babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wewe wacha wivu, kingereza kinatusaidia kuwasiliana na watu wa Nchi mbalimbali ama ulitaka nizungumze na mtu was kutoka Afrika Kusini kwa lugha ya kimakonde??? Ndio maana East African secshen JF hamna Waganda.
Cha maana kule Misri Harambee waliponyoka na pointi 3 baada ya kuichapa CCmstars kichapo Cha mbwa msikitini.[emoji24][emoji24] mlipiga timu yeyote kweli?? ukipata jibu nitag [emoji23][emoji23][emoji23]
Bure kabisa
Kiswahili chenu pia kinanuka, mnajigamba na hamna lolote, njooni Mombasa mfunzwe kuongea kiswahiliYaani wivu kisa kingereza ambacho hakijanyooka [emoji23][emoji23][emoji23]
I was just being sarcastic. Umeamua kunichomea mboto muadhara hivi mbele ya Hawa mafala banae?Pia babako akiendelea kuwa mlevi chakari tutaiba mamako
Umesahau kutaja CCmstars kupewa kichapo Cha mbwa msikitini mechi zote tokea ya mwanzo Hadi mwisho 😭😭😭 zero points zero brains Bongolala Sana.Yaani wivu kisa kingereza ambacho hakijanyooka [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio nini hiyo?Uhuru amealikwa na huyo dictator wenu, hajakuja kwa hiari yake.
Punguza kubwatuka.Alafu pitia kule Instagram, uone pumba.
I was going to say the same thing. Hao air hostess wanaweza nifanya nikose hamu ya kupanda ndege
Hata mi ndo nashangaa, Yani JF sikuhizi inaendelea kua ya utoto sana... Yani jamaa kama kumi wameamua anaenda kuomba msamaha na hivyo ndo hivyo hakuna lengine ..Anakujaje kuomba msamaha wakati huyo dictator wenu wa CCM ndio amemualika? Ama hata kusoma pia ni shida Kwenu? Nyinyi wadanganyika ni vichwa maji tu
Biashara ya kuiba madini yetu nani anataka wezi wanao iba tz wameweka kambi Kenya Kwa kuwekeza wenyewe mnajisifia kuwa taasisi za kimataifa nyingi zipo kwenu kumbe wapo kuiba madini ya tz ndiyo maana madini yote tunayokamata yanaelekea huko Kenya niambie kwanini ?
Kiswahili chenu pia kinanuka, mnajigamba na hamna lolote, njooni Mombasa mfunzwe kuongea kiswahili
Mjadala utakua aliyekua ametekwa....ishu ngumu hadi kufahamika watekaji mpaka mkwe wamtekaji.simchezoNdio hivyo yani, Uhuru Kenyatta anategemewa kutua Chato kwa ziara binafsi na kuonana na JPM.
View attachment 1145609
Tetete huyu jaguar anamtesa Rais wake
Huna tusi lolote Mpuuzi wewe
huna jibu lolote humu bila ccm!!
Wacha kujipendekeza Kubwa jinga
Changia mada husika
Hapo sio ccm, ccm inahusika vipi na mada
Umesahau kutaja CCmstars kupewa kichapo Cha mbwa msikitini mechi zote tokea ya mwanzo Hadi mwisho [emoji24][emoji24][emoji24] zero points zero brains Bongolala Sana.
Dunia ipi wakati wengi wanafikiri Tanzania ni mojawapo ya miji ya Kenya.Hee kiswahili kipi hicho! Kile cha kuweka MWA kila sentence [emoji23][emoji23][emoji23]Dunia inajua kiswahili fasaha kinatoka wapi
Kumbe unajua ni kawaida Kenya kuigararagaza Taifa Stars 😂😂Hehehe kawaida sana
Hehehe hivi hujui kenya ni mbuga ya wanyama inayopatikana TanzaniaDunia ipi wakati wengi wanafikiri Tanzania ni mojawapo ya miji ya Kenya.
Ndio maana Watalii wengi wanatalii Kenya after South Africa na Nigeria.Hehehe hivi hujui kenya ni mbuga ya wanyama inayopatikana Tanzania
Ndio maana Watalii wengi wanatalii Kenya after South Africa na Nigeria.Hehehe hivi hujui kenya ni mbuga ya wanyama inayopatikana Tanzania
Acha kujitetea, haiwezikani rais mwenye shida amuite rais kumtembelea, hiyo itakua ni dharau. Mwenye shida ndiye anayemfuata mwenzake, hasa katika hizi ziara za kibinafsi.Hata mi ndo nashangaa, Yani JF sikuhizi inaendelea kua ya utoto sana... Yani jamaa kama kumi wameamua anaenda kuomba msamaha na hivyo ndo hivyo hakuna lengine ..
Hapa ikumbukwe ni JPM ndo kamualika Uhuru, JPM ndo kaamua wakutane chato na si DSM... Rais anaye alika ndo hua anachagua haya yote .....
Ninachoweza kusema ni kwamba labda JPM amechoka na mawaziri wake kufanya mikutano na mawaziri wa Kenya na Ku sign makubaliano ambayo hayaendi popote ameamua hao kama viongozi wawili waketi ana Kwa ana bila mbwe mbwe za aherehe wala wanahabari waongeshane kama mandugu. Unakumbuka ile CoW ya (Ke, Ug na RW?) Muungano wa EAC ilikua haupigi hatua yoyote Hadi pale Marais wa nchi hizo tatu walipotupilia mbali mawaziri na kukutana ana Kwa ana bila mbwe mbwe na sherehe.
Ukiangalia Uhuru naye style yake hua anependa kuunda urafiki wa kibinafsi na Marais wengine... Kwahivyo hakuna siku Uhuru atakataa mualiko wa kukutana ana kwa ana Kwa mazungumzo na pia kujuana vizuri ili kutengeneza urafiki .. Marais wakiongeleshana moja Kwa moja hua wanapata nafasi ya kujuana vizuri, hua wanalazimika kuongea ki ukweli kama Tu vile unaongea na mtu mtaani bila diplomatic protocols... Hii inaweza kufanya nchi hizi mbili zianze kua na uhusiano Bora zaidi manake Marais wawili wanaaminiana... Hata raia wa kutoka nchi hizi mbili akiuliwa ndani ya nchi nyengine itakua inawezeaha rais wa huyo aliefariki kumpigia simu ya kibinafsi huyo rais mwengine na waongeleshane vizuri bila uhasama wowote .
Sasa mbona hamuingizi pesa nyingi [emoji40][emoji40][emoji40]Ndio maana Watalii wengi wanatalii Kenya after South Africa na Nigeria.
[/URL]