- Thread starter
- #121
Hoja ya kutumwa Sana hii.Badala uzungumzie kwa nini Parachichi yetu haiingi moja kwa moja kwenye big markets Kama China hadi tupitie kwa jirani au Thailand kwa kutokua ba bilateral agreement we unazunyumzia kualikwa white house.Tuzungumze white house kiuchumi sio Kama sifa.
Unawaza maparachichi? Kwani huyu:
yuko wapi? Hujui kuwa yumo humu?
Wewe endelea kuwaza maparachichi ya huko Munjombe.
Hiiiiii bagosha!