Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

30 million tu, hii naona kawaida tu, hata kwa tz huku hii pesa ya kawaida sana ukiiweka kwenye view point ya power waliyonayo top leaders wakiamua kula bata kwa mrija.

Nahisi that is just a tip of an ice berg, wakija gusa dude lenyewe tutapoteana humu.
 
Kuwa na offshore account siyo illegal. Kwani mkenya au mdanganyika ambaye anaishi USA au Europe na ana-acount ya benki huko inakua ni shida? Ata kama yeye sio raia wa huko.

That's true. But the issue is the source of the deposits in those offshore bank accounts. Usikute zile zilizopotea za korona zimeingia humo. Ndiyo maana Ruto hana imani nao kabisa hawa kina uhuru. wameifyonza nchi since time immemorial. Waliachiwa mirija na wakoloni wailinde, huku nao wakifaidika nayo.
 
Hapo sasa sijui lakini ujue tajiri wengi wana offshore accounts. Ni kitu ya kawaida sana.
 
Hapo sasa sijui lakini ujue tajiri wengi wana offshore accounts. Ni kitu ya kawaida sana.
Hamna anaebisha kuwa na account nje ya nchi hata kama uko kwenye nchi yako ya asili. Tatizo la kina kenyatta kama umesoma hiyo Pandora Papers, wanamirija ya kuiba utajiri wa kenya na kupeleka kwenye hizo accounts. Shida inaanzia hapo.
 
Hawa jamaa zetu wa Kenya wanaiba kweli kweli hata hio miradi yao ya barabara , reli na bandarini wameiba sana halafu kuna wenzao wananjaa hata mlo wa siku moja hawana
 
Kuwa na offshore account siyo illegal. Kwani mkenya au mdanganyika ambaye anaishi USA au Europe na ana-acount ya benki huko inakua ni shida? Ata kama yeye sio raia wa huko.
Hizo ni account za siri
 
The Ukrainian president, Volodymyr Zelenskiy, is also named in the leak. Photograph: Anadolu Agency/Getty Images
Ukraine’s president, Volodymyr Zelenskiy, who was elected in 2019 on a pledge to clean up his country’s notoriously corrupt and oligarch-influenced economy, is also named in the leak. During the campaign, Zelenskiy transferred his 25% stake in an offshore company to a close friend who now works as the president’s top adviser, the files suggest. Zelenskiy declined to comment and it is unclear if he remains a beneficiary.
 
Kwenye Hiyo Pandora M7 na Jiwe hawamo?? Sasa walikuwa wakiiba wanapeleka wapi?
Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
 
Bila kumgusa Putin huwa hawaoni raha hawa wazungu. Ukiangalia Picha ya Habari unaweza dhani Putin naye kaficha hela, kumbe anahisiwa.
Screenshot_20211004-143337.jpg
 
Wenyewe watakwambia wanajua sana kuongea english!

Yani haya majamaa ni majinga sana!
Hayana hata sehemu ya kulima sukuma wiki alafu viongozi wao wanakula raha balaa
 
Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
Hakuna rais yeyote wa Tanzania aliyewahi kufungua Bank Account nje ya Tanzania, hiyo ndio tofauti Kati ya TZ na KE.

Wakati Tanzania tulianza kujenga uzalendo na umoja wa Taifa, ninyi mlikimbilia ubepari na kujenga uchumi juu ya msingi dhahifu wa uzalendo, haya ndio matokeo yake.
 
Walikuwa wanaiba na kununua ng'ombe na mbuzi. Ushamba wao uliwafanya kuogopa kuwekeza kwenye off shore accounts. Ila mama naona amechanuka, ni mtu aliyelelewa mjini. Mama pengine anajua kuficha mali yake vizuri.
Sasa anaenda kuficha mabilioni na kufaidisha uchumi wa nje na anaeiba na kununua ng'ombe hapa hapa nchini bora nani?
 
Back
Top Bottom