Kenyatta Uhuru kutua Chato

Kenyatta Uhuru kutua Chato

Safi sana..mwenye shida ndio humuita mwenzie....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]siku zote km kuna jambo flani linakuumiza au kukushinda...unaita jamaa aliyekuzidi na kufafanunulia vizuri mambo yanavyoenda...
Acha kujitetea, haiwezikani rais mwenye shida amuite rais kumtembelea, hiyo itakua ni dharau. Mwenye shida ndiye anayemfuata mwenzake, hasa katika hizi ziara za kibinafsi.

Lazima Uhuru kuna jambo anataka kumuomba Magufuli asaidie. Sasa hivi Kenya inapitia kipindi kigumu sana, hasa kuhusu siasa za ndani ya Kenya. Huwezi kujua kwasababu huenda kukatokea uasi ndani ya Jubilee wakati wowote kuanzia sasa.
 
Porojo mingi wakinya mnamatatizo

Kuhusu ya Rwanda ni chin ya kapet hayo
"Mauaji ya kimbari nchini Rwanda yaliendelea kwa muda wa siku 100 hadi hali ya mambo ilipodhibitiwa na vikosi vya waasi wa wakati huo wa RPF, wapiganaji wake wengi wakiwa ni Watutsi".
Kiongozi wa RPF alikuwa Kagame na hakuna mahali Tz imetajwa infact ndege iliokuwa imemneba Hibaramyana ilipigwa kombora ikitokea Tz.
Haya basi wakombozi, mlikuwa wapi Somalia ikisambaratika ama mnaogopa Vita Kali mnataka zile za Nchi ndogo ndogo Kama Komoro.
 
Hata mi ndo nashangaa, Yani JF sikuhizi inaendelea kua ya utoto sana... Yani jamaa kama kumi wameamua anaenda kuomba msamaha na hivyo ndo hivyo hakuna lengine ..

Hapa ikumbukwe ni JPM ndo kamualika Uhuru, JPM ndo kaamua wakutane chato na si DSM... Rais anaye alika ndo hua anachagua haya yote .....
Ninachoweza kusema ni kwamba labda JPM amechoka na mawaziri wake kufanya mikutano na mawaziri wa Kenya na Ku sign makubaliano ambayo hayaendi popote ameamua hao kama viongozi wawili waketi ana Kwa ana bila mbwe mbwe za aherehe wala wanahabari waongeshane kama mandugu. Unakumbuka ile CoW ya (Ke, Ug na RW?) Muungano wa EAC ilikua haupigi hatua yoyote Hadi pale Marais wa nchi hizo tatu walipotupilia mbali mawaziri na kukutana ana Kwa ana bila mbwe mbwe na sherehe.

Ukiangalia Uhuru naye style yake hua anependa kuunda urafiki wa kibinafsi na Marais wengine... Kwahivyo hakuna siku Uhuru atakataa mualiko wa kukutana ana kwa ana Kwa mazungumzo na pia kujuana vizuri ili kutengeneza urafiki .. Marais wakiongeleshana moja Kwa moja hua wanapata nafasi ya kujuana vizuri, hua wanalazimika kuongea ki ukweli kama Tu vile unaongea na mtu mtaani bila diplomatic protocols... Hii inaweza kufanya nchi hizi mbili zianze kua na uhusiano Bora zaidi manake Marais wawili wanaaminiana... Hata raia wa kutoka nchi hizi mbili akiuliwa ndani ya nchi nyengine itakua inawezeaha rais wa huyo aliefariki kumpigia simu ya kibinafsi huyo rais mwengine na waongeleshane vizuri bila uhasama wowote .
Hiyo ni barua tu inapunguza ukali wa maneno tu

Lakn kiuhalisia anakwenda Tz kuomba msamaha

Ona sasa Jagwa amemponza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasawa msemaji wa rais[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni barua tu inapunguza ukali wa maneno tu

Lakn kiuhalisia anakwenda Tz kuomba msamaha

Ona sasa Jagwa amemponza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna tusi lolote Mpuuzi wewe
huna jibu lolote humu bila ccm!!
Wacha kujipendekeza Kubwa jinga
Changia mada husika
Hapo sio ccm, ccm inahusika vipi na mada
Du!! Kama kawaida yako
[emoji1] [emoji1]
 
Changia mada husika Acha Uzuzu wako
Kujipendekeza ndio sifa yako kama Kinda jike!
Ww unahisi kuitaja Ccm ndio kupata ujiko Mpuuzi wewe
Ukipoteaga Humu napataga huzuni[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
I suspect RAO will be there also! This visit is a result of handshake!
 
Tulivyowadindia kwenye hiyo issue ya huyo mhuni wana la kujifunza.
 
I suspect RAO will be there also! This visit is a result of handshake!
Bure kabisa...si ulituambia Bagamoyo itakamilika mwaka huu? Sasa umetudanganya Tena? RAO Kama atukuwepo natoka JF.😭😭
 
Back
Top Bottom