Nyinyi siku mtajakutupita kwa lolote nitajua dunia inaisha,to compare KDF to tpdf is a joke of decade...... Eti tpdf hahahahaaaPeleka upumbavu wako kenya mnajeshi gani vilaza nyie kajifananisheni na malawi mbuzi nyie wa alshababu mkiwaweza hao ndio kidogo mtakua mmeanza jifunza kupamban
Hahaha acha utani aisee yaani kweli nyie Kenya mtupe Tanzania homa wababe wa hizi kazi? Alshabab haina tofauti na waasi waliopo Congo kwa style yao ya mapigano lakini tafuta heshima iliyonayo Tanzania nchini Congo tunavyowadhibiti waasimaanake nikakuambia msiwai omba vita na Kenya....al shabab ni wanamgambo kama tpdf tofauti in kuwa shabab wanajificha ficha lakini nyinyi in a open battle hamutuwezi period!!!!!
Vipi kuhusu ukuaji wa uchumi wa 5.5% vs 7.2%, Vipi kuhusu mapato yatokanayo na utalii, vipi kuhusu FDI?, vipi kuhusu amani na utulivu, au hayo si muhimu kwako, muhimu ni GDP tu?Nyinyi siku mtajakutupita kwa lolote nitajua dunia inaisha,to compare KDF to tpdf is a joke of decade...... Eti tpdf hahahahaaa
Hahaha duh kwa kweli unaniacha hoi, Hongera kwa kipaji naona talanta ya kuchekesha umejaliwa si habanaona umeanza kutokwa povu na bado....... muziki wetu tutaja kuwapa tu usijali na mtadance venye tunataka
Kenya wamepika data zao nyingi sana, kwa kifupi standard of living Tanzania tupo juu ya wakenya, wakenya wanaishi maisha ambayo Tanzania hayapo majority of Kenyans wanaishi kwenye mabanda ya mabati chakavu kitu ambacho Tanzania ni maajabu,Vipi kuhusu ukuaji wa uchumi wa 5.5% vs 7.2%, Vipi kuhusu mapato yatokanayo na utalii, vipi kuhusu FDI?, vipi kuhusu amani na utulivu, au hayo si muhimu kwako, muhimu ni GDP tu?
Kijana utakuwa hujui chochote wewe! Hebu lete hapa Battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda!Nyinyi siku mtajakutupita kwa lolote nitajua dunia inaisha,to compare KDF to tpdf is a joke of decade...... Eti tpdf hahahahaaa
Standards gani za kuishi wakati hata kwa nyumba yako JPM ndo anafanya maamuzi? Kwangu mkenya ni heri niishi angalau hata siku moja kama nimesimama kama mwanaume kamili na miguu yangu miwili kuliko kuishi kwa starehe kama nimepiga magoti maisha yangu yote! Mtu anapigwa risasi nane lakini wanaume wamekimyaa, wametuliiia. Useless! Tz yote mwanaume ni mmoja tu, Mange Kimambi! Kha!Kenya wamepika data zao nyingi sana, kwa kifupi standard of living Tanzania tupo juu ya wakenya, wakenya wanaishi maisha ambayo Tanzania hayapo majority of Kenyans wanaishi kwenye mabanda ya mabati chakavu kitu ambacho Tanzania ni maajabu,
Majority of Kenyans wanaishi kwa mkate na chai kitu ambacho Tanzania hakipo
Hapo sijaongelea umaskini wa kutisha uliopo turkana, garissa na mandera huko kuna umaskini wa kila kitu hasa chakula na maji kitu ambacho t
Nani kakuambia Magufuli ndio kampiga risasi? Wakae kimya tunyooshe nchi huo sio wakati wa kubembelezana kama walivyozoea saivi ni kazi tu.Standards gani za kuishi wakati hata kwa nyumba yako JPM ndo anafanya maamuzi? Kwangu mkenya ni heri niishi angalau hata siku moja kama nimesimama kama mwanaume kamili na miguu yangu miwili kuliko kuishi kwa starehe kama nimepiga magoti maisha yangu yote! Mtu anapigwa risasi nane lakini wanaume wamekimyaa, wametuliiia. Useless! Tz yote mwanaume ni mmoja tu, Mange Kimambi! Kha!
Ni wapi hapo niliposema kuwa Supreme Leader Mtakatifu J.P.Magufuli ndo kampiga risasi? Mbona unajishuku? Tuambie basi profesa, nani alimpiga risasi? Nyinyi watu wa N.Korea huwa mnanishangaza sana!Nani kakuambia Magufuli ndio kampiga risasi? Wakae kimya tunyooshe nchi huo sio wakati wa kubembelezana kama walivyozoea saivi ni kazi tu.
