Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliwaonyesha attitude mbaya wakati afya yake inawategemea hao hao wazungu. Akashindwa kwenda kutibiwa kwao akafa akijiona.
Kenya na Marekani wanashirikiana kijeshi na kiuchumi kwa hiyo Marekani inaipa kipaumbele Kenya zaidi ya nchi zingine nyingi tuu. Jeshi la Kenya likipigana na Al Shabab inaisadia Marekani pia ambayo majeshi yake hayatoshi kupigana vita kila kona ya dunia. Kwa hiyo Kenya ni nchi muhimu sana kwa maslahi ya Marekani.Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Nyerere alipelekwa kutibiwa kwa wazungu bado akafaAliwaonyesha attitude mbaya wakati afya yake inawategemea hao hao wazungu. Akashindwa kwenda kutibiwa kwao akafa akijiona.
Kenya na Marekani wanashirikiana kijeshi na kiuchumi kwa hiyo Marekani inaipa kipaumbele Kenya zaidi ya nchi zingine nyingi tuu. Jeshi la Kenya likipigana na Al Shabab inaisadia Marekani pia ambayo majeshi yake hayatoshi kupigana vita kila kona ya dunia. Kwa hiyo Kenya ni nchi muhimu sana kwa maslahi ya Marekani.
Could you share your education level, please?
Niliishia darasa la nne with honors
By the way, is that your life time goal to enter into WH? It may make you a complete person.Could you share your education level, please?
Little mind... how do you know? Kwa kuandika mitandaoni? Kazi sanaUlijitahidi sana!
Jibidishe zaidi kwenye upigaji nyungu. Huku hakukufai.
Mbona madikteta ambao wanakandamiza demokrasia kama Al Sisi wa Misri au Muhammad Bin Salman wa Saudi Arabia wameshaalikwa White House?Jipe moyo mkuu.
Ila Kenyatta kadhia hii haikumhusu:
View attachment 1974588
Kwamba kule mahakamani mnadhani wameshawishika?
Walipo wanajua kuwa hata jaji kapandishwa cheo.
Utapeli wa Bibi na babu ccm umepelekea kukwama wanawadanganya Marais Kama hao wanakuja kutaka kuibraiti kigamboni wanakuta malala kibao yawananchi hawajalipwa na hospitali imejengwa zakhem ,hovyo kabisa Bibi nababu ccmKualikwa white house ndio kipimo cha kitu gani? Maana tulishapokea marais wawili wa Marekani wakaishia kutuletea Dowans
By the way, is that your life time goal to enter into WH? It may make you a complete person.
Mimi malengo hafifu...nikifika Hyaty Hotel nimemaliza kila kitu. Natafuta pesa tu. Inshallah
faida za raisi wa nchi kualikwa white house ni zipi?
WaTz mnashida sanaa si nyie ndo mlikuwa mnasema rais wa Tz anasafari za nje kuliko za ndani ya nchi ? JK alikuwa ni raisi wa kwanza toka Africa kualikwa na Obama pia inatoshaWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Anapata msaada zaidi wa kupewa fedha za kujengea vyoo vya Shimo katika shule zetu[emoji41]faida za raisi wa nchi kualikwa white house ni zipi?
Watu mnachekesha sana. Angealikwa usingeongea hivyo, mngeanzisha ligi ya kusifia jinsi Tanzania tulivyopata rais anayekubalika duniani ila sasa kwa kuwa wamemkataa mnaanza kuponda kwamba hicho sicho kipimo.Kualikwa white house ndio kipimo cha kitu gani? Maana tulishapokea marais wawili wa Marekani wakaishia kutuletea Dowans
Little mind... how do you know? Kwa kuandika mitandaoni? Kazi sana
WaTz mnashida sanaa si nyie ndo mlikuwa mnasema rais wa Tz anasafari za nje kuliko za ndani ya nchi ? JK alikuwa ni raisi wa kwanza toka Africa kualikwa na Obama pia inatosha
Watu mnachekesha sana. Angealikwa usingeongea hivyo, mngeanzisha ligi ya kusifia jinsi Tanzania tulivyopata rais anayekubalika duniani ila sasa kwa kuwa wamemkataa mnaanza kuponda kwamba hicho sicho kipimo.
Ila ukweli unabaki pale pale kwamba utawala huu wa kupigana kufa na kupona ili kubaki madarakani kwa gharama yoyote unaiponza sana hili taifa.