MGANGA WA KIENYEJI
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 521
- 170
- Thread starter
-
- #21
Sasa kero ni uhamiaji haramu au ukaguzi wa vitambulisho
Mimi na wewe nani Dogo humu???Tulia dogo
Sio kuiga mkuu,,road blocks barabarani ni jambo la kawaida sn,,Nadhani tusiige kila kitu. Kama Mabingwa wa kuiga mbona mbona hatuwaigi Kenya katika Janga la COVID 19.
Hivi kweli wewa ukiwa Mhamiaji Haramu au una biashara haramu utathubutu kupitia Check Points, hili mbona haliniingii akililini. Kwa ambao wana experience hii adha.
Wanatimiza wajibu tu na kutenda kwa mazoeaNdio ni mbele kidogo kutokea boda ya Horohoro , lakini njia za mapori zipo nyingi tu ambazo wahalifu wanaweza kuzitumia badala ya kulinda barabarani.
Wakenya wapuuzi puuzi tu hasa hao ma karao wao ni so corruptNi kero lakini tz tuko free mno wageni kuingia.Mfano mpakani mwa kenya na tz ,mtz ukikutwa ndani ya kenya baada ya saa 11 jioni hujavuka lazima ulale gerezani na hawana subira na wewe. Lakini wao na pikipiki zao na magari wanavuka wako tz hadi saa 5 ucku wako baa wanakunywa.
Na km vp anachukua lodge analala na hamna tabu kabisa.Kenya wako strict kwelikweli na omba ucje kamatwa na hao nyang'au halafu we Ni mtz.
Kinachokera Mkuu sio inspection. Kwaanini wasiingie ndani ya bus lazima watushushe kila siku. Hata hivi vi local Hiace.?Sio kuiga mkuu,,road blocks barabarani ni jambo la kawaida sn,,
Ktk kudhibiti migrants na uhalifu mwingine wa barabarani..
Mkuu GIRITA nakushukuru sana kwa kunielewa. Tatizo sio kukagua, bali KERO haKa ni kushusha habiria kila siku iendayo kwa Mungu. Kwanini wasikagulie ndani ya Gari? Hicho ndio kinachotukera kutushusha wakati watu tuna stress zetu kibao halafu na wao wanatuongezea stress.Naunga mkono ukaguzi,usumbufu ni kunyima watu vitambulisho halafu wanakuja kutaka vitambulisho ziro.....hata sisi waenda kigoma tushazoea ukaguzi,nilifikiri ni kwetu tu,kama na huko basi haki inatendeka waendeele ila askari awe anakagulia ndani ya basi,kama huku kwetu.
Ndy nimesema ukisafiri nje ya inchi utakutana na mengi tu,,hayo mambo ni ya kawaida mkuu,,Kinachokera Mkuu sio inspection. Kwaanini wasiingie ndani ya bus lazima watushushe kila siku. Hata hivi vi local Hiace.?
Mkuu Hii ndio maana yangu hasa lakini Hawa vijana wenye Dhamana wanajidai hawaelewi hapo, Nadhani kwa vile tupo kwenye uchaguzi tunafikishia taarifa Mh. Tundu Lissu na Mh. Benard Membe atutetee.Naunga mkono ukaguzi,usumbufu ni kunyima watu vitambulisho halafu wanakuja kutaka vitambulisho ziro.....hata sisi waenda kigoma tushazoea ukaguzi,nilifikiri ni kwetu tu,kama na huko basi haki inatendeka waendeele ila askari awe anakagulia ndani ya basi,kama huku kwetu.