shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Baki na umaskini wako na umbea wakoKenyatta na nduguze 6 wanatuhumiwa na kashfa nzito ya matumizi mabaya ya hela.Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya kukanusha suala hilo imetolewa..Nawasilisha.
Narudia. Kua na offshore account sio illegalKwa akili hizi Kenya wizi na rushwa haviwezi kupungua, hopefully you aren't from Kikuyu tribe (mwisi yetu)
Usim quote huyu kichaa Mkuu!Kwa akili hizi Kenya wizi na rushwa haviwezi kupungua, hopefully you aren't from Kikuyu tribe (mwisi yetu)
Im sure you make more, by jus camping here[emoji28]$30 mln tu?
Kuwa na offshore account siyo illegal. Kwani mkenya au mdanganyika ambaye anaishi USA au Europe na ana-acount ya benki huko inakua ni shida? Ata kama yeye sio raia wa huko.
Hapo sasa sijui lakini ujue tajiri wengi wana offshore accounts. Ni kitu ya kawaida sana.That's true. But the issue is the source of the deposits in those offshore bank accounts. Usikute zile zilizopotea za korona zimeingia humo. Ndiyo maana Ruto hana imani nao kabisa hawa kina uhuru. wameifyonza nchi since time immemorial. Waliachiwa mirija na wakoloni wailinde, huku nao wakifaidika nayo.
Hamna anaebisha kuwa na account nje ya nchi hata kama uko kwenye nchi yako ya asili. Tatizo la kina kenyatta kama umesoma hiyo Pandora Papers, wanamirija ya kuiba utajiri wa kenya na kupeleka kwenye hizo accounts. Shida inaanzia hapo.Hapo sasa sijui lakini ujue tajiri wengi wana offshore accounts. Ni kitu ya kawaida sana.
Hizo ni account za siriKuwa na offshore account siyo illegal. Kwani mkenya au mdanganyika ambaye anaishi USA au Europe na ana-acount ya benki huko inakua ni shida? Ata kama yeye sio raia wa huko.
Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.Kwenye Hiyo Pandora M7 na Jiwe hawamo?? Sasa walikuwa wakiiba wanapeleka wapi?
Hujui kuwa nyang'au ni jina la ukoo huko kenya?...Maana maneno kama Manyang'au,...Wakenya hayapo!!
Hakuna rais yeyote wa Tanzania aliyewahi kufungua Bank Account nje ya Tanzania, hiyo ndio tofauti Kati ya TZ na KE.Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
Sasa anaenda kuficha mabilioni na kufaidisha uchumi wa nje na anaeiba na kununua ng'ombe hapa hapa nchini bora nani?Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
Kenyatta ni tajiri tangu akiwa chekechea!