MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
Ndio ni mbele kidogo kutokea boda ya Horohoro , lakini njia za mapori zipo nyingi tu ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia badala ya kulinda barabarani.Kwani kuna boda maeneo hayo!? Je kuna njia haramu wanaeza kupita wahamiaji haramu!?
Ni kero lakini tz tuko free mno wageni kuingia.Mfano mpakani mwa kenya na tz ,mtz ukikutwa ndani ya kenya baada ya saa 11 jioni hujavuka lazima ulale gerezani na hawana subira na wewe. Lakini wao na pikipiki zao na magari wanavuka wako tz hadi saa 5 ucku wako baa wanakunywa.Na km vp anachukua lodge analala na hamna tabu kabisa.Kenya wako strict kwelikweli na omba ucje kamatwa na hao nyang'au halafu we Ni mtz.
Hahahaha! Hata huko Kenya wanasema polisi na maofisa wa uhamiaji wa Tanzania wapo strict sana. Kila mmoja huma upande wake una unafaa.. Kweli muwamba ngoma ngozi huvutia kwake.Ni kero lakini tz tuko free mno wageni kuingia.Mfano mpakani mwa kenya na tz ,mtz ukikutwa ndani ya kenya baada ya saa 11 jioni hujavuka lazima ulale gerezani na hawana subira na wewe. Lakini wao na pikipiki zao na magari wanavuka wako tz hadi saa 5 ucku wako baa wanakunywa.Na km vp anachukua lodge analala na hamna tabu kabisa.Kenya wako strict kwelikweli na omba ucje kamatwa na hao nyang'au halafu we Ni mtz.
Ni kero lakini tz tuko free mno wageni kuingia.Mfano mpakani mwa kenya na tz ,mtz ukikutwa ndani ya kenya baada ya saa 11 jioni hujavuka lazima ulale gerezani na hawana subira na wewe. Lakini wao na pikipiki zao na magari wanavuka wako tz hadi saa 5 ucku wako baa wanakunywa.Na km vp anachukua lodge analala na hamna tabu kabisa.Kenya wako strict kwelikweli na omba ucje kamatwa na hao nyang'au halafu we Ni mtz.
well said bro!!Ni kero lakini tz tuko free mno wageni kuingia.Mfano mpakani mwa kenya na tz ,mtz ukikutwa ndani ya kenya baada ya saa 11 jioni hujavuka lazima ulale gerezani na hawana subira na wewe. Lakini wao na pikipiki zao na magari wanavuka wako tz hadi saa 5 ucku wako baa wanakunywa.Na km vp anachukua lodge analala na hamna tabu kabisa.Kenya wako strict kwelikweli na omba ucje kamatwa na hao nyang'au halafu we Ni mtz.
Hivi kweli wewa ukiwa Mhamiaji Haramu au una biashara haramu utathubutu kupitia Check Points, hili mbona haliniingii akililini. Kwa ambao wana experience hii adha.Kukagua sio kosa mkuu ni kwa ajili ya kuwapata wahamiaji haramu
Kuna siku tulikaguliwa pale mikese morogoro walipatikana wasomalia wasio na vibali zaidi ya 30 wakiwa wamepanda ma bus ma 4 tofauti wanaenda kyela
Nakwambia na nimekutolea na mfano halisi hapo juu mbona mkuuHivi kweli wewa ukiwa Mhamiaji Haramu au una biashara haramu utathubutu kupitia Check Points, hili mbona haliniingii akililini. Kwa ambao wana experience hii adha.
Mfano wako naukubali Mkuu. Lakini sio kila . Hapo maanake kuna watu hawafanyi kazi zao vizuri. Mara nyingi sana ambushi yoyote hutegemea na taarifa nzuri za kiinteligensia.Nakwambia na nimekutolea na mfano halisi hapo juu mbona mkuu
Nadhani tusiige kila kitu. Kama Mabingwa wa kuiga mbona mbona hatuwaigi Kenya katika Janga la COVID 19.Mkuu hyo ni kawaida mkuu,,safiri japo Mozambique ,,na south Africa utajionea zaidi ya hayo...