kenyatta amekosa majibu juu ya mwelekeo wa uchumi nchini baada ya kuonekana uchumi kushuka kila mwaka

zikwapi picha? mambo ya tuta... tuta... sitakiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€expectations sio?
kwani hzi tatu mlisema nini??? simuliaema maneno hayo hayo au umesahauπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
we ni bwege sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...ndege huwa inatua airport ilio karibu incase of an emergency...so usidhani eti ni neema za maulana...kama ingekuwa karibu na somalia airport ingetua humo tu
inategemea na usalama na airport yenyewe na wao Emirates walisema kua dar ndio airport yao walioichagua hata kabla ya hio ndege alaf still bado walikua na opportunity ya kutua viwanja vingi sana ilikwepo mozambique,dar, nairobi,south africa etc lakin wao dar ndio waneichagua kutokana na vigezo vya kiusalama na airport capabilities
 
Uchumi ukikua kwa 7.2 unasaidia nini kwa mwananchi wa kawaida, na kunatatizo gani ukikua kwa 4.9 kama wananchi wanaishi vyema?!
Nani kakudanganya wakenya wanaishi vyema?!!!!!!!.
 
Jamaa ananeema harafu hajui kama yuko kwenye neema!!!!!!.
 
hahahaha unafananisha airport za hizo nchi ulizotaja na hilo gofu lenu hapo? umesahau mmejaza vibanda vya nguruwe mnaita aiport?
 
kuamini kutoamini hio ni juu yako ila ukae ukijua munapumuliwa kisogoni na mwaka hamuendi kokote tutawabana vzr πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Zile zenyu za tuta, tukiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahaha unafananisha airport za hizo nchi ulizotaja na hilo gofu lenu hapo? umesahau mmejaza vinanda vya nguruwe mnaita aiport?
uhahahah acha hasira basi plz maumivu sio kitu kizuriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kutua kwa Airbus A380 isiwe sababu ya kuvunja urafiki wetu
 
uhahahah acha hasira basi plz maumivu sio kitu kizuriπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kutua kwa Airbus A380 isiwe sababu ya kuvunja urafiki wetu
hahaha mbona nauliza tu which capabilities you are talking about...please explain to me these capabilities that your airport has
 
Zile zenyu za tuta, tukiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€View attachment 767703
go on dreaming unafkiri magu ni kama uhuru kenyata anawadanganya atajenga ukuta mpaka na somali akajua ukuta ni kama kula makandeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

magu akisema na kitendo kinafuata hapo hapo
 
hahaha mbona nauliza tu which capabilities you are talking about...please explain to me these capabilities that your airport has
kitu cha kwanza usalama wa airport na usalama wa anga husika, cha pili uwezo wa airport ku handle aircraft haraka zaidi na kingine usalama wa ngenge yao pia mbona walizungumza kila kituπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
go on dreaming unafkiri magu ni kama uhuru kenyata anawadanganya atajenga ukuta mpaka na somali akajua ukuta ni kama kula makandeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

magu akisema na kitendo kinafuata hapo hapo
asante kwa tuta tuki tutaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kitu cha kwanza usalama wa airport na usalama wa anga husika, cha pili uwezo wa airport ku handle aircraft haraka zaidi na kingine usalama wa ngenge yao pia mbona walizungumza kila kituπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ok kwa hiyo airport za nchi ulizotaja hazina capacity ya ku handle ndege ile ama sikuelewi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
zikwapi hizo tatu?
ziko kwa manufucturer zinafanyiwa assembly na tushaanza kutangaza routes so tegemea mwez wa saba kushuhudia mengi zaidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ok kwa hiyo airport za nchi ulizotaja hazina capacity ya ku handle ndege ile ama sikuelewi?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
mbona usalama umeiacha ???? au haina maanaπŸ˜€πŸ˜€
 
mwez wa saba sio mbali kaka lazma nitakutafuta wala usijali kwa hiloπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
ucjali hata sie tuna expectations...hata somali wana expectationsπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ziko kwa manufucturer zinafanyiwa assembly na tushaanza kutangaza routes so tegemea mwez wa saba kushuhudia mengi zaidiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ziko, zita, tuki, tutaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…