Kenya's Head of Intelligence (NSIS head) on the way out?

Kenya's Head of Intelligence (NSIS head) on the way out?

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672
President Uhuru Kenyatta is to call a meeting at the State House of the National Security Council (NSC) in the next few hours/days to discuss the future of Major General Michael Gichangi the head of the National Security Intelligence Service (NSIS).

What's Gichangi's fate?
 
Kenya naona hawataki mchezo...

Baada ya fiasco la Westgate wameitisha public enquiry na kisha Baraza la Usalama la Taifa lao wakawahoji maofisa wote wakuu wa Uslama wa Nchi hiyo na hivi ninavyo type tayari bosi wa Usalama wa Taifa wa Kenya (Major General Michael Gichangi) kaambiwa asubmit resignation yake na Mheshimiwa Uhuru....

Swali la Kizushi

Kwa nini TV za Tanzania haziko clear kama za Kenya? na kwa nini TV za Tanzania hazionyeshi online live?

Last edited by a moderator:
Under JK we seem to be taking one step forward and two steps back. I remember the good old days when I would walk the streets of Kampala, everywhere I went I saw people watching EATV and they seemed to like it. Back then we exported TV channels, bro!
 
This is nonsense anafukuzwa mtu ili iweje? basi wafukuzwe wote na wasaidizi wake na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Waliasha onywa kuwa watashambuliwa kwanini hawakuwa ready?
 
Under the current situation in Tanzania expect more poor quality. They feel that even what is available on the market right now is a favor as we are the most unpiky people on the face of the earth
 
This is nonsense anafukuzwa mtu ili iweje? basi wafukuzwe wote na wasaidizi wake na Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Waliasha onywa kuwa watashambuliwa kwanini hawakuwa ready?

Mambo hayaendi hivyo mkuu, Familia yako ikifa njaa wewe mkuu wa kaya ndio unawajibika hata kama,kuna mtoto kamwaga unga.
Ulikuwa wapi kuwabana wachini wafanye kazi!!
 
it is called accountability..... Not herbal Inteligency
Uwajibikaji wa Kipumbavu mpaka Watu

wamekufa zaidi ya watu 70 Eti Serikali inamfukuza Kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa ili iweje ? huyo mkuu wa Usalama wa Taifa ni

sawasawa na Watu zaidi ya 70 waliopoteza Roho zao? hiyo kweli inaonyesha kwenye Wizara husika huko Kenya kuna Uzembe wa kazi

huo Usalama waTaifa Kenya haufanyi kazi yake sawasawa. For me this is nonsense.

Mambo hayaendi hivyo mkuu, Familia yako ikifa njaa wewe mkuu wa kaya ndio unawajibika hata kama,kuna mtoto kamwaga unga.
Ulikuwa wapi kuwabana wachini wafanye kazi!!
Pamoja na hivyo Watu wamepoteza Roho zao ilikuwa wawajibike na

wakubwa wahusika kama Waziri wa Mambo ya Ndani pia ahusike kuwajibika sio lawama lote anatupiwa Mkuu Wa Usalama wa Taifa

tu, kwangu mimi hilo jambo la kumfukuza kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Upuuzi mtupu.
 
Uko entitled to your opinion mkuu.
Lakini sehemu iendeshwayo ki nidhamu, kuna daraja za uwajibikaji. Wahusika wamefikia uamuzi kua mkuu wa Intelligensia kachemsha hivyo kalazimishwa kubwaga manyanga.
Hivi ndivyo idara, wizara na hata nchi inavyoendeshwa mzee. Ingekuwa Bongo sidhani kama angwajibishwa mtu, pengine angepewa promosheni....
Angalia RPC wa Iringa alivyopeta japokuwa ushahidi wa wazi na picha ukimuonyesha akiwa usoni na Mwangosi...
Wenzetu japokuwa wamechemsha kwa Westgate, ni lazima kurudia mkanda kuona kosa limetokea wapi na nani kachemsha awajibishwe. Usishangae na wengine pia wakaenda.
 
Maybe he spent a lot of time spying on opponents of Kenyatta. He forgot at the end of the day he'll be judged based on his constitutional mandate. I hope there's a lesson for TISS to learn
 
Uwajibikaji wa Kipumbavu mpaka Watu

wamekufa zaidi ya watu 70 Eti Serikali inamfukuza Kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa ili iweje ? huyo mkuu wa Usalama wa Taifa ni

sawasawa na Watu zaidi ya 70 waliopoteza Roho zao? hiyo kweli inaonyesha kwenye Wizara husika huko Kenya kuna Uzembe wa kazi

huo Usalama waTaifa Kenya haufanyi kazi yake sawasawa. For me this is nonsense.