Tpdf fought rebels and KDF is in war with terrorist try to differentiate the two, which one of them have the experience than otherKijana utakuwa hujui chochote wewe! Hebu lete hapa Battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda!
Unatuletea hapa vifaa mnavyopewa msaada kila siku na wamarekani ili mpambane na alshabaab na bado wanawatusua!
Utamkufuru Mungu bure wewe boya, MZIKI WA JWTZ hauufahamuNimeuliza [HASHTAG]#truths[/HASHTAG] tz mna navy au ni hiyo mitumbwi 9 ndio mnaita navy alafu airforce ata tusizungumzie alafu unaniambia eti best in east and the whole africa.TPDF KALINGANISHE NA RWANDA/BURUNDI
una haki ya kusema, sisi kamwe co wa kufananisha na KDFtpdf ni wanamgambo tu na hakuna jipya...airforce ni ndege za wizi yaani za IDD amin
weweeee tuna military training centre za kimataifa arusha ,dar ambazo nikubwa na za kimataifa we training ma officer mbalimbali kutoka nchi za sadc na duniani ikiwemo nyinyi mnaojiita kdf sijui mambo mengine tunaweka siriuna haki ya kusema, sisi kamwe co wa kufananisha na KDF
Hapo ndipo wapumbavu wa North korea ya East Africa wanavyonitia kichefuchefu. CCM hamtokaa muwe na analytical minds . Utulive wa Tanzania kwa mamcho ya true thinkers umetokana na vitu vingi na sio jeshi.Utulivu wa nchi ni kwa sababu ulinzi uko imara.
Wewe angalia tunazungukwa na nchi zilizo na mapigano kila kukicha lakini Tanzania ipo tulivu sana kwa sababu ya ulinzi ulio imara.
mojawapo ya upumbavu wa wajamaa duniani ni unafiki, ila dunia yao huwa ni ngumu sana.Teerorists km waliwapenda sana mbona walipiga ambomu tz zaidi ya mara moja pamoja na unafiki wenu?Akili za chooni hizi ,na kushauriwa na agents wa ugaidi ktk waswhaili ndizo zinaua tz. Nani kawaambia kuwa ukidanganya watu kuwa mamba sio adui,siku unaamua kuingia ktk pool pamoja nae atakuacha. Ujamaa ni ushetani, na ndio wa kwanza kulia sana.Congo, Mozambique, Burundi nk.
Halafu nyie mnaenda kule somalia kwa kihere here chenu tu.
Nairobi tunaishushia kipondo ndani ya sekunde inapotea.
Tunaweka mashine mbili tu pale Kilimanjaro (A-100 multiple rocket launchers) Nairobi inabaki majivu.
habari yako mwanamgambo wa tpdfHahaha acha utani aisee yaani kweli nyie Kenya mtupe Tanzania homa wababe wa hizi kazi? Alshabab haina tofauti na waasi waliopo Congo kwa style yao ya mapigano lakini tafuta heshima iliyonayo Tanzania nchini Congo tunavyowadhibiti waasi
Mzee wenu kenyata alishawahi kubeep, gafla akalala mbeleTry us...si empty words
Mkuu tulilipiga jeshi LA idd Amini na jeshi LA Libya na vifaa vyao vya kisasa walivyopanga kumpa Amini tukawanyang'anya. Sasa huyo nyumbu kwanini hatak kukubali JWTZ ni jeshi bora Afrika wakati huyo mlibya mnayemsifu kuwa na jeshi zuri tulimgalagaza vibaya sana. In short JWTZ walipiga majeshi mawili kwa wakati mmoja.weweeee tuna military training centre za kimataifa arusha ,dar ambazo nikubwa na za kimataifa we training ma officer mbalimbali kutoka nchi za sadc na duniani ikiwemo nyinyi mnaojiita kdf sijui mambo mengine tunaweka siri
pili alipigwa idd amin na halipata favour toka libya kwa msaada wa vifaaaa na akapgwa vizuri na vifaa tukachukua ndiooo vifaaa ivyo vipo tuuu as retirements equipments tuna vifaaa vyetu vya kisasa tuu
wewe endelea kuota.....hata AP wa kenya wakati mmoja waliweza kupambana na majeshi ya mu7 na kuua baadhi yao hivyo pia AP ni bora afrika sivyo.....fikiri kama binadamu sio kama kunguruMkuu tulilipiga jeshi LA idd Amini na jeshi LA Libya na vifaa vyao vya kisasa walivyopanga kumpa Amini tukawanyang'anya. Sasa huyo nyumbu kwanini hatak kukubali JWTZ ni jeshi bora Afrika wakati huyo mlibya mnayemsifu kuwa na jeshi zuri tulimgalagaza vibaya sana. In short JWTZ walipiga majeshi mawili kwa wakati mmoja.