Kenya's military might

Kenya's military might

wewe endelea kuota.....hata AP wa kenya wakati mmoja waliweza kupambana na majeshi ya mu7 na kuua baadhi yao hivyo pia AP ni bora afrika sivyo.....fikiri kama binadamu sio kama kunguru
Kweli wewe mende hasa Hilo jeshi LA mu7 ni bora Afrika? Hata top 5 halipo. Mimi nazungumzia kulipiga jeshi bora Afrika Kama Libya. Acha upanya wewe
 
Kweli wewe mende hasa Hilo jeshi LA mu7 ni bora Afrika? Hata top 5 halipo. Mimi nazungumzia kulipiga jeshi bora Afrika Kama Libya. Acha upanya wewe
wewe nielewe na uache ujuha....kwa hivyo hao wanamgambo wenu wanaweza kulipiga jeshi la m7 sivyo
 
Kenya wamepika data zao nyingi sana, kwa kifupi standard of living Tanzania tupo juu ya wakenya, wakenya wanaishi maisha ambayo Tanzania hayapo majority of Kenyans wanaishi kwenye mabanda ya mabati chakavu kitu ambacho Tanzania ni maajabu,
Majority of Kenyans wanaishi kwa mkate na chai kitu ambacho Tanzania hakipo

Hapo sijaongelea umaskini wa kutisha uliopo turkana, garissa na mandera huko kuna umaskini wa kila kitu hasa chakula na maji kitu ambacho tanzania hakuna umaskini wa chakula ambao ndio umaskini mbaya kuliko aina zote za umaskini.
Hayo maoni yako tu..we mwenyewe wajiweza kiasi gani
 
Kijana utakuwa hujui chochote wewe! Hebu lete hapa Battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda!

Unatuletea hapa vifaa mnavyopewa msaada kila siku na wamarekani ili mpambane na alshabaab na bado wanawatusua!
N what battle record does TPDF has..remember even the Somali army defeated u.s marine in 1992.I don't think the same case can apply today my friend
 
Thubutuuuu.

Hao mgambo wa alshabaabu tu wanawatoa Kamasi kule somali land

Tanzania ndio the Most powerful afrika mashariki na Kati yote

Na kwa bara la afrika nzima.

JWTZ Hatutoki nje ya 3 bora,
kama sio Namba Moja kabisa.

Labda Egypt na South Afrika.
Manake bajeti ya jeshi la Egypt linafadhiliwa na USA. Hawa watakua powerful kwasababu ya mgongo wa mwamerika.

South Afrika hawa wako vizuri kiuchumi tangu siku nyingi.
Namibia wanatengeneza ndege zao wenyewe, lakini bado hawazidi mziki wetu.

Nigeria wale washakua vimeo toka long time. Jeshi lao halina nidhamu. Lina mapungufu mengi.

Afrika imeisha yote. Kwishney..!!

Tumebaki sisi ambao ni strong and solid.

Sent using Jamii Forums mobile app

Budget ya ulinzi Tanzania ni ths ngapi??
Idadi ya askari??
Ngege za kivita, vifaru magari na vinginevyo idadi yake??
Ishiriki katika vita na operesheni mbalimbali??

Baada ya hapo tuanze kujadili

umoja
 
TRUTHS 1)kati ya kdf na jwtz na wanakaa wanamgambo.2)jeshi lenu limewai kupigana vita na terrorists na usiniambie wale wanamgambo wa congo

Unauliza swali halafu unachagua majibu ujibiwe

Wale KDF westgate walitoka na rambo za sukari na biskuti
 
N what battle record does TPDF has..remember even the Somali army defeated u.s marine in 1992.I don't think the same case can apply today my friend
Why don't you take time and find TPDF's Battle records & compare them with those of kdf!

Usisahau kuangalia peace keeping records.
 
vbnjf.jpg
bnnxc.jpg
No title(208).jpg
No title(209).jpg
 
Why don't you take time and find TPDF's Battle records & compare them with those of kdf!

Usisahau kuangalia peace keeping records.
Tanzania an LDC is definitely ages behind Kenya socially, economically and obviously militarily. Hizo zingine ni bla bla blah our noisy neighbors na Kelele za chura hazitamzuia Kenya kusonga mbele kwa mwendo kasi.
 
Really? I didn't knw uko petty kiasi hk! Nimewaomba battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda lakini unaishia kuleta ushuzi!
 
Mwendokasi wa Njaa kule Turkana yes...mwendokasi wa watu kuuliwa na polisi kila siki yes...mwendokasi wa kuisambaratisha nchi kwa ukabila na rushwa iliyokithiri yes.....mwendokasi wa kutia aibu huko Marekani na Uingereza kwa kuandamana kuonyesha ukabila wenu nchi za nje yes... mwendokasi wa gharama za maisha kuzidi kila siku yes....Hongereni sana.
 
Really? I didn't knw uko petty kiasi hk! Nimewaomba battle records ambazo kdf wamepigana na kushinda lakini unaishia kuleta ushuzi!
wewe ni kunguni sana.....ulikua unataka kdf wapigane na hatuna adui wakati huo....stupidity from Tanzanians
 
Mwendokasi wa Njaa kule Turkana yes...mwendokasi wa watu kuuliwa na polisi kila siki yes...mwendokasi wa kuisambaratisha nchi kwa ukabila na rushwa iliyokithiri yes.....mwendokasi wa kutia aibu huko Marekani na Uingereza kwa kuandamana kuonyesha ukabila wenu nchi za nje yes... mwendokasi wa gharama za maisha kuzidi kila siku yes....Hongereni sana.
unajifanya venye unajua Kenya.....
 
wewe ni kunguni sana.....ulikua unataka kdf wapigane na hatuna adui wakati huo....stupidity from Tanzanians
Wewe ni sawa na mtu anayenyonywa damu na kunguni, anaishia kulalama na kutukana!

Hata hujui umuhimu wa battle records kwenya military strength[emoji33] [emoji33] [emoji33] Stupidity from a Kenyan!
 
Wewe ni sawa na mtu anayenyonywa damu na kunguni, anaishia kulalama na kutukana!

Hata hujui umuhimu wa battle records kwenya military strength[emoji33] [emoji33] [emoji33] Stupidity from a Kenyan!
wewe na wadanganyika wenzako..u ar very stupid
 
Back
Top Bottom