Kenyatta kaalikwa White House, Tanzania tunakwama wapi ?

Acha mawazo ya kimaskini wewe

Kwani ni mawazo ya Kimaskini, kitajiri au kishujaa?

Kwani wawakilishi wao waliokuwa wanapiga ripoti pale law school mliweza kuwahadaa?

Au mnadhani hawa waliwaona kwao ni wajamaika?

IMG_20210925_164121_485.jpg

Au mnadhani Mosses Lijenje hawajamsikia?

IMG_20210930_170832_807.jpg

Kuuwa watu kinyama siyo roho za kitajiri bali za kihayawani tu![/QUOTE]
 
Hayo hayana impact yoyote, huyo mzungu mnayenyenyekea anachojali ni maslahi yake, hizo mbanga za demokrasia ni maagizo tu.

Kama hukuwa hukijua , now you know, upo hapo ?
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Kenya ni nchi tofauti na Tanzania!! Mipango na malengo yao ni tofauti na yetu!! Ili tutimize malengo yetu hatuhitaji kwenda white house.
Kwa mujibu wa taarifa iliyopo maongezi huko yatahusu demokrasia na haki za binadamu!! Kwa Wamarekani haki ya binadamu na demokrasia zinzhusisha kuruhusu ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja!! Je bado unatamani mama aende white house kwa ajenda hizo? maana kwa maelezo yako ni kama unaionea wivu kenya kualikwa white house!! Ona hapa:
White House spokesperson Jen Psaki said in a statement that the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights!!!
Ashakum si matusi: Wanaenda kuongelea kupigania haki za kufirana na kusagana!! Mungu apishe mbali!! Hatuihitaji hiyo white house ya mafirauni!!
 
Hayo ni mambo ya lobying tu, hamna kitu cha maana, ni nipe nikupe style.

Haipo lobbying matata kuliko hii:

IMG_20210925_164121_485.jpg

Mwulize JK kama aliweza kufua dafu.
Kwani hawakujua kuwa ofisini sasa ni Democrats? Kwamba pale magogoni napo ni Obama drive?

Ngoja tuvune dengu jombi.

Tuna mikono yenye damu!
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.

Kuna shida katka kufikiri kwa mtu mweusi!! Taliban wenyewe wanaitwaga white house unafikir anaeenda huko anaheshimiwa??

Au n njia ya kumfanya kibaraka!! Ulishasikia nchi zilizoendelea wanalilia kufika white house?? Huna akili !!! Ingekua amri yangu matahira kama ww hamfai hata kuongea kw social media
 
Kenya ni nchi tofauti na Tanzania!! Mipango na malengo yao ni tofauti na yetu!! Ili tutimize malengo yetu hatuhitaji kwenda white house.
Kwa mujibu wa taarifa iliyopo maongezi huko yatahusu demokrasia na haki za binadamu!! Kwa Wamarekani haki ya binadamu na demokrasia zinzhusisha kuruhusu ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja!! Je bado unatamani mama aende white house kwa ajenda hizo? maana kwa maelezo yako ni kama unaionea wivu kenya kualikwa white house!! Ona hapa:
White House spokesperson Jen Psaki said in a statement that the two would discuss "efforts to defend democracy and human rights!!!
Ashakum si matusi: Wanaenda kuongelea kupigania haki za kufirana na kusagana!! Mungu apishe mbali!! Hatuihitaji hiyo white house ya mafirauni!!

Suala si kwenda white House.

Umesoma uzi?

Mikono yetu hiyo:

IMG_20211015_115957_034.jpg

Damu za wasio na hatia!
 
Hangaya hajasema anataka kwenda White House. To some people, it could sound going to WH is the standard measure.
For me, it is one of those things which might happen...and if they don't happen, the course of life will just remain the same.
Tunawashobokea sana hawa watu mpaka tunatia aibu
Kama hakuna haja kwenda WH kwa nini Mulamula alihangaika bila mafanikio kumtafutia maza appointment na beberu?

....
 
