Kero gani umekutana nazo katika faragha na mwenza/rafiki?

Kazi ipo
 

Mh hili sasa tangazo!!
 
Fanya km watoa hewa nje wakati huo mkono/ kiganja kipo kinataka kuidaka hiyo hewa.. utaipata vyema kabisa, so hapo utajua ni uchill ama ukapige mswaki 😃
Hii njia mkuu inaeza kukufanya kitu mbaya siku moja. Hivi wale wanawake wanaotoa harufu kali sana ukweni, hivi unadhani huwa wanakuja magetoni ilihali wanatambua papa zao zimeoza? Mganga hajigangi kaka. Tafuta mtu awe testa wako. Mpumulie puani kwake akupe majibu, msindikizie muamala
 
Unashangaa mtu unampelekea lips yeye analileta ji ulimi lake zima zima utandhani ng'ombe anakunywa maji
Wanawake wengi wa kibongo hawajui jinsi ya kula denda (french kiss)

Unakuta pisi kali sana lakini she ain't a good kisser
 
Asilimia kubwa ya vinavyolalamikiwa humu ni utamaduni wa uchafu wa wahusika.
 
Mpka mwaka uishe tutasema vyote 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…