Kenyatta Uhuru kutua Chato

Kenyatta Uhuru kutua Chato

Yaani wivu kisa kingereza ambacho hakijanyooka [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe wacha wivu, kingereza kinatusaidia kuwasiliana na watu wa Nchi mbalimbali ama ulitaka nizungumze na mtu was kutoka Afrika Kusini kwa lugha ya kimakonde??? Ndio maana East African secshen JF hamna Waganda.

Cha maana kule Misri Harambee waliponyoka na pointi 3 baada ya kuichapa CCmstars kichapo Cha mbwa msikitini.[emoji24][emoji24] mlipiga timu yeyote kweli?? ukipata jibu nitag [emoji23][emoji23][emoji23]

Bure kabisa
 
Yaani wivu kisa kingereza ambacho hakijanyooka [emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau kutaja CCmstars kupewa kichapo Cha mbwa msikitini mechi zote tokea ya mwanzo Hadi mwisho 😭😭😭 zero points zero brains Bongolala Sana.
 
Kwel kabisa...mtu unapanda ndege kisha anayetoa huduma ni hyo...si nitaboeka tu...

I was going to say the same thing. Hao air hostess wanaweza nifanya nikose hamu ya kupanda ndege
 
Anakujaje kuomba msamaha wakati huyo dictator wenu wa CCM ndio amemualika? Ama hata kusoma pia ni shida Kwenu? Nyinyi wadanganyika ni vichwa maji tu
Hata mi ndo nashangaa, Yani JF sikuhizi inaendelea kua ya utoto sana... Yani jamaa kama kumi wameamua anaenda kuomba msamaha na hivyo ndo hivyo hakuna lengine ..

Hapa ikumbukwe ni JPM ndo kamualika Uhuru, JPM ndo kaamua wakutane chato na si DSM... Rais anaye alika ndo hua anachagua haya yote .....
Ninachoweza kusema ni kwamba labda JPM amechoka na mawaziri wake kufanya mikutano na mawaziri wa Kenya na Ku sign makubaliano ambayo hayaendi popote ameamua hao kama viongozi wawili waketi ana Kwa ana bila mbwe mbwe za aherehe wala wanahabari waongeshane kama mandugu. Unakumbuka ile CoW ya (Ke, Ug na RW?) Muungano wa EAC ilikua haupigi hatua yoyote Hadi pale Marais wa nchi hizo tatu walipotupilia mbali mawaziri na kukutana ana Kwa ana bila mbwe mbwe na sherehe.

Ukiangalia Uhuru naye style yake hua anependa kuunda urafiki wa kibinafsi na Marais wengine... Kwahivyo hakuna siku Uhuru atakataa mualiko wa kukutana ana kwa ana Kwa mazungumzo na pia kujuana vizuri ili kutengeneza urafiki .. Marais wakiongeleshana moja Kwa moja hua wanapata nafasi ya kujuana vizuri, hua wanalazimika kuongea ki ukweli kama Tu vile unaongea na mtu mtaani bila diplomatic protocols... Hii inaweza kufanya nchi hizi mbili zianze kua na uhusiano Bora zaidi manake Marais wawili wanaaminiana... Hata raia wa kutoka nchi hizi mbili akiuliwa ndani ya nchi nyengine itakua inawezeaha rais wa huyo aliefariki kumpigia simu ya kibinafsi huyo rais mwengine na waongeleshane vizuri bila uhasama wowote .
 
Ulitaka yaende burundi...mtu hupeleke mzigo wake kwenye mpunga wa maana..wala sio hao majirani wenu wengi lkn hawausaidi uchumi wa tanzania kw lolote...

Biashara ya kuiba madini yetu nani anataka wezi wanao iba tz wameweka kambi Kenya Kwa kuwekeza wenyewe mnajisifia kuwa taasisi za kimataifa nyingi zipo kwenu kumbe wapo kuiba madini ya tz ndiyo maana madini yote tunayokamata yanaelekea huko Kenya niambie kwanini ?
 
Hee kiswahili kipi hicho! Kile cha kuweka MWA kila sentence [emoji23][emoji23][emoji23]Dunia inajua kiswahili fasaha kinatoka wapi
Kiswahili chenu pia kinanuka, mnajigamba na hamna lolote, njooni Mombasa mfunzwe kuongea kiswahili
 
Ccm inahusika vp na hili jukwaa...huoni sasa ya kwamba mna mahaba na kenya..yani kenya imewamaliza nguzu za hisia kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huna tusi lolote Mpuuzi wewe
huna jibu lolote humu bila ccm!!
Wacha kujipendekeza Kubwa jinga
Changia mada husika
Hapo sio ccm, ccm inahusika vipi na mada
 
Hehehe kawaida sana
Umesahau kutaja CCmstars kupewa kichapo Cha mbwa msikitini mechi zote tokea ya mwanzo Hadi mwisho [emoji24][emoji24][emoji24] zero points zero brains Bongolala Sana.
 
Hata mi ndo nashangaa, Yani JF sikuhizi inaendelea kua ya utoto sana... Yani jamaa kama kumi wameamua anaenda kuomba msamaha na hivyo ndo hivyo hakuna lengine ..

Hapa ikumbukwe ni JPM ndo kamualika Uhuru, JPM ndo kaamua wakutane chato na si DSM... Rais anaye alika ndo hua anachagua haya yote .....
Ninachoweza kusema ni kwamba labda JPM amechoka na mawaziri wake kufanya mikutano na mawaziri wa Kenya na Ku sign makubaliano ambayo hayaendi popote ameamua hao kama viongozi wawili waketi ana Kwa ana bila mbwe mbwe za aherehe wala wanahabari waongeshane kama mandugu. Unakumbuka ile CoW ya (Ke, Ug na RW?) Muungano wa EAC ilikua haupigi hatua yoyote Hadi pale Marais wa nchi hizo tatu walipotupilia mbali mawaziri na kukutana ana Kwa ana bila mbwe mbwe na sherehe.

Ukiangalia Uhuru naye style yake hua anependa kuunda urafiki wa kibinafsi na Marais wengine... Kwahivyo hakuna siku Uhuru atakataa mualiko wa kukutana ana kwa ana Kwa mazungumzo na pia kujuana vizuri ili kutengeneza urafiki .. Marais wakiongeleshana moja Kwa moja hua wanapata nafasi ya kujuana vizuri, hua wanalazimika kuongea ki ukweli kama Tu vile unaongea na mtu mtaani bila diplomatic protocols... Hii inaweza kufanya nchi hizi mbili zianze kua na uhusiano Bora zaidi manake Marais wawili wanaaminiana... Hata raia wa kutoka nchi hizi mbili akiuliwa ndani ya nchi nyengine itakua inawezeaha rais wa huyo aliefariki kumpigia simu ya kibinafsi huyo rais mwengine na waongeleshane vizuri bila uhasama wowote .
Acha kujitetea, haiwezikani rais mwenye shida amuite rais kumtembelea, hiyo itakua ni dharau. Mwenye shida ndiye anayemfuata mwenzake, hasa katika hizi ziara za kibinafsi.

Lazima Uhuru kuna jambo anataka kumuomba Magufuli asaidie. Sasa hivi Kenya inapitia kipindi kigumu sana, hasa kuhusu siasa za ndani ya Kenya. Huwezi kujua kwasababu huenda kukatokea uasi ndani ya Jubilee wakati wowote kuanzia sasa.
 
Back
Top Bottom