Yaan ulichoandika ndugu yangu kinafikirisha sana na kunitia wasiwasi sana kuhusu uimara wa ubongo wetu wa Tanzania. Kwa hiyo wakenya wakialikwa huko white house ,ndio qualifications ya uchumi?Mbona Kikwete alialikwa white house,ikaishia Obama kutuletea kampuni fake ya umeme ya symbion?Ndugu wa Tanzania ,hasa vijana tujipime uwezo wetu wa kifikiri na kudadavua mambo.Nina wasiwasi elimu tunayopata inatupeleka kuwategemea wazungu zaidi.Hatuwezi kuwa na elimu ya kuwa wabunifu ,wachapa kazi na tuzalishe bidhaa ambazo tutauza duniani na watu watugombee.Tusibaki kufikiria kukaribishwa White house.Usipokaribishwa haufai kuwa Rais wa Tz.