Kenya's GDP debt ratio hit 60%

Kenya's GDP debt ratio hit 60%

Mkopo wa SGR $1.2b uko wapi? Usijisahaulishe WB na IMF zimeeasamehe deni hivi majuzi tu.
Ninyi hadi leo mnabembeleza sana ili muweze kusamehewa baadhi ya madeni lakini mnakataliwa kwa sababu pesa mlizochukua mlizitumia vibaya, zungumzeni na Tanzania ikawaombee msamehewe madeni kwasababu inaheshimika na kuaminika sana.
 
Eti tz inaheshimika na kuaminika? Hehehehe 😀 na nani? Labda Afghanistan na Malawi, swahiba zenu hao. Hatuna la kuomba kutoka tz kijana.
 
Feature: Kenya's drought victims applaud food donation from Chinese firms - Xinhua | English.news.cn
Kwanini hamtaki kukubali kwamba hali ni mbaya?, kama hadi chakula mnapewa misaada, madeini mnashindwa kurudisha, vipi mnaweza kujilinganisha na nchi iliyotoa $3.1B kujenga reli yake?. Kwanini mnajisikia vibaya kuomba msaada kwa jirani yako?, ndiyo maana ya ujirani mwema, tupo tayari kusaidia kwasababu Kenya ikifilisika, Tanzania itabeba mzigo mkubwa wa wakimbizi kuliko nchi yoyote ile.
Imeshaanza kubeba, wanafurikaje humu
 
Huwezi kulipa deni kwa kukopa tene, huko hujalipa deni badala yake umehamisha deni, kibaya zaidi mkopo mnauchukua hivi sasa una interest kubwa kuliko huo mnaoenda kulipa. Ukiona creditors wanakataa kuongeza muda wa kulipa deni jua your credit worthiness imepungua sana
Creditors wakiongeza muda inaonesha mlivo wadhaifu wakuonewa huruma. Kenya hatukuwagi mavictim jombaa.
 
Eti tz inaheshimika na kuaminika? Hehehehe 😀 na nani? Labda Afghanistan na Malawi, swahiba zenu hao. Hatuna la kuomba kutoka tz kijana.
Funny , every year huwa mnatulilia tuwauzie mahindi. Nyangau akili zenu mnazijua wenyewe
 
Kwenye list ya Nchi zote LDC debt to GDP Ratio is mostly below 40% and if you are in doubt go check it out with your Google search engine.
Jenga hoja unataka kusema nini?, wewe elimu yako ni ndogo sana, huna unalojua zaidi ya kuropoka, kila nchi imewekea ceiling limit ya kukopa kutokana na ukubwa wa uchumi wake, muhimu ni kuangalia kama hiyo ceiling mnaikaribia kuimaliza au hapana, jeulize Kenya ceiling point yenu ni kiasi gani na kwasasa mmefikisha asilimia ngapi?, acha kuchungulia kwa jirani zako, you have different exams question papers, utafeli.
 
Creditors wakiongeza muda inaonesha mlivo wadhaifu wakuonewa huruma. Kenya hatukuwagi mavictim jombaa.
Ndiyo sababu ninakuambia uwezo wako wa kufikiria ni mdogo, soma katika hiyo article, serikali yenu iliomba kuongezewa muda wa miezi sita hadi April 2018 lakini creditors wamekataa, mnalazimika kukopa kwengine ili kulipo hilo deni mwezi huu.
Vipi kuhusu kuomba msamehewe madeni yenu? http://allafrica.com/stories/200601310799.html
 
Wewe ambaye ni genius unaona hela zinazoongelewa? Kama mlishindwa na kabombardier tu hapo mtawezana? Hebu convert kwa zile hela zenu za madafu tzshs! 😀😀😀
 
Ninyi hadi leo mnabembeleza sana ili muweze kusamehewa baadhi ya madeni lakini mnakataliwa kwa sababu pesa mlizochukua mlizitumia vibaya, zungumzeni na Tanzania ikawaombee msamehewe madeni kwasababu inaheshimika na kuaminika sana.
Hahaaaa we huna kichwa kizuri....unashangilia kusamehewa madeni???
 
Wewe ambaye ni genius unaona hela zinazoongelewa? Kama mlishindwa na kabombardier tu hapo mtawezana? Hebu convert kwa zile hela zenu za madafu tzshs! 😀😀😀
Ujinga wako unazidi kukomaa siku hadi siku, Bombadier imezuiliwa na mahakama baada ya kampuni husika kwenda mahakamani, sasa ulitaka tulipe kabla mahakama haijatoa uamuzi wake?, Kama tulizinunua ndege sita kwa mpigo, jumla ni zaidi ya $300M, tushindwe kulipa $30M, ni kichaa peke yake anaweza kufikiria hilo. Tumelipia $3.1B kipande cha SGR, $500M ununuzi wa electrical trains, $2.3B ujenzi wa hydroelectricity, eti tukose $30M.
 
Yani unadhani hatujui yanayoendelea Tanzania??? Mtatumia pesa zenyu kujenga phase 1 only dar-morogoro ambayo ni 300km na itagharimu $1.2b. So far serikali imetoa $125m(Tsh 290b) in the last financial year kuanzisha ujenzi...reli yote itakua 1200km na itagharimu zaida ya $3b
Hayo ati tyari tumetoa 3.4b usd kadanganye bongolala wenzako
 
Kwa pace ya averagely 200m USD per financial year itawachukua zaidi ya miaka 6 kumaliza phase 1 alone
 
Back
Top Bottom