inaonyesha kuwa ni mtu wa kawaida wala sio mashine ati yuko programmed Kuweka sura ya kazi. Uhuru kama Rais wangu amefanya kazi kubwa...SGR Mombasa- Nairobi imekamilika, Lamu port ujenzi unaendelea and by 2022 SGR itakuwa ipo Malaba na hiyo ni achievment kubwa sana. Kwa hiyo Kumuona akisherekea na watoto msimu huu wa krisimasi ni kuashiria kuwa vision 2030 ni ya hawa watoto.Marais wote wana private life, tatizo linakuwa kwa publicist wao wanakuwa very busy kuonyesha kila kitu hata ambacho hakitakiwi kuonekana kwa public. Sasa picha kama hizi zinatupa idea kama Kenyatta yuko serious kujenga national unity au la.
Hii ndio inaitwa "pick n mix" unachaguwa cha kuangalia na kuancha kile hutaki kuangalia. As if hiyo achievement is outpace corruption, social division, unemployment, food security and top of all the top tribalism. Wakati wa election Kenyatta alitaka kuonyesha ulimwengu kama job is done, his guaranteed to win. Akamchuwa mke wake wakaenda kuangalia tembo. Hakujuwa huku nyuma people are busy pulling the rug underneath his feet. His doing again here.inaonyesha kuwa ni mtu wa kawaida wala sio mashine ati yuko programmed Kuweka sura ya kazi. Uhuru kama Rais wangu amefanya kazi kubwa...SGR Mombasa- Nairobi imekamilika, Lamu port ujenzi unaendelea and by 2022 SGR itakuwa ipo Malaba na hiyo ni achievment kubwa sana. Kwa hiyo Kumuona akisherekea na watoto msimu huu wa krisimasi ni kuashiria kuwa vision 2030 ni ya hawa watoto.
Kwani Uhuru Kenyatta hakushinda? Yaani unamfatilia hata zaidi ya unavomfatilia JPM. That tells me all I need to know.Hii ndio inaitwa "pick n mix" unachaguwa cha kuangalia na kuancha kile hutaki kuangalia. As if hiyo achievement is outpace corruption, social division, unemployment, food security and top of all the top tribalism. Wakati wa election Kenyatta alitaka kuonyesha ulimwengu kama job is done, his guaranteed to win. Akamchuwa mke wake wakaenda kuangalia tembo. Hakujuwa huku nyuma people are busy pulling the rug underneath his feet. His doing again here.
Mkuu nyamaza,usianze chokochoko,yatawakuta makubwa mtajuta!!nyie pateni chai maziwa na mkate wa margarine mtulie tulii.Rais Uhuru Kenyatta aanze na kujenga serikali ya kitaifa na kupambana na ufisadi sio kuwa celebrity President
Halafu wakitoka hapo wanarudi Kibera, WTF?
Nafuatilua siasa na wanasiasa wa dunia nzima, tatizo hapa JF mmekaa ni KE vs TZ tuu, hakuna lingine. Nikileta ya mataifa mengine wewe mwenywe unalalamika, kwanini naleta mambo ya mataifa ya mbali.Kwani Uhuru Kenyatta hakushinda? Yaani unamfatilia hata zaidi ya unavomfatilia JPM. That tells me all I need to know.
Hapa ndio wakenya hawaelewe, kwanini mtu anaetoka kwenye maisha ya chini anaweza kuwa rais wa nchi kama Tanzania. Wao wamezowea kwao kuwa kiongozi lazima uwe umejilimbikizia mali mpaka kooniJPM yupo social zaidi very humble View attachment 654199 View attachment 654201
Hizi za JPM ni frustration bana cheki anavoongezea vikongwe vya watu sitilesi bure tu. Mbona hawachangamki wamekaa chini tu? Hawa ni wananchi wa sampuli gani? Inafaa wapimwe mkojo hawa. πππJPM yupo social zaidi very humble View attachment 654199 View attachment 654201
Anayapitia, juzi kuna msanii kamwimbia wimbo unasema NIBEBE yeye akataka kwenda kumbeba akakatazwa na walinzi wake![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii kazi ya Urais ni ngumu sana yani Hauna hata private time kila siku kila mahali umezingirwa na macho yote IPO kwako isipokuwa chumba chako cha kulala. Magu pia anayapitia haya bila shaka.
Tena ungejua huyo ni mama yake na Dada yake ungenyamaza, JPM ametoka kwenye maisha ya kawaida sana lakini hana tamaa ya mali ni mtu mpenda haki.Hizi za JPM ni frustration bana cheki anavoongezea vikongwe vya watu sitilesi bure tu. Mbona hawachangamki wamekaa chini tu? Hawa ni wananchi wa sampuli gani? Inafaa wapimwe mkojo hawa. πππ
Na ndio maana wanawakamua mpaka senti ya mwisho hakuna wananchi wanaoibiwa Africa mashariki na Rais wao kama Kenya.Hapa ndio wakenya hawaelewe, kwanini mtu anaetoka kwenye maisha ya chini anaweza kuwa rais wa nchi kama Tanzania. Wao wamezowea kwao kuwa kiongozi lazima uwe umejilimbikizia mali mpaka kooni
Lakini hiyo kazi wanaume hung'ang'ania sana katika kila Nchi kwa njia ya siasa hata wengine hufa katika hizo harakati.πππAnayapitia, juzi kuna msanii kamwimbia wimbo unasema NIBEBE yeye akataka kwenda kumbeba akakatazwa na walinzi wake![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
No freedom at all
Acha upumbavu wewee..Rais Uhuru Kenyatta aanze na kujenga serikali ya kitaifa na kupambana na ufisadi sio kuwa celebrity President