Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
HAKUNA USAFIRI UNAOWAFIKISHA WAKAZI WA ENEO HILI MOJA KWA MOJA MPAKA FERRY.
Abiria wa eneo hili wameomba kilio chao kusikilizwa na mkuu wa mkoa, kwani wamekuwa wakipata tabu sana, hivyo kulazimika kupanda mabasi mawili ili kufika ferry, ambayo kwao imekuwa ni mzigo mkubwa kutokana na maisha kwa kipindi hiki kuwa ki gumu kutokana na hali ya uchumi wa kidunia na vita vya Urusi na Ukraine.