Kenyatta atinga party la krismas!

Kenyatta atinga party la krismas!

Marais wote wana private life, tatizo linakuwa kwa publicist wao wanakuwa very busy kuonyesha kila kitu hata ambacho hakitakiwi kuonekana kwa public. Sasa picha kama hizi zinatupa idea kama Kenyatta yuko serious kujenga national unity au la.
inaonyesha kuwa ni mtu wa kawaida wala sio mashine ati yuko programmed Kuweka sura ya kazi. Uhuru kama Rais wangu amefanya kazi kubwa...SGR Mombasa- Nairobi imekamilika, Lamu port ujenzi unaendelea and by 2022 SGR itakuwa ipo Malaba na hiyo ni achievment kubwa sana. Kwa hiyo Kumuona akisherekea na watoto msimu huu wa krisimasi ni kuashiria kuwa vision 2030 ni ya hawa watoto.
 
Huyo ndiyo Uhuru bana,![emoji122][emoji122]mtoto wa ikulu!hatawali kwa dhiki man ,mamayake ana hela mbaya.
 
Napenda Raisi Wa Namna hiyo.. Kipindi cha mapumziko anafurahia na Wananchi.. Apo nampa 5..
 
inaonyesha kuwa ni mtu wa kawaida wala sio mashine ati yuko programmed Kuweka sura ya kazi. Uhuru kama Rais wangu amefanya kazi kubwa...SGR Mombasa- Nairobi imekamilika, Lamu port ujenzi unaendelea and by 2022 SGR itakuwa ipo Malaba na hiyo ni achievment kubwa sana. Kwa hiyo Kumuona akisherekea na watoto msimu huu wa krisimasi ni kuashiria kuwa vision 2030 ni ya hawa watoto.
Hii ndio inaitwa "pick n mix" unachaguwa cha kuangalia na kuancha kile hutaki kuangalia. As if hiyo achievement is outpace corruption, social division, unemployment, food security and top of all the top tribalism. Wakati wa election Kenyatta alitaka kuonyesha ulimwengu kama job is done, his guaranteed to win. Akamchuwa mke wake wakaenda kuangalia tembo. Hakujuwa huku nyuma people are busy pulling the rug underneath his feet. His doing again here.
 
Kwani Uhuru Kenyatta hakushinda? Yaani unamfatilia hata zaidi ya unavomfatilia JPM. That tells me all I need to know.
 
JPM yupo social zaidi very humble
images-5.jpg
images-4.jpg
 
Rais Uhuru Kenyatta aanze na kujenga serikali ya kitaifa na kupambana na ufisadi sio kuwa celebrity President
Mkuu nyamaza,usianze chokochoko,yatawakuta makubwa mtajuta!!nyie pateni chai maziwa na mkate wa margarine mtulie tulii.
 
Huyu wa kwetu watu wazima wanamwogopa, watoto si ndo watamkimbia kabisa na wengine kulia
 
Kwani Uhuru Kenyatta hakushinda? Yaani unamfatilia hata zaidi ya unavomfatilia JPM. That tells me all I need to know.
Nafuatilua siasa na wanasiasa wa dunia nzima, tatizo hapa JF mmekaa ni KE vs TZ tuu, hakuna lingine. Nikileta ya mataifa mengine wewe mwenywe unalalamika, kwanini naleta mambo ya mataifa ya mbali.

I wish ningekujibu kama Uhuru alishinda au hakushinda, lakini ngoja nibane maneno.
 
Hii kazi ya Urais ni ngumu sana yani Hauna hata private time kila siku kila mahali umezingirwa na macho yote IPO kwako isipokuwa chumba chako cha kulala. Magu pia anayapitia haya bila shaka.
Anayapitia, juzi kuna msanii kamwimbia wimbo unasema NIBEBE yeye akataka kwenda kumbeba akakatazwa na walinzi wake![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

No freedom at all
 
Hizi za JPM ni frustration bana cheki anavoongezea vikongwe vya watu sitilesi bure tu. Mbona hawachangamki wamekaa chini tu? Hawa ni wananchi wa sampuli gani? Inafaa wapimwe mkojo hawa. 😀😀😀
Tena ungejua huyo ni mama yake na Dada yake ungenyamaza, JPM ametoka kwenye maisha ya kawaida sana lakini hana tamaa ya mali ni mtu mpenda haki.

Lakini sio wa kuchekacheka muda wote
IMG_20171220_062940.JPG
 
Hapa ndio wakenya hawaelewe, kwanini mtu anaetoka kwenye maisha ya chini anaweza kuwa rais wa nchi kama Tanzania. Wao wamezowea kwao kuwa kiongozi lazima uwe umejilimbikizia mali mpaka kooni
Na ndio maana wanawakamua mpaka senti ya mwisho hakuna wananchi wanaoibiwa Africa mashariki na Rais wao kama Kenya.
 
Anayapitia, juzi kuna msanii kamwimbia wimbo unasema NIBEBE yeye akataka kwenda kumbeba akakatazwa na walinzi wake![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

No freedom at all
Lakini hiyo kazi wanaume hung'ang'ania sana katika kila Nchi kwa njia ya siasa hata wengine hufa katika hizo harakati.😀😀🙁
 
Rais Uhuru Kenyatta aanze na kujenga serikali ya kitaifa na kupambana na ufisadi sio kuwa celebrity President
Acha upumbavu wewee..

Unafikiri Kenyatta ni ovyo kama jamaa wa Chato..!!?

Kuna ufisadi mbaya kama anaoufanya jpm kwa kujichotea pesa za kodi za watanzania kama zake??

Bil 300 faida ya Government Parastatals kazichukua pale BOT bila kuidhinishwa na Bunge.. Ni sawa?? Ndio pesa anazotumia kutapanya ovyo kununulia wapinzani.

Unafikiri Kenyatta anaweza kufanya upimbi kama huu??

You are so dull.
 
Back
Top Bottom