Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Kujifariji uko vizuri. Komaa hapo hapo.

Lakini mwulize Hangaya akupe mrejesho.

Kwani JK alipelekwa NY kufanya nini pembezoni mwa UNGA?
Baada ya hapo ugali mezani kwako uliongezeka?
 
Ungemwuliza Hangaya akwambie kama anakubaliana nawe kwenye huu ushujaa wako mfinyu!

Hangaya hajasema anataka kwenda White House. To some people, it could sound going to WH is the standard measure.
For me, it is one of those things which might happen...and if they don't happen, the course of life will just remain the same.
Tunawashobokea sana hawa watu mpaka tunatia aibu
 
Kualikwa white house ndio kipimo cha kitu gani? Maana tulishapokea marais wawili wa Marekani wakaishia kutuletea Dowans
Kwa mtazamo wako na fikra za uzalendo wa kitanzania kitanzania unafikiri kukari bishwa huko Kuna maana gani? Kwa hiyo hao walio kuja walikuna Kwa sababu unazofikiria wewe na jiulize pia ni wakati Gani walikuja na kwanini, SII Yale waliotaka uyaamini wewe.
 
Hangaya hajasema anataka kwenda White House. To some people, it could sound going to WH is the standard measure.
For me, it is one of those things which might happen...and if they don't happen, the course of life will just remain the same.
Tunawashobokea sana hawa watu mpaka tunatia aibu

Amekwambia hayo jombi?

You sound like a pedestrian in downtown Chatto or Makunduchi.
 
Amekwambia hayo jombi?

You sound like a pedestrian in downtown Chatto or Makunduchi.
Indeed...does it make any difference, whether am a pedestrian or official in oneof the beuracratic system in Tanzania?
The truth of the matter is, we tend to focus with great zeal, unimportant things. The important ones, we leave the fate to take care of. What a miserable approach 😂😂😂😂😂
 
White House spokesperson Jen Psaki said in a statement that the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights, advance peace and security, accelerate economic growth, and tackle climate change."

Tuache Ufyatu. Hicho Ndicho kinampeleka Kenyatta Washington.
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Hayo ni mawazo mfilisi, wewe unapo sema kuwa haha alikwa kwa sababu ni mwanamke si kweli kabisa, huko huko ndo walio mtaka kuwa miongoni mwa Marais wenye hekima duniani.
Rais wetu chapa kazi endelea kuturejeshia Heshima yeti iliyo kuwa imepotea.
Dunia inaona kazi unayo ifanya na watanzania wenye hekima tunaona.
 
Back
Top Bottom