Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
mi hapa mwanafunzi wa economics..what do you think? look at this tilapia vendor from darisalamπππHivi unajua hata maana tu ya GDP?
heheh kama vile nairobi ilishawah kutua??ππndege kama hizo zikitua humu hatuchukui mapicha kana kwamba washamba wa dunia...sie tumezoea
heri ila imekuwa ikifanya kazi.,nyie yenu ilizikwa miaka 20 iliopitaππππwith 5 good years lossππππ and leased aircrafts
sijui kama imewahi kutua ila ikitua sidhan kama wataanza kupiga mapicha jinsi nilivowaona washamba wenu wakifanya...mpaka abiria wanakwama ndani ya ndege kisa wafanyikazi wa airport wanapiga pichaππππheheh kama vile nairobi ilishawah kutua??ππ
hio ndoto kwenu na bahat mbaya zaidi greenfield ilishakufa yani hamuna cha kufanya ni kuumia tu
heri mie... sa wewe mfanyakazi wa duka la mhindiπππ...kama ww ni mwanafunzi wa uchumi basi mzazi wako aandike maumivu tuππππ
sio hujui unajua sana kua haijawah kutua na haina mpango wakutua dont pretend banaππππsijui kama imewahi kutua ila ikitua sidhan kama wataanza kupiga mapicha jinsi nilivowaona washamba wenu wakifanya...mpaka abiria wanakwama ndani ya ndege kisa wafanyikazi wa airport wanapiga pichaππππ
zikwapi?ππππsasa tunaifufua with brand new 7 aircrafts cash deal hakuna loan wala leasing deals yani ni cash tu
You are not even approaching student status on economic stuff you just a goon with no direction or commonsensemi hapa mwanafunzi wa economics..what do you think? look at this tilapia vendor from darisalamπππ
kwani ilipotua kwenu ilikua na mpango wa kutua huko ama mauritius? mbona unajichanganya?sio hujui unajua sana kua haijawah kutua na haina mpango wakutua dont pretend banaππππ
kwenye ukweli sema tu japo unauma
ππππnaona collomziii alikukaririsha ππππ maana aliumia sana kuona iphone xππ
Men lie, women lie bt numbers dont liehatuna itikadi za kupika data sisi sio watu wasifa ππ tanzania itawaumiza sana kichwa πππ bega kwa bega tu
View attachment 767697
ππππcha kushangaza ni wewe hapa unasherehekea ujinga wa 7.2 percent ilhali nchi ni LDC...kisha una question ujuzi wangu wa economics ππππYou are not even approaching student status on economic stuff you just a goon with no direction or commonsense
zikwapi picha? mambo ya tuta... tuta... sitakiπππexpectations sio?3 zimeshaingia brand new bombadier q400 for domestic use mwaka zinaingia tatu july ikiwemo boeing 787 moja na bombadier cs300 mbili kwa ajili ya international routes
we ni bwege sanaπππ...ndege huwa inatua airport ilio karibu incase of an emergency...so usidhani eti ni neema za maulana...kama ingekuwa karibu na somalia airport ingetua humo tuwalichagua hapa kutokana na vigezo usifkiri wanatua kokote tuπππππ au unafkiri ni kama embe likidondoka mtini
kuamini kutoamini hio ni juu yako ila ukae ukijua munapumuliwa kisogoni na mwaka hamuendi kokote tutawabana vzr ππππMen lie, women lie bt numbers dont lie
$86bn-$56bn=$30bn na gap itaendelea kuongezeka
2016=$20bn
2017=$25bn
2018=$30bn
2019 naona itakua $40bn,kazi mko nayo yakufanya ndio gap ipunguke wacheni bla bla mingi kwa mitandao..