Kero hii ya kutofikishwa kileleni

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mshana jnr kwamba saga la RC bado halikufikisha Kileleni![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila mpango anaouanzisha unaishia kuwa kama cheti chake
Kitambulicho cha mwalimu F
Shisha F
Sensa ya vijana wasio na kazi F
Madawa F
Yani ni fafafa

Imepelekea nielewe kwanini mipango yake yote inakua hola.
Akikumbuka cheti ni f na miradi anahakikisha inakua f ili ifanane na cheti chake.
Baaashite f ni kufeli sio kufaulu.
 
Umewasilisha hoja vizuri sana
 
Master mind himself..uko vizuri mwamba.
 
Achika tu hautaweza kufikishwa kileleni abadani, kwa sababu mmeo urijali wake una fafa na badala ya kurekebishwa anasifiwa kukupaka ma nanilii yake. Tatizo kubwa ni siasa kuwa na mwelekeo wa ushabiki, kuanzia ngazi ya juu kabisa. Hakuna hoja au jambo likaanzishwa kwa mipango na kuhusisha wananchi na viongozi wote kuanzia chini mpk juu. Tunachoshuhudia ni kila kiongozi kutaka kufanya jambo lionekane ili upande wa pili waonekane hawajui na si watu wazuri na hawawezi kuwa viongozi wazuri. Tukianza na upandaji miti na kampeini ya mti wangu, ilikuwa ni roho mbaya yenye kupangiliwa kuzuia maandamano ya UKUTA wa CDM, kwa hiyo ilikuwa ni kampeini feki yenye hila za chuki ndani haiwezi kufanikiwa miti karibu asilimia 60 imekufa iliyo nunuliwa kwa mamilioni ya fedha. Kampeini ya dawa za kulevya imeanzishwa kwa hila za kibiashara na kisiasa ndiyo maana ya lopolopo ile na baadae imechukuliwa kwenye proper channel lkn tayari imeleta athari kubwa, ikiwemo ya kushindwa kuwakamata watuhumiwa na vithibitisho, kuchafuliwa baadhi nk.
Lkn sasa kila jambo linaanza kuonekana wazi chuki za kisiasa zinapandikizwa waziwazi. Hakika maisha hayatakuwa kama yalivyo kuwa hapo nyuma
Kuwepo wateule ambao sheria haziwagusi na kuwepo watwana ambao kila baya na lawama kutupiwa. Wafoji vyeti wao, wasio jua kazi wao, wavuta bangi wao, majanga yakiwakumba watakufa bila msaada hata wa watoto wao walio wazaa maana watazuiwa kuwapelekea.
Sasa hivi mihimili yote kushine kwa hiyo haya tuyaonayo ni show off tu haziwezi kufika mbali kwa sababu ni misifa ili wakingiwe kifua wasionyeshe vyeti.
Vita nzuri inafanywa kisiasa inakufa kirahisi tu.
 
Kukimbilia sa hakumsaidii.Akirudi swala la vyeti feki bado atalikuta mezani,la msingi atangaze kujiuzulu u-rc huko huko,akirudi aende moja kwa moja koromije.
Hivi watumishi wa kawaida serikalini likizo ck 28, hiyo ya r.c na majukumu mazito aliyonayo yakuongoza mkoa hiyo likizo ya miezi2 imekaaje?[emoji15]
 
Ee bhana wapenda papuchi tumevamia kumbe ngoma tofauti kbs.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] kwa heri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji6]
 
Cha kushangaza sana kumbe haya mambo yanaambukiza. Nimejaribu kuangalia sekta nyingine mambo ni yaleyale! Operation za jeshi la police za tinted na spotlight sijui zimeishia wapi
Yaan nnaomba nikiri nilikuwa mmoja wa watu waliokimbilia kwenye uzi huu nikijiandaa kutoa ushauri wa kutofikishwa kileleni[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 

Hii imetulia!
Inanikumbusha makala za mtu anaitwa Ani Jozeni kwenye magazeti ya The Guardian Limited
BTW....Yule jamaa sijui aliendaga wapi?!
 
Huu uzi mjomba nilijua mambo yetu yaleeeeeeeeee [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…