Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji15] [emoji15] [emoji15]mshana jr usilie, utatuliza wengi....kwani ulikuwa hujuwi kuwa yule waziri ni dege la jeshi na msambazaji unga? Uliza watu hapa mjini watakupa habari zake. Unaambiwa "Only in Tanzania" waziri ana ngoma na anasambaza unga ila anachekewa tu na hakamatwi. Sambaza ngoma wewe ama unga, ukione.
Mm sijabakwa kwa kweli hapo niondoe mkuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa najiuliza hivi ww mshana uliwaza nin leo khaaaa au vyeti vyake yule kijana aliye kwenda kusali makanisa ma 5 kwa cku moja vyeti vyake kavipata??
Kaka Mshana na wana Jamii kwa ujumla, mmetetea sana kwamba kutokufikishwa kileleni ni kubaya sikatai. lakini hebu tujiulize wenyewe Je, kuna hata siku moja mtoa bikra alishawahi kumfikisha mwenza wake kileleni? kutolewa bikra sio kitu cha mchezo lazima ugomvi utokee kitandani ndo mambo yalivyo hv sasa. Makonda anania ya kutufkisha kileleni lakini sisi hatutoi ushirikiano.Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!!
Mahusiano mengi yamevunjika kutokana na tatizo sugu la kutofikishana kileleni hakika hii ni Kero kubwa mno
Elimu ina pande mbili, unaweza kusoma na ukafaulu mitihani lakini usielimike na mwingine anaweza asisome elimu rasmi lakini akaelimika na kuwa mtu bora kabisa
Ni katika hilo la elimu kuna utashi utayari kujituma kuelewa na kiwango cha IQ pia! Kuna watu kwa njia za ajabu kabisa wamepata mafanikio yanayoliliwa na wengi lakini kwakuwa kiwango chao cha ufahamu ni kidogo sana wamejikuta wanaangukia pua na kufeli kabisa
Kwenye mfumo wa taa za magari kuna taa inawaka sana inaitwa spotlight...hii haiwashwi hovyo! Dar es salaam ni spotlight ya nchi kuna tofauti kubwa sana kati ya rc wa Kigoma na rc wa Dar
Chochote kinachofanywa Dar kinakuwa kama mwongozo wa kwingine kote
Mtu ambaye anabamba sana kwasasa kwenye mijadala ni bwana Makonda (bashite?) vyovyote iwavyo kati ya wengi wanaomponda wengine ni kutokana tu na wivu na kijicho! U-rc wa Dar si nafasi ndogo ati pesa hata kama huitaki itakufuata tu na ukiikataa basi unahitaji kupimwa akili
Tumjadili rc kwa hulka yake ya kutotimiza yale anayoyaanzisha. Hili halina tofauti na ile Kero ya kutofikishwa kileleni
Hulka hii mbaya ni sawa na chumba kile cha mahututi gereza la fikra
Haya yameishia wapi?
Vitambulisho maalum vya walimu ili wapande bure
Dar tuitakayo
Operation Ondoa ombaomba
Kero za wanadarisalama
Na operation nyingine nyingi zilizifeli kabisa
Shida ni moja maandalizi na kushirikishana hakuna. Lakini Dar ni jiji lenye wataalam na wasomi wa kila kaliba iweje hakuna kujadiliana kwanza?
La dawa za kulevya ndio bye-bye tumeachwa na hamu zetu hatujafikishwa kileleni tunachafuliwa tu kila wakati
Kama ukiamua kuwa banditu baki hivyohivyo usiwe kama mkate mgumu mbele ya chai
Mwanaume kakaa mahabusu siku zaidi ya 100 lakini katoka na tabasamu wewe Leo kuombwa tu kuonyesha vyeti unamwaga michozi hadharani! Nini maana ya kuwa kiongozi?
Wana Jamii mbona tunakuwa wavivu kufikiri? kwani ni ajabu mtu kusoma akitumia jina Bashite na kuja kufanya kazi kwa kutumia jina Makonda? Makonda hana taaluma wala ujuzi juu ya vyeti, mkaguzi wa vyeti feki ni baraza la mitihani(NECTA). baraza watutolee ukakasi huu ni nani mmiliki halali wa cheti chenye jina la Paul Makonda? na je, jina Daudi Bashite kwenye system yao lipo? watuwekee na picha za wamiliki wa vyeti hivyo kwani nina amini pasiport size za wenye vyeti hivyo wanazo kwenye vyombo vya habari."TUSISIKILIZE YA WATU NA KUYAAMINI BILA UTHIBITISHO WA WATAALAM HUSIKA, ELIMU HAITAKUWA NA FAIDA KWETU"Kukimbilia sa hakumsaidii.Akirudi swala la vyeti feki bado atalikuta mezani,la msingi atangaze kujiuzulu u-rc huko huko,akirudi aende moja kwa moja koromije.
lakini anazilengeshea kwa wenye maamuzi ya kukurupuka, wanampaisha unafikiri kafikaje hapo alipo na kushuka inakuwa ngumu kidogo. Single ina hit ikipwaya yeye kesha paa, anatafuta single ingine maisha yanaenda. Hivi karibuni tutegemee single ingineHuyu ni msanii underground anayetafuta single ya kutokea, kila Mara anatupia singles bahati mbaya hizo single zinashindwa Ku hit