Tanzania kuwapiga mawe Wabunge wa maccm. Muanze na spika Ndugai na naibu wake Tulia.

 
Only South Africa and Nigeria have more dollar millionaires than Kenya in Africa and Kenya has more than the rest of East Africa combined. What's wrong with your head?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wakikuona wakenya wenzako wanakushangaa.

endelea kuota, anyway umemuona teacher wa middle economy country vile anafanana???
View attachment 1560919
 
Tanzania Kuna umaskini kishinda huu Tena kwenye sehemu zilizo Na rotuba.
aaaah tutakubaliana kwenye mambo mengi, ila inapokuja kwenye hali ya umasikini kati ya tz na kenya, mnatisha ukanda huu wote.

watoto wanafuata uji shule mwalimu analalamika watoto wamefuta lengo, wanakwenda kula shule, yet mmekaa nairobi hapo mnajisifia $99bln. guys mna kesi ya kujibu kwa muumba.

tuma video kama hii kutokea tz.
 
Hahahaha, wewe lazima utakua ni mkikuyu, wakikuyu wanaumia sana tangu Knight Frank ilipotoa ripoti iliyoonyesha kwamba Tanzania has 5363 and Kenya 2932 Millionaires, any way huo ndio ukweli hauhitaji approval from any mungiki [emoji23][emoji23][emoji23]
 
una hasira na mimi na sihusiki na mimba yako!!!!!

dada vipi bana!!
 
Hahaha!!hko watu wanaliwa na fisi kisa kusaka maji[emoji23][emoji23]
 
Lete data za 2015 mpka sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nishakukimbiza[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…