Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji120] [emoji817] [emoji111]Mshana Jr. Ktk Ubora wake.... Lakini kabla sijausoma uzi huu, nilijiuliza sana.. Mshana kapotea lini njia ya Mambo haya ya ngono tena... Tena hasa wkt huu wa Kwaresma..!! Respect mkuu.
sasa iv tz inawasomi wengi nimeamini, munaandika fasihi hadi basi. ila nimekuelewa!Hili la kutofikishwa kileleni linatuathiri sana lkn nikitafakari zaidi napata shida kuamini kama mama Daudi kweli anafikishwa kilele au jamaa si riziki! Kwakweli sijui ..naishia kuguna maana matokeo yakufikishwa kilele kwa mama yule ni kuongezeka lkn mpaka leo ile namba haigawanyi kwa yoyote zaid ya moja na yenyewe.
Hii ndio jamii forum tuitakayo, na wanao fikiria kuifunga umauti uwafikie [emoji35] [emoji35]Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!!
Mahusiano mengi yamevunjika kutokana na tatizo sugu la kutofikishana kileleni hakika hii ni Kero kubwa mno
Elimu ina pande mbili, unaweza kusoma na ukafaulu mitihani lakini usielimike na mwingine anaweza asisome elimu rasmi lakini akaelimika na kuwa mtu bora kabisa
Ni katika hilo la elimu kuna utashi utayari kujituma kuelewa na kiwango cha IQ pia! Kuna watu kwa njia za ajabu kabisa wamepata mafanikio yanayoliliwa na wengi lakini kwakuwa kiwango chao cha ufahamu ni kidogo sana wamejikuta wanaangukia pua na kufeli kabisa
Kwenye mfumo wa taa za magari kuna taa inawaka sana inaitwa spotlight...hii haiwashwi hovyo! Dar es salaam ni spotlight ya nchi kuna tofauti kubwa sana kati ya rc wa Kigoma na rc wa Dar
Chochote kinachofanywa Dar kinakuwa kama mwongozo wa kwingine kote
Mtu ambaye anabamba sana kwasasa kwenye mijadala ni bwana Makonda (bashite?) vyovyote iwavyo kati ya wengi wanaomponda wengine ni kutokana tu na wivu na kijicho! U-rc wa Dar si nafasi ndogo ati pesa hata kama huitaki itakufuata tu na ukiikataa basi unahitaji kupimwa akili
Tumjadili rc kwa hulka yake ya kutotimiza yale anayoyaanzisha. Hili halina tofauti na ile Kero ya kutofikishwa kileleni
Hulka hii mbaya ni sawa na chumba kile cha mahututi gereza la fikra
Haya yameishia wapi?
Vitambulisho maalum vya walimu ili wapande bure
Dar tuitakayo
Operation Ondoa ombaomba
Kero za wanadarisalama
Na operation nyingine nyingi zilizifeli kabisa
Shida ni moja maandalizi na kushirikishana hakuna. Lakini Dar ni jiji lenye wataalam na wasomi wa kila kaliba iweje hakuna kujadiliana kwanza?
La dawa za kulevya ndio bye-bye tumeachwa na hamu zetu hatujafikishwa kileleni tunachafuliwa tu kila wakati
Kama ukiamua kuwa banditu baki hivyohivyo usiwe kama mkate mgumu mbele ya chai
Mwanaume kakaa mahabusu siku zaidi ya 100 lakini katoka na tabasamu wewe Leo kuombwa tu kuonyesha vyeti unamwaga michozi hadharani! Nini maana ya kuwa kiongozi?
[emoji817] [emoji120] [emoji111]Hii ndio jamii forum tuitakayo, na wanao fikiria kuifunga umauti uwafikie [emoji35] [emoji35]
Akili kijiko [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]Yeye ange komaa tu aseme kweli alifeli kweli na alitumia vyeti fek kweli lakn kazi yake tunaikubali RC wangapi waliokuwa na vyeti halali na hawajawahi fanya mambo mazur kama makonda elimu sio tijaa sanaa ilimradi anapiga kazi kwa maslahi yetu wa Tz, namshangaa anavo yumbishwa na upepo mdogo wakati hili game alikuwa anaelekea kushinda kabisaa
Mshana Jr huoni kuwa tayari hoja ya msingi imetupiliwa mbali.Sasa watu wanajadili cheti tu wameacha kujadili madawa ya kulevya.Unapoona kwenye mahusiano watu wanagombana lakini hawaachani jua hao wanapendana sana na hutimiziana haja zao mubashara kabisa! Hufikishana kileleni!!!