- Thread starter
- #101
Wewe
Kweli jibwa, hukuwatag baadhi ya watu kuwa hawataki haki na ukataja baadhi ya makundi kuwa yanabaguliwa wakiwepo wanaopractice mapenzi ya jinsia moja?
Uhuru umezidi kuwekwa jukwaa moja na wapumbavu
Kulikoni kufyatua majina kama umerukwa na akili ndugu?
Wewe una jina moja tu ndugu "mbuzi" mpumbafu fulani wa pale Lumumba!
Hilo linakutosha wala huhitaji jina jipya.