joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ninyi hadi leo mnabembeleza sana ili muweze kusamehewa baadhi ya madeni lakini mnakataliwa kwa sababu pesa mlizochukua mlizitumia vibaya, zungumzeni na Tanzania ikawaombee msamehewe madeni kwasababu inaheshimika na kuaminika sana.Mkopo wa SGR $1.2b uko wapi? Usijisahaulishe WB na IMF zimeeasamehe deni hivi majuzi tu.