Kero hii ya kutofikishwa kileleni

Kero hii ya kutofikishwa kileleni

Kukimbilia sa hakumsaidii.Akirudi swala la vyeti feki bado atalikuta mezani,la msingi atangaze kujiuzulu u-rc huko huko,akirudi aende moja kwa moja koromije.
Siyo kolomije, bali aongoze moja kwa moja gereza la Ukonga akisubiri kufungwa miaka saba.
 
Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!!

Mahusiano mengi yamevunjika kutokana na tatizo sugu la kutofikishana kileleni hakika hii ni Kero kubwa mno
Elimu ina pande mbili, unaweza kusoma na ukafaulu mitihani lakini usielimike na mwingine anaweza asisome elimu rasmi lakini akaelimika na kuwa mtu bora kabisa

Ni katika hilo la elimu kuna utashi utayari kujituma kuelewa na kiwango cha IQ pia! Kuna watu kwa njia za ajabu kabisa wamepata mafanikio yanayoliliwa na wengi lakini kwakuwa kiwango chao cha ufahamu ni kidogo sana wamejikuta wanaangukia pua na kufeli kabisa

Kwenye mfumo wa taa za magari kuna taa inawaka sana inaitwa spotlight...hii haiwashwi hovyo! Dar es salaam ni spotlight ya nchi kuna tofauti kubwa sana kati ya rc wa Kigoma na rc wa Dar

Chochote kinachofanywa Dar kinakuwa kama mwongozo wa kwingine kote
Mtu ambaye anabamba sana kwasasa kwenye mijadala ni bwana Makonda (bashite?) vyovyote iwavyo kati ya wengi wanaomponda wengine ni kutokana tu na wivu na kijicho! U-rc wa Dar si nafasi ndogo ati pesa hata kama huitaki itakufuata tu na ukiikataa basi unahitaji kupimwa akili

Tumjadili rc kwa hulka yake ya kutotimiza yale anayoyaanzisha. Hili halina tofauti na ile Kero ya kutofikishwa kileleni
Hulka hii mbaya ni sawa na chumba kile cha mahututi gereza la fikra
Haya yameishia wapi?

Vitambulisho maalum vya walimu ili wapande bure
Dar tuitakayo
Operation Ondoa ombaomba
Kero za wanadarisalama
Na operation nyingine nyingi zilizifeli kabisa

Shida ni moja maandalizi na kushirikishana hakuna. Lakini Dar ni jiji lenye wataalam na wasomi wa kila kaliba iweje hakuna kujadiliana kwanza?
La dawa za kulevya ndio bye-bye tumeachwa na hamu zetu hatujafikishwa kileleni tunachafuliwa tu kila wakati

Kama ukiamua kuwa banditu baki hivyohivyo usiwe kama mkate mgumu mbele ya chai
Mwanaume kakaa mahabusu siku zaidi ya 100 lakini katoka na tabasamu wewe Leo kuombwa tu kuonyesha vyeti unamwaga michozi hadharani! Nini maana ya kuwa kiongozi?


Una akili sana Bw. mshana jr kwa haya uliyo andika humu, ngoja nimwambie Bwana Makonda akufikishe kileleni.
 
[emoji115] [emoji817] [emoji111] [emoji120]


Wengine tulikuwa tunaogopa kuomba kufikishwa kileleni ila kwa kuwa umeanza wewe kuomba naona hata Mh. rais atamlazimisha mkuu wetu wa mkoa afanye hivyo. Kufikishwa kileleni kuna raha sana, utatusimulia tu.
 
Wengine tulikuwa tunaogopa kuomba kufikishwa kileleni ila kwa kuwa umeanza wewe kuomba naona hata Mh. rais atamlazimisha mkuu wetu wa mkoa afanye hivyo. Kufikishwa kileleni kuna raha sana, utatusimulia tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji111] [emoji817] [emoji115]
 
95d1a3ce0e36074792cb60c787ef35ce.jpg
 
Kuna tofauti kubwa kati ya Kiongozi wa Publicity na Kiongozi Mtekelezaji....Kiongozi wa Publicity ni sawasawa na yule mwanaume anayejamiana na wananawake wengi kwa wakati tofauti ila hawafikishi kileleni...
 
nimekuja mbio na kuondoka mbio nawewe hujanifikisha kileleni hujasema tumfanye nini huyu bwana bashite
 
nimekuja mbio na kuondoka mbio nawewe hujanifikisha kileleni hujasema tumfanye nini huyu bwana bashite
[emoji23] [emoji23] mlete ama nionyeshe alipo takuambia
 
Back
Top Bottom