Uko entitled to your opinion mkuu. Lakini sehemu iendeshwayo ki nidhamu, kuna daraja za uwajibikaji. Wahusika wamefikia uamuzi kua mkuu wa Intelligensia kachemsha hivyo kalazimishwa kubwaga manyanga. Hivi ndivyo idara, wizara na hata nchi inavyoendeshwa mzee. Ingekuwa Bongo sidhani kama angwajibishwa mtu, pengine angepewa promosheni.... Angalia RPC wa Iringa alivyopeta japokuwa ushahidi wa wazi na picha ukimuonyesha akiwa usoni na Mwangosi... Wenzetu japokuwa wamechemsha kwa Westgate, ni lazima kurudia mkanda kuona kosa limetokea wapi na nani kachemsha awajibishwe. Usishangae na wengine pia wakaenda.
Na kuunga mkono hapo bro,,,at least maoni yako ni practical lakini si
kama hayo ya wengine ambao,,hata mtu hajui,,nini,,,, siasa ama nini.
Mambo ya westgate,,,,yote maswali kuulizwa ni mkuu wa ujasusi Kenya
,,,,ambae anawajibika na si waziri wa usalama.
Kwani,,kazi yake,,,bwana Gichangi,,,ni kukaa ofisini tuu.
Kazi ya waziri ni pana sana,,anahusika na mambo mengi sana,,lakini
kazi ya Gichangi,,ni mmmoja tuu,,kujua nini cha weza kufanyika Kenya.
Ambao leta mambo eti waziri eti ana faa hata yeye kujiuzulu,,hiyo ni
siasa ile ile ya kawaida bila hata kujaribu kujifahamisha na mambo
yalivyo,,hasili.