- Thread starter
- #161
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwezi kupuuza kwa kujibu!Wenye mada za taarab huwa tunawapuuza kama yalivyokusibu
Lumumba Wana la kujifunza? NI wagumu sana kujifunza, jana tu wamefanya madudu Nyerere day ikageuzwa Magufuli day, mashada BADALA ya kuwekwa Butiama, yakawekwa Chatto! White House yao iko DODOMA kwenye jengo lao wanaita White house.Iko wazi hiyo Kenya ndo wanaongoza kwa demokrasia ktk ukanda wetu wa Afrika Mashariki na pembe ya Afrika. Kenya pia ni nchi ya kimkakati Kuna Western investments za kutosha Kenya kuliko nchi yeyote ktk ukanda huu.
Vilevile hali ya kkutotulia kwa Somalia,Southern Sudan na recently Tigray na Ethiopian Federal kuwa ktk vita nako kunaifanya Kenya kuwa kimbilio ili itumie utulivu wake kuleta amani ktk ukanda huu. So mixture ya demokrasia na utulivu vinaibeba Kenya but mostly DEMOCRACY. Lumumba mna la kujifunza hapo msikwepe.
Mijadala mingi muno, mwacheni Rais afanye kazi, amekabidhiwa Nchi na Mungu. Na kwa walio na jicho la pili au la kiroho, wanaweza kugundua kuwa Mama alikabidhiwa nchi na Mungu wakati wa Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020. Ukiangalia vizuri, wakati huo Mama alipiga kampeni kuwazidi wenzake wote, JPM na Majaliwa. Mama alipiga kampeni sana, na kumbe ndiyo muda huo Mungu alikuwa anahamisha umiliki wa nchi kutokwa kwa Rais alyekuwepo kipindi hicho kwenda kwa Mama
Kwa nini unakuwa mpuuzi namna hii?
kenya ni kibaraka wao mkuu kwa eneo hili hivo usishangazwe na huo mualiko watu wapo kwenye mission za kikazi.Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Shida yenu nyinyi hamjui mnachokihitaji mpaka sasa, yaani kiufupi ni hamna ajenda mnayosimamia. Nongwa ndo zimezidi, mim nina uhakika mama angealikwa huko white house ndo mngetukana mpaka matusi yote mngemaliza; mngesema ameende kuuza nchi tayari. Yaani hamueleweki mnasimamia lipi.
Kiongozi bora haalikwi white house wewWenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.
Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting
Hatuna cha kujifunza kweli?
Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!
Mwenye macho haambiwi tazama.
Akiulizwa atasema Jirani zake kazi yao ni kuwaonea wapinzani kuwabambikia kesi za ugaidi feki huku Polisiccm mahita kiwafunga pingu saa 24 kuwatesa kuwapoteza akina Moses Lilenje kwa njia haramu za kishetani..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.
..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Kiongozi bora ni yule wa kuwabambikia kesi wapinzani?Kiongozi bora haalikwi white house wew
Tanzania hakuna ugaidi hata Moses na Lt urio wamepotea kwa kulazimishwa waseme ugaidi hewa wakateswa hadi kupotea huwezi kumlazimisha mtu aseme kitu ambacho hakipo lazima utamtesa sana kupelekea umauti , kingai na mahita wanayo Dhambi ya kujibu siku ya kiamaBaada ya hapo ugali mezani kwako uliongezeka?
..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.
..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Umenukuu ktoka wapi?Kiongozi bora ni yule wa kuwabambikia kesi wapinzani?
..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.
..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Watanzania wapi unawasemea? au watanzania unaovuta nao Bangi hapo gheto? Kuchapa kazi ni kuwabambikia kesi wapinzani? Mahita kuwafunga pingu walinzi wa mbowe kuwapiga kuwalazimisha wakubali ugaidi hewa ni kuchapa kazi? Heshima ipi utarejea wakati mbowe yupo jela kwa kesi ya kubambikiwa? wenye hekima hamuoni huo uonevu siyo?Hayo ni mawazo mfilisi, wewe unapo sema kuwa haha alikwa kwa sababu ni mwanamke si kweli kabisa, huko huko ndo walio mtaka kuwa miongoni mwa Marais wenye hekima duniani.
Rais wetu chapa kazi endelea kuturejeshia Heshima yeti iliyo kuwa imepotea.
Dunia inaona kazi unayo ifanya na watanzania wenye hekima tunaona.
..Uhuru Kenyatta amemshauri Maza akae ktk meza ya maridhiano na vyama vya siasa lakini ushauri wake umepuuzwa.
..sasa sijui Uhuru akiulizwa na Wamarekani kuhusu hali ya kisiasa na kidemokrasia Tz atatoa maelezo gani.
Kutokea gerezani anakoshikiliwa mboweUhuru si ndo rais aliesababisha maafa kipindi cha uchaguzi?
Unafanyaje sas ili upandishe
Umenukuu ktoka wapi?
kenya ni kibaraka wao mkuu kwa eneo hili hivo usishangazwe na huo mualiko watu wapo kwenye mission za kikazi.
Kwani lazima waje kwako kukuambia faida za kualikwa huko? Kuna sifa ya kijinga kama kuwabambikia kesi wapinzani?Ukisha alikwa faida yake nini?
Nambaie malaisi waliowahi kwenda Whitehouse nchi zao zimepata nini cha kujivunia?
Huyo Kenyata wala sio mara ya kwanza kualikwa huko, sasa kenya wako kama ulaya au USA?
Sifa zingine ni za kijinga.