Kama mngetumia kiingereza, wewe na nani? Kiswahili chenyewe kinakutatiza sasa ukitumia kiingereza si ndio itakuwa aibu tupu? Wakenya wengi humu huwa wanatumia kiingereza, kila wanapotaka kujadili masuala ya maana, bila ya kuwahusisha hawa malofa wenzako. Ona wanavotupia pumba za ajabu humu. Tushukuru mungu kwamba kiingereza kinawatatiza na wageni wakiingia humu huwa hawaelewi mada na hoja za kiswahili. Bure tungejiletea aibu nyingi sana kama watu wa Afrika mashariki. Nenda kule Twitter, uone hoja za maana za wakenya tena wanatumia lugha inayofahamika duniani kote. Alafu pitia kule Instagram, uone pumba juu ya pumba kutoka kwa wtz wenzako.