Old - Hand
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 2,042
- 1,917
Akili mbovu wewe.....
Hii sio kombora ndugu.[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili mbovu wewe.....
[emoji123][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli wewe mende hasa Hilo jeshi LA mu7 ni bora Afrika? Hata top 5 halipo. Mimi nazungumzia kulipiga jeshi bora Afrika Kama Libya. Acha upanya wewewewe endelea kuota.....hata AP wa kenya wakati mmoja waliweza kupambana na majeshi ya mu7 na kuua baadhi yao hivyo pia AP ni bora afrika sivyo.....fikiri kama binadamu sio kama kunguru
Hizi ndo zitakuwa zile tulinunua Uzbekistan nini? 😀
wewe nielewe na uache ujuha....kwa hivyo hao wanamgambo wenu wanaweza kulipiga jeshi la m7 sivyoKweli wewe mende hasa Hilo jeshi LA mu7 ni bora Afrika? Hata top 5 halipo. Mimi nazungumzia kulipiga jeshi bora Afrika Kama Libya. Acha upanya wewe
Tulishawapigaga. Awamu hii unganisha nguvu Mu7 na Kenyattawewe nielewe na uache ujuha....kwa hivyo hao wanamgambo wenu wanaweza kulipiga jeshi la m7 sivyo
Hayo maoni yako tu..we mwenyewe wajiweza kiasi ganiKenya wamepika data zao nyingi sana, kwa kifupi standard of living Tanzania tupo juu ya wakenya, wakenya wanaishi maisha ambayo Tanzania hayapo majority of Kenyans wanaishi kwenye mabanda ya mabati chakavu kitu ambacho Tanzania ni maajabu,
Majority of Kenyans wanaishi kwa mkate na chai kitu ambacho Tanzania hakipo
Hapo sijaongelea umaskini wa kutisha uliopo turkana, garissa na mandera huko kuna umaskini wa kila kitu hasa chakula na maji kitu ambacho tanzania hakuna umaskini wa chakula ambao ndio umaskini mbaya kuliko aina zote za umaskini.
N what battle record does TPDF has..remember even the Somali army defeated u.s marine in 1992.I don't think the same case can apply today my friendKijana utakuwa hujui chochote wewe! Hebu lete hapa Battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda!
Unatuletea hapa vifaa mnavyopewa msaada kila siku na wamarekani ili mpambane na alshabaab na bado wanawatusua!
Thubutuuuu.
Hao mgambo wa alshabaabu tu wanawatoa Kamasi kule somali land
Tanzania ndio the Most powerful afrika mashariki na Kati yote
Na kwa bara la afrika nzima.
JWTZ Hatutoki nje ya 3 bora,
kama sio Namba Moja kabisa.
Labda Egypt na South Afrika.
Manake bajeti ya jeshi la Egypt linafadhiliwa na USA. Hawa watakua powerful kwasababu ya mgongo wa mwamerika.
South Afrika hawa wako vizuri kiuchumi tangu siku nyingi.
Namibia wanatengeneza ndege zao wenyewe, lakini bado hawazidi mziki wetu.
Nigeria wale washakua vimeo toka long time. Jeshi lao halina nidhamu. Lina mapungufu mengi.
Afrika imeisha yote. Kwishney..!!
Tumebaki sisi ambao ni strong and solid.
Sent using Jamii Forums mobile app
TRUTHS 1)kati ya kdf na jwtz na wanakaa wanamgambo.2)jeshi lenu limewai kupigana vita na terrorists na usiniambie wale wanamgambo wa congo
Why don't you take time and find TPDF's Battle records & compare them with those of kdf!N what battle record does TPDF has..remember even the Somali army defeated u.s marine in 1992.I don't think the same case can apply today my friend
Tanzania an LDC is definitely ages behind Kenya socially, economically and obviously militarily. Hizo zingine ni bla bla blah our noisy neighbors na Kelele za chura hazitamzuia Kenya kusonga mbele kwa mwendo kasi.Why don't you take time and find TPDF's Battle records & compare them with those of kdf!
Usisahau kuangalia peace keeping records.
Really? I didn't knw uko petty kiasi hk! Nimewaomba battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda lakini unaishia kuleta ushuzi!Tanzania an LDC is definitely ages behind Kenya socially, economically and obviously militarily. Hizo zingine ni bla bla blah our noisy neighbors na Kelele za chura hazitamzuia Kenya kusonga mbele kwa mwendo kasi.
Mwendokasi wa Njaa kule Turkana yes...mwendokasi wa watu kuuliwa na polisi kila siki yes...mwendokasi wa kuisambaratisha nchi kwa ukabila na rushwa iliyokithiri yes.....mwendokasi wa kutia aibu huko Marekani na Uingereza kwa kuandamana kuonyesha ukabila wenu nchi za nje yes... mwendokasi wa gharama za maisha kuzidi kila siku yes....Hongereni sana.Tanzania an LDC is definitely ages behind Kenya socially, economically and obviously militarily. Hizo zingine ni bla bla blah our noisy neighbors na Kelele za chura hazitamzuia Kenya kusonga mbele kwa mwendo kasi.
wewe ni kunguni sana.....ulikua unataka kdf wapigane na hatuna adui wakati huo....stupidity from TanzaniansReally? I didn't knw uko petty kiasi hk! Nimewaomba battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda lakini unaishia kuleta ushuzi!
unajifanya venye unajua Kenya.....Mwendokasi wa Njaa kule Turkana yes...mwendokasi wa watu kuuliwa na polisi kila siki yes...mwendokasi wa kuisambaratisha nchi kwa ukabila na rushwa iliyokithiri yes.....mwendokasi wa kutia aibu huko Marekani na Uingereza kwa kuandamana kuonyesha ukabila wenu nchi za nje yes... mwendokasi wa gharama za maisha kuzidi kila siku yes....Hongereni sana.
OK,Al shabab are your friends?wewe ni kunguni sana.....ulikua unataka kdf wapigane na hatuna adui wakati huo....stupidity from Tanzanians
Wewe ni sawa na mtu anayenyonywa damu na kunguni, anaishia kulalama na kutukana!wewe ni kunguni sana.....ulikua unataka kdf wapigane na hatuna adui wakati huo....stupidity from Tanzanians
wewe na wadanganyika wenzako..u ar very stupidWewe ni sawa na mtu anayenyonywa damu na kunguni, anaishia kulalama na kutukana!
Hata hujui umuhimu wa battle records kwenya military strength[emoji33] [emoji33] [emoji33] Stupidity from a Kenyan!