Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Kualikwa white house ndio kipimo cha kitu gani? Maana tulishapokea marais wawili wa Marekani wakaishia kutuletea Dowans
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.

..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.

..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Hadi uwaruhusu symbion wakuuzie umeme kwa bei wanayotaka ndio utaalikwa white house. Nyerere alituambia ukiona mabeberu wanakupenda ujue kuna mahali unakosea kuhusu maslahi ya watu wako.
Kwanza watanzania hawapendi rais wao kujipendekeza nchi za kibeberu.
 
Acha upuuzi kijana kwaiyo kila linofanyika Kenya lazima nakwetu lifanyike? Labda amealikwa kwenda kuzungumzia ufisadi unaoitafuna serikali yake. We bila kutafakari na mazoea ya kulalamika kwa kila jambo basi ukaona icho ni kitu cha ajabu sana.

Alafu nilizani wamealikwa maraisi wote wa Africa kasoro wakwetu kumbe kenyata pekeake.
 
Acha uzwazwa..unajua wanaenda kuzungumzia nini?..hivi unajua hawa jamaa wanabase ya jeshi hapo Kenya?

Obama si ashakuja hadi bongo..aliongeza nini?.

Kujifariji uko vizuri. Komaa hapo hapo.

Lakini mwulize Hangaya akupe mrejesho.

Kwani JK alipelekwa NY kufanya nini pembezoni mwa UNGA?
 
Back
Top Bottom