Hayo hayana impact yoyote, huyo mzungu mnayenyenyekea anachojali ni maslahi yake, hizo mbanga za demokrasia ni maagizo tu.

Kama hukuwa hukijua , now you know, upo hapo ?

Hayo yako. Ukiuwa watu na mzungu akikusiliba hatukuachi.

Mbona Nyerere tunamuenzi?

Kumbukizi: Nani kama Nyerere (RIP)?

Mwambieni huyo Maza kwa tabia hizi, hata mzungu hamtaki!

Ni ngumu kuona hivyo?
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Yaani mimi siku nikija kuwa Rais halafu ikatokea kama ilivyotokea hivi nitafurahi zaidi kwa sababu nitagundua kuwa kuna tricky inafanywa ili na mimi nitamani kualikwa. Kwa hiyo nitajua kuwa possibly mimi ni wa muhimu zaidi pengine hata kuwazidi wawili wote hawa ambao tayari wameshakutana. Hapo sasa itabidi nianze kujiuliza sababu ya mimi kuwa muhimu kiasi cha kutaufutiwa kuvutwa kwa kutumia mwaliko ni nini!
Si kweli kwamba kila mahali panapoonyesha kuwa huhitajiki; kweli huhitajiki, hapana. Kwani wewe katika maisha yako, hujawahi kutumia mbinu ya kujifanya humpendi msichana unayemhitaji zaidi ili uweze kumpata kirahisi asikusumubue?
 
Yaani mimi siku nikija kuwa Rais halafu ikatokea kama ilivyotokea hivi nitafurahi zaidi kwa sababu nitagundua kuwa kuna tricky inafanywa ili na mimi nitamani kualikwa. Kwa hiyo nitajua kuwa possibly mimi ni wa muhimu zaidi pengine hata kuwazidi wawili wote hawa ambao tayari wameshakutana. Hapo sasa itabidi nianze kujiuliza sababu ya mimi kuwa muhimu kiasi cha kutaufutiwa kuvutwa kwa kutumia mwaliko ni nini!
Si kweli kwamba kila mahali panapoonyesha kuwa huhitajiki, huhitajiki. Kwani wewe katika maisha yako, hujawahi kutumia mbinu ya kujifanya humpendi msichana unayemhitaji zaidi ili uweze kumpata kirahisi asikusumubue?

Labda rais wa wenzio msiojulikana:

IMG_20210930_170832_807.jpg

Yuko wapi Lijenje?
 
Kwa hiyo white house ni ahera, kiasi kwamba watu tusipumue kisa hatujaalikwa white house.........akili za kitumwa ni shida sana.
CCM ile nyumba yao pale DODOMA wanaiita Whitehouse! Ndo ujue White house umuhimu wake kwa viongozi wa Africa kuitwa pale!
 
Kuna shida katka kufikiri kwa mtu mweusi!! Taliban wenyewe wanaitwaga white house unafikir anaeenda huko anaheshimiwa??

Au n njia ya kumfanya kibaraka!! Ulishasikia nchi zilizoendelea wanalilia kufika white house?? Huna akili !!! Ingekua amri yangu matahira kama ww hamfai hata kuongea kw social media

Hamjajipaka m*vi eeh?

IMG_20210925_164121_485.jpg

Hiiiiii bagosha!
 
Wenzetu Kenya wamealikwa White House sisi ndiyo kama hivi.

Biden, Kenya President Kenyatta to hold White House meeting

Hatuna cha kujifunza kweli?

Yaonesha rais mwanamke siyo dili, ila demokrasia!

Mwenye macho haambiwi tazama.
Shida yenu nyinyi hamjui mnachokihitaji mpaka sasa, yaani kiufupi ni hamna ajenda mnayosimamia. Nongwa ndo zimezidi, mim nina uhakika mama angealikwa huko white house ndo mngetukana mpaka matusi yote mngemaliza; mngesema ameende kuuza nchi tayari. Yaani hamueleweki mnasimamia lipi.
 
Back
Top Bottom