mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
inaonyesha kuwa ni mtu wa kawaida wala sio mashine ati yuko programmed Kuweka sura ya kazi. Uhuru kama Rais wangu amefanya kazi kubwa...SGR Mombasa- Nairobi imekamilika, Lamu port ujenzi unaendelea and by 2022 SGR itakuwa ipo Malaba na hiyo ni achievment kubwa sana. Kwa hiyo Kumuona akisherekea na watoto msimu huu wa krisimasi ni kuashiria kuwa vision 2030 ni ya hawa watoto.Marais wote wana private life, tatizo linakuwa kwa publicist wao wanakuwa very busy kuonyesha kila kitu hata ambacho hakitakiwi kuonekana kwa public. Sasa picha kama hizi zinatupa idea kama Kenyatta yuko serious kujenga national unity au la.