Kenya's population stands at 47.6 million; Nairobi most populous county with 4.4 million people. A breakdown

GDP ya Nai ni sawa na gdp ya tz
Sio kweli
Kwa hiyo umejua kwamba huwezi linganisha Nairobi na Lagos sababu hamlingani kimapato, GDP ni finished products and services, Tanzania inazalisha na inauza sana raw materials nje, laiti kama raw materials zingekua zinajumuishwa kwenye GDP, Tanzania ingekua na number kubwa.

Kwa hiyo kuwa na production kubwa ya finished products and services sio kigezo mahsusi cha kupima ustawi wa nchi, mathalan ninyi Kenya mnazalisha finished products nyingi kuliko Tanzania lakini raw materials zaidi ya 60% inatoka Tanzania

Therefore mnapata finished products kwa bei ghali zaidi kuliko Tanzania, angalia bidhaa kama za vyakula au bidhaa nyingine nyingi, Kenya ni ghali kuliko Tanzania, kuanzia vinywaji mpaka vyakula na bidhaa nyingine.
 
Ndio dunia inafaa iwaulize watanzania?
Mbna mnawinda albino?
Albino walikua wakiwindwa sababu ya imani potofu kwamba viungo vyao vinasaidia kwenye mafanikio kwa nguvu za giza na sio kwamba walikua wanaliwa.
 
Sio kweli
Kwa hiyo umejua kwamba huwezi linganisha Nairobi na Lagos sababu hamlingani kimapato, GDP ni finished products and services, Tanzania inazalisha na inauza sana raw materials nje, laiti kama raw materials zingekua zinajumuishwa kwenye GDP, Tanzania ingekua na number kubwa.

Kwa hiyo kuwa na production kubwa ya finished products and services sio kigezo mahsusi cha kupima ustawi wa nchi, mathalan ninyi Kenya mnazalisha finished products nyingi kuliko Tanzania lakini raw materials zaidi ya 60% inatoka Tanzania

Therefore mnapata finished products kwa bei ghali zaidi kuliko Tanzania, angalia bidhaa kama za vyakula au bidhaa nyingine nyingi, Kenya ni ghali kuliko Tanzania, kuanzia vinywaji mpaka vyakula na bidhaa nyingine.
kwa iyo dar ina gdp kushinda lagos? 😂 😂 Wacha kuargue kwa feelings na kuandika hadithi za ajabu ajabu hapa leta takwimu.
Kenya gdp $100b
Tz gdp $60b
 
hiyo GDP yenu ni ya kupika, hauwezi kukuza GDP zaidi ya 40b kwa miaka minne, 2015 mlikua na 60b at the 4% growth annually
20190615_190433png.png
 
True my friend SI you have seen after cooking figures of 7.2% it later came out to be 4.1% and then learn later that Koroshow farmers have not been paid.
Unataka discuss kuhusu economic growth from which ground?
 
kwa iyo dar ina gdp kushinda lagos? [emoji23] [emoji23] Wacha kuargue kwa feelings na kuandika hadithi za ajabu ajabu hapa leta takwimu.
Kenya gdp $100b
Tz gdp $60b
Ke GDP haijafika $100B who are you fooling?
 
Kw sababu tokyo imeendelea kiuchumi zaidi hata kuliko miji yote ya afrika...
Kwhyo kiufupi japan wako vizuri kuliko afrika
GDP ya Tokyo Ni sawa na Africa
What is your point?
 
Back
Top Bottom