Pamoja na hivyo Watu wamepoteza Roho zao ilikuwa wawajibike na

wakubwa wahusika kama Waziri wa Mambo ya Ndani pia ahusike kuwajibika sio lawama lote anatupiwa Mkuu Wa Usalama wa Taifa

tu, kwangu mimi hilo jambo la kumfukuza kazi Mkuu wa Usalama wa Taifa ni Upuuzi mtupu.
take time to learn how systems work before you politicize everything
 
Uko entitled to your opinion mkuu.
Lakini sehemu iendeshwayo ki nidhamu, kuna daraja za uwajibikaji. Wahusika wamefikia uamuzi kua mkuu wa Intelligensia kachemsha hivyo kalazimishwa kubwaga manyanga.
Hivi ndivyo idara, wizara na hata nchi inavyoendeshwa mzee. Ingekuwa Bongo sidhani kama angwajibishwa mtu, pengine angepewa promosheni....
Angalia RPC wa Iringa alivyopeta japokuwa ushahidi wa wazi na picha ukimuonyesha akiwa usoni na Mwangosi...
Wenzetu japokuwa wamechemsha kwa Westgate, ni lazima kurudia mkanda kuona kosa limetokea wapi na nani kachemsha awajibishwe. Usishangae na wengine pia wakaenda.
Kuna hourly na daily briefings zinazomweka jamaa kona
 
This is very stupid. Kitu cha kwanza kilichotakiwa kufanywa ni assessment of where the security establishment failed. Kuanzia emigration, police, intelligence hadi military intelligence wote wafanyiwe assessment on what they knew, what they did, what they didn't do and what should have been done and more importantly how to prevent this happening again.

Tujifunze kwa wenzetu, blame games don't prevent disasters from recurring. Hivi after 9-11 or 7-7 nani alilazimishwa ku-resign in US and UK respectively? After all, security agencies can not prevent all crimes/attacks from happening, let's discuss about how to improve rather than starting a witch hunt.
 
kutoka statehouse it is not good, reports are that very many people are going home. after westgate intelligence men have been caught napping after. In 1998 they were cuaght napping by osama bin laden. very many things haven't in terms of security changed since then
 
kutoka statehouse it is not good, reports are that very many people are going home
If the confession I posted here is true, then none is clean nor safe in UhuRuto's Government. The implication of top security officials, Senior Govt workers and KDF commander in planning and executing Westgate assault will not leave the country in harmony.
 
Dah!! na wale wanajeshi walionaswa kwenye cctv mlangoni mwa duka la simu wakiingia na bunduki wanatoka na mabox na bunduki zao ni aibu and that goes out international
 
kwa nini kenya hawaendi kulipa kisasi jamani, yaani wanawaaacha hivihivi kabisa?!!, so sad
 
Uko entitled to your opinion mkuu. Lakini sehemu iendeshwayo ki nidhamu, kuna daraja za uwajibikaji. Wahusika wamefikia uamuzi kua mkuu wa Intelligensia kachemsha hivyo kalazimishwa kubwaga manyanga. Hivi ndivyo idara, wizara na hata nchi inavyoendeshwa mzee. Ingekuwa Bongo sidhani kama angwajibishwa mtu, pengine angepewa promosheni.... Angalia RPC wa Iringa alivyopeta japokuwa ushahidi wa wazi na picha ukimuonyesha akiwa usoni na Mwangosi... Wenzetu japokuwa wamechemsha kwa Westgate, ni lazima kurudia mkanda kuona kosa limetokea wapi na nani kachemsha awajibishwe. Usishangae na wengine pia wakaenda.

Na kuunga mkono hapo bro,,,at least maoni yako ni practical lakini si
kama hayo ya wengine ambao,,hata mtu hajui,,nini,,,, siasa ama nini.

Mambo ya westgate,,,,yote maswali kuulizwa ni mkuu wa ujasusi Kenya
,,,,ambae anawajibika na si waziri wa usalama.

Kwani,,kazi yake,,,bwana Gichangi,,,ni kukaa ofisini tuu.

Kazi ya waziri ni pana sana,,anahusika na mambo mengi sana,,lakini
kazi ya Gichangi,,ni mmmoja tuu,,kujua nini cha weza kufanyika Kenya.

Ambao leta mambo eti waziri eti ana faa hata yeye kujiuzulu,,hiyo ni
siasa ile ile ya kawaida bila hata kujaribu kujifahamisha na mambo
yalivyo,,hasili.
 
Back
Top Bottom