Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wabongo bwana, akialikwa mnakesha humu kusema anaiuza nchi kwa mabeberu! Ameenda un tu makelele kibao, je akialikwa?
Ungejiuliza pia, mathalani wewe ukaalikwa ikulu na Samia, faida zake ni zipi?faida za raisi wa nchi kualikwa white house ni zipi?
Huyo huyo Nyerere ndio alikuwa rafiki mkubwa wa rais wa marekani wakati huo..Kennedy.Hadi uwaruhusu symbion wakuuzie umeme kwa bei wanayotaka ndio utaalikwa white house. Nyerere alituambia ukiona mabeberu wanakupenda ujue kuna mahali unakosea kuhusu maslahi yako.
Kwanza watanzania hawapendi rais wao kujipendekeza nchi za kibeberu.
Kumbuka kenya kuna ugaidi na wanapakana na somalia so upo umuhimu mkubwa kwa usa kukutana na rais wa kenya,muda wetu utafika tuWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Kumbuka kenya kuna ugaidi na wanapakana na somalia so upo umuhimu mkubwa kwa usa kukutana na rais wa kenya,muda wetu utafika tu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
mpumbavu sana wewe, akili ya kukuWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Kenya chini ya Uhuru inaonekana ni nchi kiongozi katika Afrika. Ufumbuzi wa matatizo ya Africa unajadiliwa na the most superpower na Kenya.
Matatizo ya udikteta, uongozi mbaya na uvunjifu wa demokradia Afrika yanajadiliwa na US na Kenya. Kwa wenye akili, hili si jambo dogo.
Kenya ipo katika mwanga, na hata akiondoka Uhuru, chini ya Raila Odinga, Kenya itaendelea kung'ara. Wote wawili, Uhuru na Raila, ni watu walio na hekima, wakweli wa nafsi, na siyo wanafiki kama viongozi wetu wa Tanzania.
Tunaiombea Kenya izidi kung'ara, viongoxi wake waendelee kujaliwa hekima. Maana lolote lililo jema au baya linalotokea Kenya, halikosi kuigusa Tanzania. Tulishuhudia marehemu alipoharibu mahusiano na Kenya, jinsi wakulima wetu wa mahindi, machungwa na parachichi, wafanyaboashara wa mbao, na wengine wengi walivyoathirika.
Huku kwetu ni sikio la kufa. Watu wanajivunia na kuuonea fahari uovu. Kiongozi mwovu na mkandamizaji zaidi huonekana ndiye shujaa.
majamaika hayo, tupa kule
mpumbavu sana wewe, akili ya kuku
Tunasubiri mwaliko kutoka China na India ndio marafiki wetu wa kweliWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Africa nzima umeiona Tanzania tu wewe uchwara wa ufipa?
Hoja ya kitumwa Sana hii.Badala uzungumzie kwa nini Parachichi yetu haiingi moja kwa moja kwenye big markets Kama China hadi tupitie kwa jirani au Thailand kwa kutokua ba bilateral agreement we unazunyumzia kualikwa white house.Tuzungumze white house kiuchumi sio Kama sifa.Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.